Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mbunge akutwa akifanya Mapenzi kwenye Gari

    Report Post
    Page 3 of 3 FirstFirst 123
    Results 41 to 48 of 48
    1. #1
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default Mbunge akutwa akifanya Mapenzi kwenye Gari

      Mbunge wa Misri ajifedhehesha

      21 Julai, 2012

      Mbunge wa Misri wa chama cha Kiislamu chenye msimamo mkali, amekutikana na makosa ya kuvunja adabu ya kijamii, kuhusu tukio ambapo amekutikana anafanya mapenzi ndani ya gari lake.

      Kesi hiyo imewatia aibu Waislamu wanaoitwa Salafi - ambao wanadai kuwa wanaume watengwe kabisa na wanawake.

      Mbunge huyo, Ali Wanis, alipewa hukumu ya kifungo cha mwaka mmoja na nusu, kwa kufanya mapenzi na mwanafunzi, na kwa kumshambulia askari polisi
      Mbunge huyo ni wa chama cha Nour, kwenye bunge la mwanzo kuundwa baada ya utawala wa Rais Mubarak - bunge ambalo lilifutwa mwezi uliopita baada ya mahakama kuamua kuwa bunge hilo siyo halali.

      SOSI: BBC

      Najiuliza hivi wabunge wana akili zinazofanana?juzi hapa kuna mtu ameripot kuwa kuna mbunge wa Kondoa alikutwa akifanya mapenzi kwenye gari na kabinti huko ARUSHA

    2. FemaTV & Radio

    3. #41
      Father of All's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th February 2012
      Posts : 3,093
      Rep Power : 1044
      Likes Received
      1828
      Likes Given
      3343

      Default Re: mbunge afanya mapenzi ndani ya V8

      Hao ndivyo walivyo. Wanasema hili wanatenda hili. Wanasiasa hata wawe ni wa chama cha kidini, hawana dini. Viongozi wa dini hata wawe wa dini gani ni wanasiasa. Wengi kwa unafiki ndiyo usiseme. Ukiangalia yanayofanyika kwenye nchi zinazojiita za kiislam kama vile Saudia, Iran na kwingineko unashangaa mantiki ya dini. Nenda Bongo uone uzinzi unaofanyika makanisani na misikitini. Tuseme kuwa viongozi wa dini na wanasiasa si watu wa kuaminika zaidi ya kuwa wale Yesu aliwaambia wawe wa kwanza kutupa jiwe kwa yule mama aliyeletwa akidaiwa kuzini.

    4. #42
      Mkurabitambo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 3rd February 2010
      Posts : 213
      Rep Power : 514
      Likes Received
      43
      Likes Given
      60

      Default

      Quote By rebel volcano
      tupe web site ya kuaminika uliyotoa habari hiyo??!!!
      bbc/swahili

    5. #43
      kmdh's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th May 2010
      Posts : 272
      Rep Power : 511
      Likes Received
      45
      Likes Given
      2

      Default Re: Mbunge akutwa akifanya Mapenzi kwenye Gari

      Quote By Bajabiri
      Mbunge wa Misri ajifedhehesha

      21 Julai, 2012

      Mbunge wa Misri wa chama cha Kiislamu chenye msimamo mkali, amekutikana na makosa ya kuvunja adabu ya kijamii, kuhusu tukio ambapo amekutikana anafanya mapenzi ndani ya gari lake.

      Kesi hiyo imewatia aibu Waislamu wanaoitwa Salafi - ambao wanadai kuwa wanaume watengwe kabisa na wanawake.

      Mbunge huyo, Ali Wanis, alipewa hukumu ya kifungo cha mwaka mmoja na nusu, kwa kufanya mapenzi na mwanafunzi, na kwa kumshambulia askari polisi
      Mbunge huyo ni wa chama cha Nour, kwenye bunge la mwanzo kuundwa baada ya utawala wa Rais Mubarak - bunge ambalo lilifutwa mwezi uliopita baada ya mahakama kuamua kuwa bunge hilo siyo halali.

      SOSI: BBC
      Kafumaniwa na mwanafunzi wa kike au wa kiume? Mbona sioni walipoeleza?

    6. #44
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default Re: Mbunge akutwa akifanya Mapenzi kwenye Gari

      Quote By Elungata
      my GAD...!!
      Ila wewe unafaa kuwa mwanafalsafa.nimechunguza nikaona maneno yako yako right.
      Hakuna tunachofata kwa wanawake zaidi ya ule ute unaoteleza.
      hahahahaha....mdau siendi sana ndani nipo kwenye swaum,mungu atanipa BAN

    7. #45
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default Re: mbunge afanya mapenzi ndani ya V8

      Quote By rebel volcano
      tupe web site ya kuaminika uliyotoa habari hiyo??!!!
      unaota?hebu kale daku ulale?soma post ya kwanza

    8. Miaka 50

    9. #46
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default Re: mbunge afanya mapenzi ndani ya V8

      Quote By badili tabia
      chezea utaamu....
      ni uewlez bhana,utam tunao wanaume

    10. #47
      LiverpoolFC's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th April 2011
      Posts : 6,646
      Rep Power : 11271
      Likes Received
      1465
      Likes Given
      570

      Default

      Quote By Saint Ivuga
      Mbunge wa Misri ajifedhehesha

      21 Julai, 2012 - Saa 15:57 GMT

      Mbunge wa Misri wa chama cha Kiislamu chenye msimamo mkali, amekutikana na makosa ya kuvunja adabu ya kijamii, kuhusu tukio ambapo amekutikana anafanya mapenzi ndani ya gari lake.

      Kesi hiyo imewatia aibu Waislamu wanaoitwa Salafi - ambao wanadai kuwa wanaume watengwe kabisa na wanawake.
      Mbunge huyo, Ali Wanis, alipewa hukumu ya kifungo cha mwaka mmoja na nusu, kwa kufanya mapenzi na mwanafunzi, na kwa kumshambulia askari polisi.
      Mbunge huyo ni wa chama cha Nour, kwenye bunge la mwanzo kuundwa baada ya utawala wa Rais Mubarak - bunge ambalo lilifutwa mwezi uliopita baada ya mahakama kuamua kuwa bunge hilo siyo halali.

      Kwenye mambo ya Katiba Mpya hilo swala ni muhimu sana!

      Mi nilifikiri inawalenga hawa mafisadi kama Nchemba!

    11. #48
      carmel's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th August 2009
      Posts : 2,804
      Rep Power : 1070
      Likes Received
      202
      Likes Given
      128

      Default Re: Mbunge akutwa akifanya Mapenzi kwenye Gari

      hawajampiga mawe hadi afe? au sheria hiyo ya uzinzi ina applly kwa wanawake pekee?
      A gossip betrays a confidence; so avoid a man who talks too much.
      Proverbs 20:19

    Page 3 of 3 FirstFirst 123

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...