President Obama and 1st Lady Michelle Obama hit up DC’s Verizon Center for the Brazil VS USA , pre Olympic basketball game! The 1st couple was caught on the kiss cam twice! The 1st time , Presdent Obama was denied a kiss from his wife and the crowd roared in boo’s. Later in the evening the kiss cam caught the 1st couple again and this time, they gave the crowd what they wanted!
Wakati mwingine utasikia watu wakiulizwa baada ya kupiga kura, "Why did you vote for so and so?" majibu yao ni huwa, "He is cool." au "I like him" hawaangalii sera zake wala nini.
Bill Clinton mwaka 1992 alikuwa anasuasua katika kampeni zake baada ya kuwa nominated as Democrats' presidential candidate huku kukiwa na dalili kwamba Bushi 41 angerudi tena WH. Mtu mzima Arsenio Hall akamuomba Clinton aende kwenye kipindi chake (Arsenio Hall show) kisha akamuomba apulize saxphone na kuwashangaza watu wengi ambao walikuwa ama hawajai kumuona/kusikia Governor Clinton akipuliza saxphone. Alifanya vizuri sana na performance yake ikamfanya aonekane "cool" na kuanza kuvuta umati wa watu kwenye campaign zake na kama wasemavyo, the rest is history.
'Bama wiki chache zilizopita aliimba kipande kidogo sana cha wimbo wa Al Green na perfomance yake ikapata coverage kubwa sana katika television network nyingi sana. Romney naye hakutaka aachwe mbali kuonyesha kipaji chake cha uimbaji, yaliyofuata baada ya uimbaji wake wengi tunayajua
Kupiga saxphone, kuimba kipande kidogo cha wimbo wa Al Green au kukiss mbele ya kadamnasi haihusiani na lolote lile katika kuongeza ajira, kupunguza budget deficit n.k. lakini kwa wapiga kura wengine moja ya vitendo hivyo inaweza kabisa kumfanya amuone mgombea kuwa ni "cool" na hivyo kumpa kura zao ambayo zinaweza kabisa ama kumuingiza mtu WH au kumkosesha nafasi hiyo. Romney kishaambiwa asithubutu tena kuimba hadharani pamoja na kuwa uimbaji wake hauhusiani na lolote lile na uwezo wake wa kuongoza nchi lakini wapambe wake wanajua fika kwamba uimbaji wake unaweza kabisa kupunguza kura chache hapa na pale na hivyo kukosesha nafasi ya kutinga WH.
By Nyani Ngabu
Wanazi wa Hussein Obama bana....yaani kila kitu wanaki politicize. Hata akijamba hadharani mtasema subiri Romney naye ajambe.....shameful.
Follow Us Here