Balotelli fury at King Kong cartoon slur in Italian newspaper
Mario Balotelli has found himself at the centre of a new race row, this time sparked by a deeply offensive cartoon depicting him as King Kong in a leading Italian newspaper.
On the morning of Italy’s European Championship encounter with England, Gazzetta dello Sport published a drawing of a giant Balotelli atop Big Ben swatting away footballs in the same way King Kong did aircrafts atop New York’s Empire State Building in the film.
Re: Balotelli fury at King Kong cartoon slur in Italian newspaper
kitu kinachomtafuna Balotelli ni roho ya kukataliwa toka kwa wazazi wake ambao tokea mwanzo walimbagua...hivyo hii imeendelea hata kwa taifa lake la kufikia...
"Mkataa kwao ni mtumwa"
"Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU"
Re: Balotelli fury at King Kong cartoon slur in Italian newspaper
Hakuna shida mtu kukutania kuwa wewe ni black na kama nyani!. well, huna sababu ya kukasirika kwa kuwa wewe siyo nyani! lakini pia unapata shida gani kumwambia au kuwambia wanaokutania kuwa wewe ni mweupe na unafanana na NGURUWE? Kwa ulinganishi nyani ana akili zaidi kuliko nguruwe kwa ufahamu na matendo yao!
Waarabu wanatizama ufanyaji kazi sio kama wazungu hata uwafanyie kazi vipi kwao utabaki kiwa Kima tu, na ndio wao waliokuja na concept ya kuwa eti binaadamu walianza kuwa kima, na michoro yote ni watu weusi!! Mnawathamini wazungu hayo ndio malipo
Wazungu ndio wapiganishaji vita duniani (watengeneza fitna) na ndo viongozi wa dhulma wazi wazi !
Re: Balotelli fury at King Kong cartoon slur in Italian newspaper
By kabindi
Hakuna shida mtu kukutania kuwa wewe ni black na kama nyani!. well, huna sababu ya kukasirika kwa kuwa wewe siyo nyani! lakini pia unapata shida gani kumwambia au kuwambia wanaokutania kuwa wewe ni mweupe na unafanana na NGURUWE? Kwa ulinganishi nyani ana akili zaidi kuliko nguruwe kwa ufahamu na matendo yao!
huu ujumbe ''mweupe na unafanana na NGURUWE'' ungemfikia balotelli ungemsaidia sana.
"Only evil, Godless men would make the color of a man's skin the criteria for granting him civil rights."
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, 1960 . The first President of Tanzania and author of several books.
"Enyi watu (all mankind !) ! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanaume na mwanamke. Na tumejaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamungu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari. Qur'an: 49:13.
Re: Balotelli fury at King Kong cartoon slur in Italian newspaper
By chilubi
Mi huwa nawashangaa wale wenye chuki na waarabu, na wakaaminoshwa kuwa waarabu ndio waanzilishi wa slave trade kisha eti wazungu ndio waliopoga marufuku!! Ukweli uko wazi, kwa wale wanaowathamini wazungu mambo ndo kama hayo, ubaguzi upo wazi, kwenye magazeti hadi kwenye viwanja vya soccer!!
chilubi, Waarabu ndi hovyo hawako mbali na hao wazungu. nchi za Iran na hata hapo Falme za kiarabu Africans wanawekwa daraja la pili. Kama wewe ni houseboy utakula baada ya wao kushiba tena isolated. Kama ni housegirls sanasana atabakwa. Nao wanatumia maneno hayo hayo ya kibaguzi kama mtu mweusi ni mchafu, ana magonjwa na n.k. Kitu kilichobaki ni kwa Africans kupendana wao kwa wao, kwani mwarabu au mzungu tunaowajua wana nini cha zaidi??? tungeacha ufisadi tukajenga uchumi imara kwenye nchi za kiafrika mbona watatueshimu?
A Quick Temper Will Make a Fool of You Soon Enough. '' BRUCE LEE''
Re: Balotelli fury at King Kong cartoon slur in Italian newspaper
By Nyangomboli
Africa ni tajiri kuliko ulaya. Sema sisi ni maskini wa akili tu. Tunawapa wenyewe mali zetu halafu tunakwenda kuwaomba msaamda. Hakuna kitu ambacho hatuna. Ni akili tu na ubinafsi ndiyo unatudhalilisha.
Re: Balotelli fury at King Kong cartoon slur in Italian newspaper
racism is a state of nind, i don't see any offensiveness in the cartoon! The artirst depicted him as superman that can climb to the top of english castles. He is black ofcourse the paint should be black. Super mario showed no mercy to germans
Re: Balotelli fury at King Kong cartoon slur in Italian newspaper
By chilubi
Mi huwa nawashangaa wale wenye chuki na waarabu, na wakaaminshwa kuwa waarabu ndio waanzilishi wa slave trade kisha eti wazungu ndio waliopoga marufuku!! Ukweli uko wazi, kwa wale wanaowathamini wazungu mambo ndo kama hayo, ubaguzi upo wazi, kwenye magazeti hadi kwenye viwanja vya soccer!!
haha...mbona mimi nimeona wabongo kibao wenye ngozi wenyewe wanajiita "weupe km waarabu", wengine "Mzungu",etc na hivyo kujiona kuwa wazuri. Au mbongo akijaribu mtaja binadamu mwingine kuwa ni mzuri basi lazima akazie "Yaani ni mweupe ..km mzungu/mwaarabu".Yaani mentality za watuma wa kambi 2.We nadhani ni kambi ya pili ya utumwa.Sijui unaongelea afadhali au? Umewahi kutana na msomali au mnyarwanda mbovu kuliko hata wewe?bado atakudharau hata kam umempita kila kitu. wazungu wajinga pia wapo, na wachache wema waliopo wana msaada zaidi ya hao wachache, hujaona wazenj wandharau wabara hata waliowapita kila?
SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.
Follow Us Here