Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana
hapa tunapoongea sasa hivi wamepokelewa madaktari watano kutoka Mbeya tanzania na tayari residence permit zao zinatengenezwa ili kuanza kazi mara,
watakuwa wanafanya kazi hospitali za Gaborone city council na mishahara yao itakuwa allmost mara saba ya mshahara waliokuwa wanapata tanzania wa laki tisa
My take:
serikali ya tanzania isifikiri inawakomoa hawa madaktari ambao nchi za huku kusini zinaheshimika kuliko jambo lolote lile,kama walifikiri wanawakomoa kwa kutumia SADC ili wasipate kazi huku wajua serikali ya Botswana ni serikali imara na madhubuti na haiendeshwi kinafiki
Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana
By Abdulhalim
would care less about such an act of immense incompetence..sasa huezi niambia habari ya busara wakati tukio zima linaonesha hakuna at least common sense..btw yule mgonjwa mlishamlipa kwa uzembe wenu?
nani sasa anatakiwa amlipe??au ndo kenyan diaspora?
Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana
By Delegate
nani sasa anatakiwa amlipe??au ndo kenyan diaspora?
kila mhusika, btw yule bwana last time i checked hali yake ilikua bado si nzuri <huenda ameshatangulia mbele za haki>, sijasikia mhusika yeyote akiomba radhi kufuatia uzembe ule uliotukuka..
Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana
By mchukiaufisadi
Bravo.
Namkumbuka Dr. Kimaro (RIP) aliyekuwa Rais wa DARUSO miaka ya 1992, Rais Mwinyi aliapa kuwa hatafanya kazi yeyote Duniani, lakini Botswana alifanya kazi.
Kama unamzungumzia Dr Haroun Kimaro, mbona umeandika RIP kwani alifariki lini?
Jamaa alikuwa kichwa sana enzi zake.
Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana
By pgasper
Kitu kimoja naipendea Tanzania,
inasomesha bure madaktari.
Inalipa fees,
inalipa boom,
ila inapofika kutumia matunda ya walichopanda hawana mda nacho,
"Ondokeni mkamtafute mwajiri anayelipa vizuri" Baba Mwanaasha aka Vasco de traveller
Tanzania haisomeshi bure madaktari. Wanakopeshwa kama wanafunzi wengine na wanazilipa wanapomaliza. Ile ni investment ya mwanafunzi mwenyewe, hivyo anapohitimu ana haki ya kutafuta mahali pa kuuzia taaluma yake apate pesa ya kulipa mkopo huo.
Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana
Watanzania kwa maneno bana kulikuwa na tetesi kuwa serikali inaleta madaktari wageni kuja Tanzania watu waliishambulia serikali eti ni aibu kubwa kutibiwa na wageni leo tena mnawasifia Botswana...kama wamepata kazi huko na wanalipa vizuri safi sana...serikali aina uwezo wa kuwalipa mshahara mnaotaka.
Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana
By mchukiaufisadi
Ni karibu miaka mitatu imepita. Kama utakuwa na taarifa ya kugombea mali zake ambapo hata Mch. Mtikikila alikuwemo kumdhulum mke wake(RIP). Kimaro was a good leader ambaye alifanya kazi na Katibu Rutashoborwa(RIP)
Mbona inahuzunisha zaidi, unamaanisha hata mkewe na Ruta pia ni marehemu?
Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana
By mchukiaufisadi
Bravo.
Namkumbuka Dr. Kimaro (RIP) aliyekuwa Rais wa DARUSO miaka ya 1992, Rais Mwinyi aliapa kuwa hatafanya kazi yeyote Duniani, lakini Botswana alifanya kazi.
Mkuu, unaMRIP Kimaro? mbona unanishitua? Oh ooooooh! Nafahamu vizuri kijana yule ambaye hata shuleni pale medical school walidhani angefeli lakini C ikawa palepale hata akabatizwa jina la Mr C maana alijisemea mwenyewe kwamba anachokitaka ni C, sio zaidi na sio kinginecho. Alivyokuwa bussy walidhani shule ingemshinda kumbe wapi! Kile kilikuwa kichwa kwelikweli. Yuko kwenye harakati mchana hata kama kesho kuna Sungusungu lakini C ni palepale! Hebu nipe zaidi bwna, imenishitua sana kwa vile nilijua anachapa kazi Zimbabwe alikomalizia shule baada ya kutimuliwa hapa na Mwinyi.
Unajua kwa nini Mzee Ruksa alimlaani Kimaro? Kimaro aliwahi kusema mbele ya vyombo vya habari "Huyo raisi wenu...." Hapo Mwinyi alirudia rudia kusema "Mimi ni raisi wa watanzania wote, walionichagua na wasionichagua. Adabu nzuri ni kukubali kuwa mimi ni rais wako hata wewe..." That guy, very cool if you meet him, to everybody without descrimination, mwe! Kweli Mungu anawapenda wapole na majasiri kuupinga ubaya. Nakumbuka alivyokwenda kujiunga kwa Kakobe kulikoitwa siku zile kwenye imani ya moto sababu ilisemekana wanabatizwa kwa kuruka moto! Kama kweli ulivyomRIP, anastahili kuwa mahala pema peponi na sio pachungu, mtu wa watu yule. Surely angekuwapo hivi leo angetengeneza timu nzuri na kina Mnyika na Zito nk.
Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana
By Delegate
hapa tunapoongea sasa hivi wamepokelewa madaktari watano kutoka Mbeya tanzania na tayari residence permit zao zinatengenezwa ili kuanza kazi mara,
watakuwa wanafanya kazi hospitali za Gaborone city council na mishahara yao itakuwa allmost mara saba ya mshahara waliokuwa wanapata tanzania wa laki tisa
My take:
serikali ya tanzania isifikiri inawakomoa hawa madaktari ambao nchi za huku kusini zinaheshimika kuliko jambo lolote lile,kama walifikiri wanawakomoa kwa kutumia SADC ili wasipate kazi huku wajua serikali ya Botswana ni serikali imara na madhubuti na haiendeshwi kinafiki
Mkuu, tunawatakia kila la kheri, ila nakukumbusha kwamba uchumi wa Botswana uwezi kulinganisha na wa TANZANIA - vile vile hata population nayo ni ndogo, sasa kama Serikali ya Tanzania haina uwezo wa kuwalipa Madaktari mishahara wanayo dahi inawezaje kuzuia madaktari wasitafute ajila inayo walipa vizuri nje ya nchi; mbona Botswana wapo wa Tanzania wataalamu wa fani mbali mbali na wanasifika sana kwa utendaje wao mzuri wa kazi. Lakini kusema kwamba TANZANIA inaweza kuwazuia Madaktari wasifanye kazi kwenu kwa kutumia SADC naona hiyo kama ni slip up tu hukudhamilia kusema hivyo, kama umedhalimia basi hii inashangaza kidogo!
Last edited by Bukyanagandi; 5th July 2012 at 05:43.
Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana
[QUOTE=Delegate;4170829]hapa tunapoongea sasa hivi wamepokelewa madaktari watano kutoka Mbeya tanzania na tayari residence permit zao zinatengenezwa ili kuanza kazi mara,
watakuwa wanafanya kazi hospitali za Gaborone city council na mishahara yao itakuwa allmost mara saba ya mshahara waliokuwa wanapata tanzania wa laki tisa
My take:
serikali ya tanzania isifikiri inawakomoa hawa madaktari ambao nchi za huku kusini zinaheshimika kuliko jambo lolote lile,kama walifikiri wanawakomoa kwa kutumia SADC ili wasipate kazi huku wajua serikali ya Botswana ni serikali imara na madhubuti na haiendeshwi kinafiki[/Quote
Tafadhali nijuze nini chanzo cha Kifo cha Dr Kimaro,Je alirudihswa nyumbani au alizikwa huko huko?RIP Dr Kimaro!
Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana
waende tu, kwanza ni incompetent ile mbaya, bora tubaki na hospitali za watu binafsi. wataenda huko watachokwa watarudi tu na kazi wataanza kutafuta upya.....yaani huo mkwara kwamba madaktari watahama nchi ni wa kujinga sana kwasababu hakuna hata doctor mmoja anayefanya kazi ya hisani hapa, wote wanaganga njaa/wanatafuta pesa na hizo kazi walizipata kwa mbinde...wakiondoka basi tutaajiri wengine chuo si kina magraduate kila mwaka...kwani nini bwana hata tutishane?
Kama huna meno,usile bisi, kula Bwimbwi yaani kimbugi. Uongozi ukikushinda waachie wanaoweza!
Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana
Kwa mshshara wa 900.0000 wa daktari, hawezi kunywa chupa moja ya "Champagne"..nasema hawezi...simaanishi ulaya, nazungumzia hapo hapo TZ., Haya wa hotel za DAr Es Salaam, Arusha na Mwanza, Nairobi, Mombasa na Kwingineko Afrika ya Mashariki, Nipeni bei ya Champagne hizi hapa:
Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana
By Herald Hunter
Kwa mshshara wa 900.0000 wa daktari, hawezi kunywa chupa moja ya "Champagne"..nasema hawezi...simaanishi ulaya, nazungumzia hapo hapo TZ., Haya wa hotel za DAr Es Salaam, Arusha na Mwanza, Nairobi, Mombasa na Kwingineko Afrika ya Mashariki, Nipeni bei ya Champagne hizi hapa:
Bei hizi (kwa chupa moja) ni nilizikuta Mount Meru Hotel, Arusha wakati wa Mkutano wa AfDB.
Kunywa tu bia moja, mawazo matupu au wanakunywa kujisahaulisha wanayoyapitia...kama kawaida ya waafrika wengi tulivyo.
Ha ha haaaaaa! Mkuu naona sasa unalinganisha tamaa na starehe nk nk. Hata kama ukipewa Tsh. 10 M, kama unatamaa na starehe hazitakutosha. Ila nikweli kwmba wanastahili malipo mazuri. Ila umekuja kwa kunyumbulisha vibaya!
Follow Us Here