Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana

    Report Post
    Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
    Results 21 to 40 of 80
    1. #1
      Delegate's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 126
      Rep Power : 398
      Likes Received
      58
      Likes Given
      28

      Default Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana

      hapa tunapoongea sasa hivi wamepokelewa madaktari watano kutoka Mbeya tanzania na tayari residence permit zao zinatengenezwa ili kuanza kazi mara,
      watakuwa wanafanya kazi hospitali za Gaborone city council na mishahara yao itakuwa allmost mara saba ya mshahara waliokuwa wanapata tanzania wa laki tisa

      My take:
      serikali ya tanzania isifikiri inawakomoa hawa madaktari ambao nchi za huku kusini zinaheshimika kuliko jambo lolote lile,kama walifikiri wanawakomoa kwa kutumia SADC ili wasipate kazi huku wajua serikali ya Botswana ni serikali imara na madhubuti na haiendeshwi kinafiki
      Kichuguu, BAK, Elli and 11 others like this.

    2. Miaka 50

    3. #21
      Abdulhalim's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th July 2007
      Location : Taipei 101
      Posts : 15,742
      Rep Power : 3771
      Likes Received
      1202
      Likes Given
      560

      Default Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana

      i doubt kaa wapasua kichwa badala ya miguu can be marketable anywhere than the land which redefined incompetence..
      Moola's the motive

    4. #22
      bemg's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th April 2010
      Posts : 1,614
      Rep Power : 783
      Likes Received
      218
      Likes Given
      350

      Default Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana

      they are valuable. but kwa rais wetu na waziri mkuu 'liwalo na liwe'
      Ni jambo zuri na la kupendeza sana ndugu kuishi pamoja kwa umoja

    5. #23
      cacico's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th March 2012
      Location : DSM
      Posts : 7,056
      Rep Power : 14521
      Likes Received
      6418
      Likes Given
      5006

      Default Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana

      hivi vasco yupo?? au kaenda us kuchukua negativ ya picha aliyopiga na 50 cent?? nijuzeni jamani! pathetic!
      "the problem is not me! the problem is you understading me!"

    6. #24
      Mzalendo JR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th June 2012
      Posts : 908
      Rep Power : 532
      Likes Received
      277
      Likes Given
      213

      Default Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana

      Some good news for graduates of the same....! Kumbe ndo maana wengi wamejaa kutafuta Passport japo bado wako mwaka wa TANO?

    7. #25
      nkyalomkonza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th June 2012
      Posts : 675
      Rep Power : 583
      Likes Received
      245
      Likes Given
      75

      Default Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana

      Quote By cacico
      hivi vasco yupo?? au kaenda us kuchukua negativ ya picha aliyopiga na 50 cent?? nijuzeni jamani! pathetic!
      Waulize wa akina Zomba ndio wafuta miguu yake.
      Jasusi likes this.

    8. RukaaJuu Final

    9. #26
      paty's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th October 2010
      Location : never never land
      Posts : 1,025
      Rep Power : 975
      Likes Received
      270
      Likes Given
      62

      Default Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana

      kila la kheri madaktari ,
      CHADEMA mwendo mdundo - T 2015 CDM

    10. #27
      stroke's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 17th February 2012
      Posts : 1,427
      Rep Power : 0
      Likes Received
      153
      Likes Given
      4

      Default Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana

      Quote By cacico
      hivi vasco yupo?? au kaenda us kuchukua negativ ya picha aliyopiga na 50 cent?? nijuzeni jamani! pathetic!
      Vasco niko nae hapa tunapanga mkakati wa kwenda Italia kumpa pole baloteli, soon tutapost picha zetu
      Mpiga Nyoka and Delegate like this.

    11. #28
      Delegate's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 126
      Rep Power : 398
      Likes Received
      58
      Likes Given
      28

      Default Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana

      Quote By Tiba
      Are you saying Dr. Kimaro ni marehemu kwa sasa? Alifariki lini? Alikuwa kiongozi wangu imara aliyewezesha maandamano kufanyika hadi kwenye geti la Magogoni!!!!

      Tiba
      Dr Kimaro alitutoka Mkuu!

    12. #29
      Tutafika's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2009
      Posts : 723
      Rep Power : 630
      Likes Received
      215
      Likes Given
      164

      Default Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana

      Huu uzi umenivunja mbavu!, kila kilichoandikwa ni kina mantiki lakini kama mzaha vile!,

      kali zaidi ni hiyo mtu anaulizia kama jamaa ameenda kuchukua negative za picha huko US. Kweli mmemchoka!

    13. #30
      KAPONGO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th May 2009
      Location : Madongo kuinama
      Posts : 601
      Rep Power : 629
      Likes Received
      71
      Likes Given
      216

      Default Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana

      Quote By Delegate
      hapa tunapoongea sasa hivi wamepokelewa madaktari watano kutoka Mbeya tanzania na tayari residence permit zao zinatengenezwa ili kuanza kazi mara,
      watakuwa wanafanya kazi hospitali za Gaborone city council na mishahara yao itakuwa allmost mara saba ya mshahara waliokuwa wanapata tanzania wa laki tisa

      My take:
      serikali ya tanzania isifikiri inawakomoa hawa madaktari ambao nchi za huku kusini zinaheshimika kuliko jambo lolote lile,kama walifikiri wanawakomoa kwa kutumia SADC ili wasipate kazi huku wajua serikali ya Botswana ni serikali imara na madhubuti na haiendeshwi kinafiki
      source! plse! as not every trash put forward are factually correct, some gossips are driven by ill-motives aiming at misguiding us!

    14. #31
      mzawahalisi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th January 2010
      Posts : 420
      Rep Power : 560
      Likes Received
      50
      Likes Given
      15

      Default

      Quote By Haika
      mwanangu ndio anasema eti anataka kuwa dokta, nilikuwa namkazania sana sasa anajua sayansi na hesabu sana, ila na mimi nataka kubadili mawazo nisishabikie huo udaktari anaouota, nadhani asome siasa,
      hivi huwa wanasoma wapi vile?
      Mpeleke kigamboni Chuo Cha mwalimu nyerere aje kuwa raisi kama mwalimu mwenyewe.

    15. #32
      mwaJ's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th September 2007
      Location : Nowhere
      Posts : 3,458
      Rep Power : 14610
      Likes Received
      2294
      Likes Given
      1505

      Default Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana

      Quote By Bajabiri
      Wache wajitafutie riziki ,,,,,gentleman haz no weza
      Umenichekesha sana with that phrase in red!
      “Anyone who has never made a mistake has never tried anything new” -
      Albert Einstein

    16. #33
      BHULULU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th June 2012
      Posts : 3,024
      Rep Power : 8382
      Likes Received
      847
      Likes Given
      698

      Default Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana

      Quote By cacico
      hivi vasco yupo?? au kaenda us kuchukua negativ ya picha aliyopiga na 50 cent?? nijuzeni jamani! pathetic!
      Umefanya nimecheka sana mkuu

    17. #34
      Mpiganaji wa watu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 26th May 2012
      Location : barabarani
      Posts : 32
      Rep Power : 359
      Likes Received
      1
      Likes Given
      4

      Default Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana

      na wlimu vip twende kenya au rwanda wanalipa ngapi kweli

    18. #35
      Mwanaharakati Mkweli's Avatar
      Member Array
      Join Date : 28th June 2012
      Posts : 57
      Rep Power : 359
      Likes Received
      6
      Likes Given
      30

      Default Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana

      Mcheza kwao utuzwa nyumbani ni nyumbani tuu watikumbuka tz kwetu kwa upendo na amani watarudi tuu wakiwa wamechoka ila wawe makini

    19. #36
      Songoro's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th May 2009
      Posts : 2,222
      Rep Power : 0
      Likes Received
      487
      Likes Given
      21

      Default Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana

      Kuweni Makin Botswana hawavumilii wizi wa Dawa,uzembe wa kupasua kichwa badala ya miguu,rushwa ili kutoa rufaa ya kutibiwa nje vigogo maana hakuna kigogo atibiwae nje kwa fedha ya serkal bila ya kupata Rufaa toka kwa madokta wa kibongo,kutoa mimba kwa elfu 20( USD 13)!
      Thanda likes this.

    20. #37
      Ammy the great's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 27th June 2012
      Posts : 3
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      2

      Default Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana

      Quote By Abdulhalim
      i doubt kaa wapasua kichwa badala ya miguu can be marketable anywhere than the land which redefined incompetence..

      u do know what u re talking man hujui uzembe ulikuwa wanani katka hiyo issue "keeping silence it doesnt meant ure fool bt speaking mud concludes that ure poor in thnkng''

    21. #38
      Abdulhalim's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th July 2007
      Location : Taipei 101
      Posts : 15,742
      Rep Power : 3771
      Likes Received
      1202
      Likes Given
      560

      Default Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana

      Quote By Ammy the great
      u do know what u re talking man hujui uzembe ulikuwa wanani katka hiyo issue "keeping silence it doesnt meant ure fool bt speaking mud concludes that ure poor in thnkng''
      would care less about such an act of immense incompetence..sasa huezi niambia habari ya busara wakati tukio zima linaonesha hakuna at least common sense..btw yule mgonjwa mlishamlipa kwa uzembe wenu?
      Nyunyu likes this.
      Moola's the motive

    22. #39
      Duduwasha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2010
      Posts : 2,620
      Rep Power : 6249
      Likes Received
      523
      Likes Given
      418

      Default Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana

      Quote By Tutafika
      Huu uzi umenivunja mbavu!, kila kilichoandikwa ni kina mantiki lakini kama mzaha vile!,

      kali zaidi ni hiyo mtu anaulizia kama jamaa ameenda kuchukua negative za picha huko US. Kweli mmemchoka!
      Wacha uchoyo Mpe like yake Basi...

    23. #40
      Nicholas's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Posts : 5,181
      Rep Power : 3654
      Likes Received
      1315
      Likes Given
      2186

      Default Re: Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana

      dr, akishawachukia watawal hatakiwie tena wajibu.kutakuwana na conflict of interest.Sasa kama daktari anamwambia waziri kuwa warekebishe hata hospital ya dodoma.kwani kuna magonjwa wakipata hata nje mkoa hawatatoka bila kufa bali na uwezo wao wakwenda india.Sasa jiulize kipindi cha pilikapilika za uchaguzi (hasa 2005 CDM watakavyokuwa wanawakimbiza na kila dakika development stories si nzuri), wangapi watajikuta mikononi pa madaktari?Ole wao waliokuwa wakipoteza muda na Mnyika ,huku wakiwa upande wa Serikali na waliomdhuru dr, Uli. Bora hawa jamaa watawanyike.Kwani watanzania bado watajia adjust tuu, mpaka sasa wengi wanatibiwa kwa sangoma/sambunge na phamacies za karibu, au masai fulani.ukishjibizana na Dr. si vyme tena akuhudumie.Ingawa kuna watakaokulewabado si lazima kucheza bahati nasibu.Madaktari wengi huwa kuna vitu vya ziada huwa wanafanya kwa wagonjwa yanayosumbua kutambua au kutibika,ingawa si lazima wafanye.Wana option ya kuku refer ingawa pia wanajua huko uendao wanaweza wasipate jibu.Hizi benefit hatuwezi zipata kirahisi. Itabidi Wanaccm (A-B-C) na wake zao waombe Mungu waugue wakiwa India, watumie imprest hukohuko, wakitua mikono mwa hawa jamaa ipo kazi.Hata hizo hospital za binafsi hao jama pi awana hasira, na wanafuatilia nyuzi sana.
      SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.

    Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...