Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: DR Congo maasi tena, je, Rwanda mchochwezi tena?

    Report Post
    Results 1 to 18 of 18
    1. #1
      petrol's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 140
      Rep Power : 439
      Likes Received
      45
      Likes Given
      0

      Default DR Congo maasi tena, je, Rwanda mchochwezi tena?

      BBC wametangaza kuwa maasi yamefumuka tena huko Mashariki ya Congo, DR na kwamba zipo tuhuma za maasi hayo kuchochewa na kuungwa mkono na Rwanda.

      Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda katika mahojiano na Zainabu Bedawi wa BBC amekanusha tuhuma hizo. Na kuongeza kwamba kitenda cha jumuiya ya kimataifa kuendelea kutafuta mchawi nje ya DRC ni kukwepa ukweli wa matatizo ya amani katika nchi hiyo na hatawezekana kupata ufumbuzi. Ni sawa na mbuni kuzika kichwa kwenye mchanga wakati nyika zinaungua.

      Hoja yake ni mkwamba matatizo ya uongozi wa DRC yamulikwe na kwa tochi yenye mwanga mkali.

      Nimempenda sana huyu mama kwa sababu siye waswahili tumeanza kujenga usugu wa kulaumu watu wengine kwa matatizo yanayosababishwa na uongozi legelege. Kuna mwenye kubisha?

    2. FemaTV & Radio

    3. #2
      Kituko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th January 2009
      Posts : 3,707
      Rep Power : 1286
      Likes Received
      490
      Likes Given
      173

      Default Re: DR Congo maasi tena, je, Rwanda mchochwezi tena?

      unampendea nini huyo mama Muhongo na mnafiki, hakuna asiyejua kuwa Rwanda inadevelop kwa kutumia rasilimali kutoka DRC na ndio wanaopiganisha vita Eastern Congo kwa maslahi yao zaidi

    4. #3
      matawi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th March 2010
      Posts : 1,449
      Rep Power : 754
      Likes Received
      123
      Likes Given
      67

      Default

      Quote By Kituko
      unampendea nini huyo mama Muhongo na mnafiki, hakuna asiyejua kuwa Rwanda inadevelop kwa kutumia rasilimali kutoka DRC na ndio wanaopiganisha vita Eastern Congo kwa maslahi yao zaidi
      Muhongo ndo mdudu gani? Au ulitaka kusema mwongo?

    5. #4
      Jasusi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2006
      Posts : 10,623
      Rep Power : 2892
      Likes Received
      3839
      Likes Given
      12234

      Default Re: DR Congo maasi tena, je, Rwanda mchochwezi tena?

      As long as Congo itaendelea kutokuwa na infrastructure ya kuunganisha mji mkuu wa Kinshasa na miji mingineyo kama vile Lubumbashi, Kisangani, Kivu na BUkavu, ndoto ya kuwa Congo ni taifa moja itaendelea kuwa ndoto tu. Ukitaka kusafiri katika maeneo yeyote ya Congo nje ya Kinshasa hakuna usafiri wa barabara kabisa. Unawezaje kutawala nchi kama hiyo?
      Ndahani likes this.

    6. #5
      Roulette's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 15th December 2010
      Posts : 5,473
      Rep Power : 35629
      Likes Received
      5027
      Likes Given
      5752

      Quote By Jasusi

      Hivi kweli umesha wahi kufuka Congo au unasema ulicho ambiwa na watu?
      Sokwe Mjanja likes this.
      Information is not knowledge

      Albert Einstein

    7. Miaka 50

    8. #6
      Jasusi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2006
      Posts : 10,623
      Rep Power : 2892
      Likes Received
      3839
      Likes Given
      12234

      Default Re: DR Congo maasi tena, je, Rwanda mchochwezi tena?

      Quote By Roulette
      Hivi kweli umesha wahi kufuka Congo au unasema ulicho ambiwa na watu?
      Sijafika Congo. Labda unaweza kuniambia kama kuna barabara inayounganisha Kinshasa na Bukavu? Na ile boti kwenye mto Congo nasikia iliachwa na wakoloni.
      Roulette likes this.

    9. #7
      Roulette's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 15th December 2010
      Posts : 5,473
      Rep Power : 35629
      Likes Received
      5027
      Likes Given
      5752

      Default Re: DR Congo maasi tena, je, Rwanda mchochwezi tena?

      Quote By Jasusi
      Sijafika Congo. Labda unaweza kuniambia kama kuna barabara inayounganisha Kinshasa na Bukavu? Na ile boti kwenye mto Congo nasikia iliachwa na wakoloni.
      Well, at least you are honest enough to recognise this, sababu the way you wrote it ni kama umesha fuka vile. Kwanza let's get it straight:

      Bukavu ni Capital City ya South Kivu-it is not two separate entities, but one is the province and the other is its capital city. Kuna barabara ya almost 2000km (N2, then N3 from Kassai).

      Hiyo barabara inapitika kwa gari na kwa trucks ila ina section ya 134km (nearly 5%) (Kati ya Kitutu near Kamituda, to Kasongo) ambayo huwezi tumia gari but motor cycle zinapita.

      This makes the trfic possible for people but not for marchandises. they would have to use the N5 (Via the south) wich makes the journey some 2 weeks longer. alternatively wanatumia ndege aina ya Skyvan (Swala Aviation) au Antonovs (Congocom) and of course this has an impact on the price of the goods once at destination.

      Kuhusu Boti kwenye mto Congo sijui ni ipi unayo ongelea sababu mto Congo ni mkubwa sana na una sehem nyingi navigable, from Kisangani all the way to Kinshasa, with hundreds of boats and ferry operating there. Kuna za National Transport (Office des routes), kuna binafsi za kibiashara, kuna binafsi za kutumia for private trips, kuna za kazi (mostly NGO) etc. so maybe you have a name in mind?

      Kisangani and Kinshasa are linked via River Congo and the trafic is regular. Lubumbashi and kishasa are linked by road, rail (half way) but the most practical mean remains air because of the distance (three times Kigoma-Dar).
      For more about transport in the DRC and its challenges, anzia hapa (Simple start)

      Back to the main question of the recrudescence of violence in the DRC: Is this Rwanda again? Nitasema yes, sababu vita hivi tunaongelea hapa (excluding other insecurities caused by bandits, or by the LRA) vinatokana na vitu viwili:

      1. presence of FDLR in the Congo (Rwandand rebels)

      2. Mutinery from former Congolese general (Of Rwandan origin, and backed up by Rwandan Army).

      The responsibility of this war is shared among many stakeholders, ila Rwanda is certainly playing an active role. For more about this, unaweza pitia hapa (Congo Siasa covering the DRC security and Governance problems)
      Ab-Titchaz, Ndahani and The Boss like this.
      Information is not knowledge

      Albert Einstein

    10. #8
      Chipukizi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2009
      Location : Manzese
      Posts : 1,052
      Rep Power : 729
      Likes Received
      263
      Likes Given
      30

      Default Re: DR Congo maasi tena, je, Rwanda mchochwezi tena?

      Tell Kagame and Museven .God is watching and their days are numbered

    11. #9

      Kagame alianza na NKUNDA,aliposhtukiwa hasa pale alipogundua kuwa Nkunda anakamatwa na siri zake zitajulikana akamkamata Nkunda na Mpaka leo amemuifadhi na anampa Bata daile.Na DRC kila wakimwomba ampeleke Nkunda DRC anaziba Masikio.Wa africa tunajisahau sana kuwa kuna Mungu na No body knows Tomorrow. Kagame is African Dracula yeye ndie chanzo cha mauwaji ya Rwanda na yeye todate ndie sababu ya kutokuwepo amaini Kongo.But one day yatamkuta ya Samwel Do na Ya Savimbi. OUR GOD is slow to pay Back but will pay Back at the Wright time. Egypt took 400 years but He pays Faraho to full.

    12. #10
      Kituko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th January 2009
      Posts : 3,707
      Rep Power : 1286
      Likes Received
      490
      Likes Given
      173

      Default Re: DR Congo maasi tena, je, Rwanda mchochwezi tena?

      Quote By Roulette
      Well, at least you are honest enough to recognise this, sababu the way you wrote it ni kama umesha fuka vile. Kwanza let's get it straight: Bukavu ni Capital City ya South Kivu-it is not two separate entities, but one is the province and the other is its capital city. Kuna barabara ya almost 2000km (N2, then N3 from Kassai). Hiyo barabara inapitika kwa gari na kwa trucks ila ina section ya 134km (nearly 5%) (Kati ya Kitutu near Kamituda, to Kasongo) ambayo huwezi tumia gari but motor cycle zinapita. This makes the trfic possible for people but not for marchandises. they would have to use the N5 (Via the south) wich makes the journey some 2 weeks longer. alternatively wanatumia ndege aina ya Skyvan (Swala Aviation) au Antonovs (Congocom) and of course this has an impact on the price of the goods once at destination.

      Kuhusu Boti kwenye mto Congo sijui ni ipi unayo ongelea sababu mto Congo ni mkubwa sana na una sehem nyingi navigable, from Kisangani all the way to Kinshasa, with hundreds of boats and ferry operating there. Kuna za National Transport (Office des routes), kuna binafsi za kibiashara, kuna binafsi za kutumia for private trips, kuna za kazi (mostly NGO) etc. so maybe you have a name in mind?
      Kisangani and Kinshasa are linked via River Congo and the trafic is regular. Lubumbashi and kishasa are linked by road, rail (half way) but the most practical mean remains air because of the distance (three times Kigoma-Dar).
      For more about transport in the DRC and its challenges, anzia hapa (Simple start)

      Back to the main question of the recrudescence of violence in the DRC: Is this Rwanda again? Nitasema yes, sababu vita hivi tunaongelea hapa (excluding other insecurities caused by bandits, or by the LRA) vinatokana na vitu viwili: 1. presence of FDLR in the Congo (Rwandand rebels) na 2. Mutinery from former Congolese general (Of Rwandan origin, and backed up by Rwandan Army). The responsibility of this war is shared among many stakeholders, ila Rwanda is certainly playing an active role. For more about this, unaweza pitia hapa (Congo Siasa covering the DRC security and Governance problems)
      Kwa kuongezea pia, kuna njia ambayo inapitika vizuri tu kutoka North Kivu unakuja Mpaka Sud-Kivu (Bukavu) then inaenda Uvira kupitia Kamanyola na inaunga Mpaka Baraka kupitia Makobora kisha inaenda mpaka Fizi na hapo inashuka Mpaka Misisi-Falls Bendera -Nyange mpaka inafika Kalemie (Katanga Profince) na pale Katanga hiyo njia inaenda mpaka Lubumbashi kwa Kupitia Moba (Hiyo njia ni N2)
      Pia Kuna Train inayotoka Kalemie kwenda Lubumbashi kwa kupitia Maniema Province ambayo ndio yenye huo Mji wa Kasongo ambayo inanjia ya N2 kwenda Kamituga (Sud-Kivu) ambayo ni 170Km (Kamituga-Bukavu)

      Pia Kuna njia inayotoka Nord Kivu kwenda mpaka Oriental Province ambayo nayo inaenda mpaka Kasai kupitia Mbujimayi-Kananga
      Roulette likes this.

    13. #11
      Ndahani's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd June 2008
      Location : Somewhere
      Posts : 9,646
      Rep Power : 4016
      Likes Received
      2940
      Likes Given
      5063

      Default Re: DR Congo maasi tena, je, Rwanda mchochwezi tena?

      Quote By Jasusi
      As long as Congo itaendelea kutokuwa na infrastructure ya kuunganisha mji mkuu wa Kinshasa na miji mingineyo kama vile Lubumbashi, Kisangani, Kivu na BUkavu, ndoto ya kuwa Congo ni taifa moja itaendelea kuwa ndoto tu. Ukitaka kusafiri katika maeneo yeyote ya Congo nje ya Kinshasa hakuna usafiri wa barabara kabisa. Unawezaje kutawala nchi kama hiyo?
      Jasusi, how do you perceive Joseph Kabila as Congo's president? Au kazi ndio ile ile ya kuvaa macheni makubwa na kucheza kamari. Maana kusema ukweli Eastern Congo hakuna serikali kabisa na huko utakutana na matajiri wa kufa mtu. Wanafanya jinsi wanavyotaka kufanya.
      We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
      Ralph Waldo Emerson

    14. #12
      Jasusi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2006
      Posts : 10,623
      Rep Power : 2892
      Likes Received
      3839
      Likes Given
      12234

      Default Re: DR Congo maasi tena, je, Rwanda mchochwezi tena?

      Quote By Roulette
      Well, at least you are honest enough to recognise this, sababu the way you wrote it ni kama umesha fuka vile. Kwanza let's get it straight: Bukavu ni Capital City ya South Kivu-it is not two separate entities, but one is the province and the other is its capital city. Kuna barabara ya almost 2000km (N2, then N3 from Kassai). Hiyo barabara inapitika kwa gari na kwa trucks ila ina section ya 134km (nearly 5%) (Kati ya Kitutu near Kamituda, to Kasongo) ambayo huwezi tumia gari but motor cycle zinapita. This makes the trfic possible for people but not for marchandises. they would have to use the N5 (Via the south) wich makes the journey some 2 weeks longer. alternatively wanatumia ndege aina ya Skyvan (Swala Aviation) au Antonovs (Congocom) and of course this has an impact on the price of the goods once at destination.

      Kuhusu Boti kwenye mto Congo sijui ni ipi unayo ongelea sababu mto Congo ni mkubwa sana na una sehem nyingi navigable, from Kisangani all the way to Kinshasa, with hundreds of boats and ferry operating there. Kuna za National Transport (Office des routes), kuna binafsi za kibiashara, kuna binafsi za kutumia for private trips, kuna za kazi (mostly NGO) etc. so maybe you have a name in mind?
      Kisangani and Kinshasa are linked via River Congo and the trafic is regular. Lubumbashi and kishasa are linked by road, rail (half way) but the most practical mean remains air because of the distance (three times Kigoma-Dar).
      For more about transport in the DRC and its challenges, anzia hapa (Simple start)

      Back to the main question of the recrudescence of violence in the DRC: Is this Rwanda again? Nitasema yes, sababu vita hivi tunaongelea hapa (excluding other insecurities caused by bandits, or by the LRA) vinatokana na vitu viwili: 1. presence of FDLR in the Congo (Rwandand rebels) na 2. Mutinery from former Congolese general (Of Rwandan origin, and backed up by Rwandan Army). The responsibility of this war is shared among many stakeholders, ila Rwanda is certainly playing an active role. For more about this, unaweza pitia hapa (Congo Siasa covering the DRC security and Governance problems)
      Roulette,
      Thanks. This is the kind of information that is helpful here at JF.
      Butola and Roulette like this.

    15. #13
      Jasusi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2006
      Posts : 10,623
      Rep Power : 2892
      Likes Received
      3839
      Likes Given
      12234

      Default Re: DR Congo maasi tena, je, Rwanda mchochwezi tena?

      Quote By Ndahani
      Jasusi, how do you perceive Joseph Kabila as Congo's president? Au kazi ndio ile ile ya kuvaa macheni makubwa na kucheza kamari. Maana kusema ukweli Eastern Congo hakuna serikali kabisa na huko utakutana na matajiri wa kufa mtu. Wanafanya jinsi wanavyotaka kufanya.
      Nadhani bwana mdogo kazi imemshinda. Congo inahitaji mtu visionary ambaye ataweza kuigeuza, kujenga miundombinu yake na pia kuimarisha jeshi.
      Roulette likes this.

    16. #14
      Roulette's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 15th December 2010
      Posts : 5,473
      Rep Power : 35629
      Likes Received
      5027
      Likes Given
      5752

      Default Re: DR Congo maasi tena, je, Rwanda mchochwezi tena?

      Quote By Jasusi
      Nadhani bwana mdogo kazi imemshinda. Congo inahitaji mtu visionary ambaye ataweza kuigeuza, kujenga miundombinu yake na pia kuimarisha jeshi.
      Challenges za Congo ni nyingi sana na sidhani kama mtu mmoja peke yake (au a single government) wanaweza kuleta solution, au hata a global vision that will be accepted by everybody. Imagine nchi ina 71M habitant, 2,345,000sqkm. more than 450 tribes with subtribes. almost 1/3 of the country is the dense equatorial dorest making any type of infrastructure a hadache in term of maintenance, huku ukijua it will only be serving a very small portion of the population since most of them live in urban and peripheral area (40% urban areas, na almost as much in semi rural).

      Sidhani kama kuna one single solution to the problem, ila federalism au at least a strong decentralisation could be the solution as it will reduce the distance between the policy makers and the local communities, and hence will promote the responsiveness to the local needs, in context.

      Mfano, Katanga inaweza kua na challenges za afya zaidi (say HIV because of the mining sector) whereas Kivu ikawa na challenges za security zaidi. Sasa for a central policy maker, national priority inaweza kua eduction, sababu kuna pressure kubwa from the opposition in Kinshasa about education. But ingekua kila province inapewa uwezo wa kudefine its own priorities (and the ways to raise money for them, bila kutegemea za central government) ingeleta nafuu kidogo.

      There exist provincial governments but they are still defining their priorities from the central ones. decentralisation haikua effective kiivo, na most of the mineral royalties (principal source of revenues) are still paid at the central level. Money from aid is not well coordinated and this results in overlaping program with unseen impacts etc. Matatizo ni mengi sana.
      On top of all that, an ill disciplined and corrupt government ambayo haina uchungu na population yake... Kazi ipo... The current pime minister is a 'good guy' ila sasa what is a good person in a corrupt system? what impact can he make alone?
      Ndahani likes this.
      Information is not knowledge

      Albert Einstein

    17. #15
      Kituko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th January 2009
      Posts : 3,707
      Rep Power : 1286
      Likes Received
      490
      Likes Given
      173

      Default Re: DR Congo maasi tena, je, Rwanda mchochwezi tena?

      Quote By Jasusi
      Nadhani bwana mdogo kazi imemshinda. Congo inahitaji mtu visionary ambaye ataweza kuigeuza, kujenga miundombinu yake na pia kuimarisha jeshi.
      Anyway sijuhi niseme nini, lakini kiukweli Dogo amejitahidi sanasana, Barabara zilizokuwa hazipitiki kwa miaka mingi naona sasa ameanza kuzifungua na Askari waliokuwa hawalipwi sasa wanalipwa vizuri na wana Magari ya kufanyia kazi

      Congo soon itasimama, Wamarekani na wenzie (Wafaransa, waingereza, Wachina nk) wapo serious kumaliza vita ya Congo na Kuanza kuchukua madini (Dhahabu, Casiterite, Coltar nk), Pamoja na Mafuta na nature gas along the rift valley

      Chukulia kitendo cha Marekani kuinitiate move ya kumsaka Kony, hii yote ni ile katika kuifanya DRC na maeneo jirani yawe tulivu
      Pia Eastern Congo sasa wanaMgodi wa dhahabu (Twangiza Gold Mine), nadhani upo chini ya Wacanada, na soon watafungua migodi mingine Kamituga/Lugushwa na Namoya, sasa wazungu hawawezi kuwekeza kwenye insecurity

      Hii kelele yote unayoisikia sasa ya kuilaumu Rwanda kuwa ndio inasababiisha fujo DRC ni justfication ya kuitoa Rwanda DRC na ni warning kwa Kagame kuwa akifanya mchezo hata yeye watamtoa

      Kabila kwa miaka mingi hakuwa na courage ya kuwatimua Wanyarwanda kutoka kwenye Jeshi la Congo, ilimshinda mpaka wakaanzisha jeshi la Amani leo-ambalo lilikuwa linajumuisha Wacongo na Wanyarwanda lakini kwa sasa Wanyarwanda wote kawatimua jeshini na karudisha system ya Zamani ya Battalion na hao wanaofanya Vita sasa ni wale waliotimuliwa ndani ya Jeshi la Congo, swali ni kuwa hiyo nguvu Kabila anaipata wapi- Believe me kama Kagame hakubadilika basi siku zake zinahesabika
      Jasusi likes this.

    18. #16
      Ndahani's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd June 2008
      Location : Somewhere
      Posts : 9,646
      Rep Power : 4016
      Likes Received
      2940
      Likes Given
      5063

      Default Re: DR Congo maasi tena, je, Rwanda mchochwezi tena?

      Quote By Roulette
      Challenges za Congo ni nyingi sana na sidhani kama mtu mmoja peke yake (au a single government) wanaweza kuleta solution, au hata a global vision that will be accepted by everybody. Imagine nchi ina 71M habitant, 2,345,000sqkm. more than 450 tribes with subtribes. almost 1/3 of the country is the dense equatorial dorest making any type of infrastructure a hadache in term of maintenance, huku ukijua it will only be serving a very small portion of the population since most of them live in urban and peripheral area (40% urban areas, na almost as much in semi rural).

      Sidhani kama kuna one single solution to the problem, ila federalism au at least a strong decentralisation could be the solution as it will reduce the distance between the policy makers and the local communities, and hence will promote the responsiveness to the local needs, in context.

      Mfano, Katanga inaweza kua na challenges za afya zaidi (say HIV because of the mining sector) whereas Kivu ikawa na challenges za security zaidi. Sasa for a central policy maker, national priority inaweza kua eduction, sababu kuna pressure kubwa from the opposition in Kinshasa about education. But ingekua kila province inapewa uwezo wa kudefine its own priorities (and the ways to raise money for them, bila kutegemea za central government) ingeleta nafuu kidogo.

      There exist provincial governments but they are still defining their priorities from the central ones. decentralisation haikua effective kiivo, na most of the mineral royalties (principal source of revenues) are still paid at the central level. Money from aid is not well coordinated and this results in overlaping program with unseen impacts etc. Matatizo ni mengi sana.
      On top of all that, an ill disciplined and corrupt government ambayo haina uchungu na population yake... Kazi ipo... The current pime minister is a 'good guy' ila sasa what is a good person in a corrupt system? what impact can he make alone
      ?

      Umeongea jambo la maana sana Roulette. Congo itajengwa na wacongo wenyewe ila lazima waangalie mambo tofauti na ilivyo sasa. Ile nchi inavunwa kweli na wajanja wajanja. Wao hawajashituka bado.
      Roulette likes this.
      We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
      Ralph Waldo Emerson

    19. #17
      Roulette's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 15th December 2010
      Posts : 5,473
      Rep Power : 35629
      Likes Received
      5027
      Likes Given
      5752

      Default Re: DR Congo maasi tena, je, Rwanda mchochwezi tena?

      Quote By Kituko
      Anyway sijuhi niseme nini, lakini kiukweli Dogo amejitahidi sanasana, Barabara zilizokuwa hazipitiki kwa miaka mingi naona sasa ameanza kuzifungua na Askari waliokuwa hawalipwi sasa wanalipwa vizuri na wana Magari ya kufanyia kazi

      Congo soon itasimama, Wamarekani na wenzie (Wafaransa, waingereza, Wachina nk) wapo serious kumaliza vita ya Congo na Kuanza kuchukua madini (Dhahabu, Casiterite, Coltar nk), Pamoja na Mafuta na nature gas along the rift valley

      Chukulia kitendo cha Marekani kuinitiate move ya kumsaka Kony, hii yote ni ile katika kuifanya DRC na maeneo jirani yawe tulivu
      Pia Eastern Congo sasa wanaMgodi wa dhahabu (Twangiza Gold Mine), nadhani upo chini ya Wacanada, na soon watafungua migodi mingine Kamituga/Lugushwa na Namoya, sasa wazungu hawawezi kuwekeza kwenye insecurity

      Hii kelele yote unayoisikia sasa ya kuilaumu Rwanda kuwa ndio inasababiisha fujo DRC ni justfication ya kuitoa Rwanda DRC na ni warning kwa Kagame kuwa akifanya mchezo hata yeye watamtoa

      Kabila kwa miaka mingi hakuwa na courage ya kuwatimua Wanyarwanda kutoka kwenye Jeshi la Congo, ilimshinda mpaka wakaanzisha jeshi la Amani leo-ambalo lilikuwa linajumuisha Wacongo na Wanyarwanda lakini kwa sasa Wanyarwanda wote kawatimua jeshini na karudisha system ya Zamani ya Battalion na hao wanaofanya Vita sasa ni wale waliotimuliwa ndani ya Jeshi la Congo, swali ni kuwa hiyo nguvu Kabila anaipata wapi- Believe me kama Kagame hakubadilika basi siku zake zinahesabika
      A bit out of topic: Nimesoma na kuelewa reasoning yako, ila ningependa tu ufikirie kidogo huo uwekezaji wa migodi ya madini na gas unawafaidi kuna nani. The way you put it ni kama ni kwa faida ya Congo... well, this is arguable.
      How could a developing country ambayo ressource yake ya kwanza ni gas, oil na madini, live with no industrial code (not the mining code which it a technical document, not an economic one)? yani kila kampuni ya uchimbaji madini au gas exploitation unakua na convention yake, tena zinalindwa kwa siri, bila population (or sometimes bunge na government) kujua? shady deals, tax vacancies and strong unmitigated impact at the local level. kumbuka hizi ni non renewable resources tunaongea, so one day zitaisha (sio kama the forest ambayo tunaweza kuirudisha in 200 years or so).
      Jasusi likes this.
      Information is not knowledge

      Albert Einstein

    20. #18
      rmashauri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th January 2009
      Location : Ng'wanza Sukuma
      Posts : 2,860
      Rep Power : 1200
      Likes Received
      350
      Likes Given
      681

      Default Re: DR Congo maasi tena, je, Rwanda mchochwezi tena?

      Quote By Chipukizi
      Tell Kagame and Museven .God is watching and their days are numbered
      Mkuu hawa wanatumiwa tu na Wamarekani kuwaibia Wakongo rasilimali zao na wao (uganda na Rwanda) wanachukua kiasi. Wamarekani ni majangili, hawataki kutuona waafrika tukineemeka na rasilimali zetu. Na kwa vile walishatuona hamnazo wanatutumia sis wenyewe kuwasaliti waafrika wenzetu kwa mtutu wa bunduki. Waasi wanakaa miaka nennda rudi porini wana biashara gani ya kuwapatia kipato cha nunua hizo silaha na mahitaji yao mengine? Mbona haya hawayafanyi kwa wazungu wenzao?
      Kituko and Roulette like this.
      Haki huinua taifa bali dhambi ni aibu ya watu wote (Mithali 14:34)

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...