Marekani yatishia kuiwekea vikwazo vya
kiuchumi Tanzania iwapo itaendelea
kuziachia meli za mafuta za Iran
kutumia bendera yake.
source......bbc.
Marekani yatishia kuiwekea vikwazo vya
kiuchumi Tanzania iwapo itaendelea
kuziachia meli za mafuta za Iran
kutumia bendera yake.
source......bbc.
Hee tumelitibua bwana la kiamerika,sasa tunatafuta bwana la kiarabu,umalaya utatuua maskini ss!
Sasa tutakwenda kuhemea wapi jamani?
" TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA"
yaani naombea tupigwe vikwazo hata leo....
______________________________ _
Niko tayari kufa huku nimesimama kuliko kuishi huku nimepiga magoti....
WASHINGTON (Reuters) - Tanzania must stop the practice of "re-flagging" Iranian oil tankers or it will face the threat of U.S. sanctions and damage its ties with Washington, a U.S. lawmaker warned on Friday.
Howard Berman, the ranking member of the House Committee on Foreign Affairs, accused Tanzania of reflagging at least six and possibly as many at 10 tankers owned by the National Iranian Tanker Company.
safi sana huenda hili dubwasha letu likaweka akili sawa
Liwalo na liwe!!!!!
Siku moja jioni nilikuwa nikiangalia televisheni nikaona mbunge mmoja anachangia kwamba hata tukiwapa bendera yetu kuitumia kuna ubaya kwani na sisi ni watanzania tuna haki ya kutumia bendera ya Tanzania. Sikuelewa vizuri. Leo nimeelewa sasa.
zawadi za tende zinataka kutucost kwenye kila kitu-hawa wapersian wana nini hadi tuwafanya vile wanavyotaka?
“Talk slowly but think quickly”
Maisha yenyewe haya tayari tupo kwenye vikwazo tena vyadunia sio Marekani tu!Sasa Obama anataka tufe nini?
1. Sio ukweli, alieonya ni mbunge mmoja anaejibaragua. Nafikiri unafaham tofauti ya Jimbo na Dola. Kwa hiyo taarifa inayosema kua hiyo ni kauli ya Marekani, ni ya watu wajinga, wachochezi wachache, wasiojua tofauti hizo na sio ya ukweli. 2. Haya mambo ya kuweka bendera ya nchi fulani kwenye meli ni desturi inayokubalika Baharini na mabaharia. Ukipekua utapata ushahidi mwingi tu.
Raisi akitaka anaweza kumpuuza, kwani Mbunge alie andika barua hio anaonyesha ni Mpumbavu katika mambo haya.
Last edited by Mziba; 9th July 2012 at 18:56.
Follow Us Here