Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Waisrael waandamana kupinga waafrika wahamiaji

    Report Post
    Page 2 of 8 FirstFirst 1234 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 143
    1. #1
      Gamba la Nyoka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st May 2007
      Posts : 1,642
      Rep Power : 958
      Likes Received
      266
      Likes Given
      97

      Default Waisrael waandamana kupinga waafrika wahamiaji

      Thousands of Israelis, including high-profile politicians, attended an anti-African demonstration in Tel Aviv. The rally turned violent, with attacks on Africans and grocery shop windows being smashed. sOURCE:Israeli Kristallnacht: Africans attacked in Tel Aviv anti-migrant demo (PHOTOS) — RT
      Chadema kama mnapokea misaada kutoka nje bila kufanya tathmini, angalieni mkishika dola msije mkaiuza Tanzania na watu wake kwa vijimisaada vichache- Hao wanaowapa misaada hawana permanent Friends/Enemies, bali wana permanent Interests.

    2. Study Abroad

    3. #21
      majorbuyoya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st April 2012
      Posts : 663
      Rep Power : 2612
      Likes Received
      183
      Likes Given
      238

      Default Re: Waisrael waandamana kupinga waafrika wahamiaji

      Watanzania kwa unafiki lo!!. Yaani mnajifanya mna uchungu na hao Waafrica wanavyofanyiwa huko Israel kuliko Wabongo wenzenu wanavyonyanyaswa na serikali yao wenyewe hapa nchini kwetu?. Mbona hampigi kelele kila siku Policcm wanavyowavurumishia mabomu ya machozi wamachinga na Chadema? Mbona hamlalamiki jinsi serikali yenu inavyowathamini wawekezaji kiasi kwamba hadi wawekezai wanafikia hatua za kuwajeruhi au kuwauwa ndugu zenu huko migodini na mashambani? Kuna ufisadi wa EPA, Richmond, Meremeta n.k hii sio uonevu na dhuluma kwa Watz? Tujaribu kutoa Boliti katika jicho letu wenyewe kabla ya kutaka kuondoa kibanzi kwenye jicho la mwenzetu. Waisrael wameamua kufanya hivyo ili kutetea maslahi yao ndani ya nchi yao, na nyie kwanini msiwafukuze Waisrael au wazungu waliomo ndani ya nchi yenu?. Miaka michache iliyopita kulikuwa na matukio ya kuwafukuza raia kutoka nchi nyingine na wengi waliuawa huko South Africa, nahisi matukio hayo yalikuwa ni ya kinyama zaidi kuliko hata yaliyotokea Israel. Sasa kama sisi wenyewe kwa wenyewe tunauwana, itakuwaje tujifanye tuna uchungu kuona Waisrael wanatunyanyasa kwao? Tuwe tunatulia katika nchi zetu na kuweka strategy za kujenga nchi zenu zifikie katika hali kama ya huko mnapopatamani kukimbilia kila siku kama hampendi kunyanyaswa, nadhani hiki ndicho Waisrael wanataka Waafrica tutambue. Bado safari ni ndefu sana kwetu Waafrika, tunatakiwa tumuombe sana Mungu ili atujalie ufahamu wa kujitambua na kupigania haki zetu na manyanyaso yaliyomo ndani ya nchi zetu badala ya kuanza kushabikia yanayotokea kwa wenzetu ambapo kelele zetu hazisaidii kuzuia hayo yasitokee wala hazitusaidii sisi katika kutatua matatizo ya msingi yanayotukabili.
      malipula likes this.

    4. #22
      chief-mkwawa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th May 2011
      Posts : 3,431
      Rep Power : 1542
      Likes Received
      988
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By majorbuyoya

      Em soma hapo juu hili ni jukwaa la kimataifa na sio habari za ndani tuelimike jaman angetaka kuongea siasa jukwaa laje lipo.
      ITEGAMATWI likes this.

    5. #23
      chief-mkwawa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th May 2011
      Posts : 3,431
      Rep Power : 1542
      Likes Received
      988
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By warea
      Sidhani kama hawapendi waafrika!
      Tatizo kubwa la waafrika na waarabu ni kuwa hatutaki kutatua matatizo yetu wenyewe ndio maana tunang'ang'ania nchi za watu.
      Israel ni kaeneo kadogo sana, lakini utashangaa watu wenye maeneo makubwa kama waarabu na waafrika wanakimbilia Israel.
      Kwa nini waarabu wanashindwa kuwapa hifadhi waarabu kipalestina?
      Kwa nini waafrika wanakimbilia ulaya na Israel?
      Wakati kuna maeneo makubwa uarabuni na Afrika?
      Wanasiasa wetu hawana mipango kuhudumia raia wao.
      Hatupendani wenyewe.
      Mnhh ni waarabu ndio wanakimbilia israeli au israel ana chukua maeneo ya palestine acha bias

    6. #24
      mtu kitu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 23rd April 2011
      Posts : 122
      Rep Power : 437
      Likes Received
      27
      Likes Given
      4

      Default Re: Waisrael waandamana kupinga waafrika wahamiaji

      Hawakuanza leo wala jana.........ni wanafunzi wa Hitler ,wamesoma vizuri kwani kati yao walikuwa askari wenye vyeo vya juu katika jeshi lake.Haya ni marudio tu .
      wateule hao hawana makosa !!!

    7. #25
      mtotowamjini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Location : None of Your Business
      Posts : 4,531
      Rep Power : 1262
      Likes Received
      1109
      Likes Given
      28

      Default Re: Waisrael waandamana kupinga waafrika wahamiaji

      na wao waafrika wanafanya nini israel of all places
      Last edited by mtotowamjini; 25th May 2012 at 08:15.
      Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde

      One man's good fortune is another man's misfortune

    8. Miaka 50

    9. #26
      njiwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th April 2009
      Location : ax^2+bx+c=0
      Posts : 4,942
      Rep Power : 2365
      Likes Received
      951
      Likes Given
      171

      Default

      Quote By mtotowamjini
      na wao waafrika wanafanya nini israel of all the places
      Swali gani hilo.... mbona wapo raia weupe wa nchi zingine hawawabagui .. kwanini ngozi nyeusi!?
      Pure Matrimony >> Purity starts here (Quran 24:26)
      My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective" Njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯

    10. #27
      mtotowamjini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Location : None of Your Business
      Posts : 4,531
      Rep Power : 1262
      Likes Received
      1109
      Likes Given
      28

      Default Re: Waisrael waandamana kupinga waafrika wahamiaji

      Quote By njiwa
      Swali gani hilo.... mbona wapo raia weupe wa nchi zingine hawawabagui .. kwanini ngozi nyeusi!?
      kumbuka hao weupe unakuta wengi wao ni wamarekani ambao ni rafiki zao na pia kuna swala la udini..unaweza ukute majority ya hao waafrika huko israel labda ni waislam na unajua israel ilivyo sensitive na maswala ya dini.
      Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde

      One man's good fortune is another man's misfortune

    11. #28
      jfforjamii's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd December 2011
      Posts : 134
      Rep Power : 403
      Likes Received
      18
      Likes Given
      177

      Default Re: Waisrael waandamana kupinga waafrika wahamiaji

      Quote By ally kombo
      taifa teule la mungu linakataa watu wa mungu ! Ajabu !!?
      narration tuu hio historia zote zimeandikwa na wanadamu mungu hana ubaguzi wa aina yeyeote

    12. #29
      winner forever's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th March 2012
      Location : Port of Spain
      Posts : 548
      Rep Power : 557
      Likes Received
      101
      Likes Given
      88

      Default Re: Waisrael waandamana kupinga waafrika wahamiaji

      Quote By Pakawa
      For real!??? Taifa langu Israel nimekutendaje au kwa jambo gani nimekusikitisha????
      Eee Mungu wa Ibrahimu,Mungu wa Isack, Mungu wa Yakobo, Mungu wa Daudi na Mungu wa babu zetu,tunakulilia leo ubadilishe mioyo ya waisrael iwe na upendo kwa watu wa mataifa yote,kwa maana hakuna upendo uliyo mkuu kama mtu kuutoa uhai wake kwa ajili ya wengine

    13. #30
      Lizzy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th May 2009
      Location : UngaLTD!
      Posts : 21,403
      Rep Power : 14596
      Likes Received
      7869
      Likes Given
      1969

      Default

      Quote By mtotowamjini
      kumbuka hao weupe unakuta wengi wao ni wamarekani ambao ni rafiki zao na pia kuna swala la udini..unaweza ukute majority ya hao waafrika huko israel labda ni waislam na unajua israel ilivyo sensitive na maswala ya dini.
      Actually wengi wao wanatokea Ethiopia na wanaingia kule kwa kujiita waJEWS kwahiyo sio waislam. Hata kuishi wanaishi upande wa waIsrael na jeshi lao wanasoma.
      Maundumula and abunura like this.

    14. #31
      Tutafika's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2009
      Posts : 723
      Rep Power : 629
      Likes Received
      215
      Likes Given
      164

      Default Re: Waisrael waandamana kupinga waafrika wahamiaji

      Dah, nikisikia mweusi kabaguliwa nahisi kuumwa tumbo!, sijui ni wasiwasi au hasira?

    15. #32
      andate's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th June 2011
      Posts : 1,155
      Rep Power : 633
      Likes Received
      399
      Likes Given
      2137

      Default Re: Waisrael waandamana kupinga waafrika wahamiaji

      Watanzania ambao hawajawahi kuishi nje ya Tanzania huwa wanathamini sana raia wa kigeni. Laiti kama wangejua wasivyotuthamini tukiwa kwenye nchi zao wasingethubutu kuwa-karimu kiasi hicho.
      ITEGAMATWI likes this.

    16. #33
      Maundumula's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Posts : 4,896
      Rep Power : 3090
      Likes Received
      1324
      Likes Given
      5608

      Default Re: Waisrael waandamana kupinga waafrika wahamiaji

      Waafrika rudini nyumbani tujenge bara letu.

    17. #34
      Biohazard's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2011
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 1,365
      Rep Power : 991
      Likes Received
      308
      Likes Given
      210

      Default Re: Waisrael waandamana kupinga waafrika wahamiaji

      Duh....! MUNGU IBARIKI AFRIKA

    18. #35
      IGWE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2011
      Location : Blue Plaza Building-Arusha
      Posts : 5,075
      Rep Power : 3256
      Likes Received
      1244
      Likes Given
      1194

      Default

      Quote By ally kombo
      Kuna watu humu JF wanasema ukiwakataa 'Wayahudi' basi umelaaniwa !
      ally kombo..sio wayahudi tu hata ukiwakataa waarabu na hasa wale wa saudi arabia/macca utakuwa umelaaniwa mungu wa upande wa pili.

    19. #36
      Baba Mkali's Avatar
      Member Array
      Join Date : 9th February 2011
      Posts : 57
      Rep Power : 430
      Likes Received
      9
      Likes Given
      2

      Default Re: Waisrael waandamana kupinga waafrika wahamiaji

      Hebu wale wateule waje watupe maelezo kidogo hapa (wale wenye bendera ya Israeli kwenye magari na sebule zao na kuamini ukiwachukia umelaniwa).
      Najua watakuja na utetezi tu!!!sasa sijui nani hapo atakuwa amelaaniwa?

    20. #37
      Ng`wanakidiku's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th April 2009
      Posts : 1,126
      Rep Power : 739
      Likes Received
      216
      Likes Given
      395

      Default Re: Waisrael waandamana kupinga waafrika wahamiaji

      Quote By LE GAGNANT
      Blacks outside africa are always in trouble.
      Wanachukiwa sana!!!Except in Christ 90% wanawapenda waafrica. Kwani ukijiuliza swali simple, if it happen you were born blind, how could you know that there are back and white, with exception on knowing how a woman be like and men be like?
      Mimi siyo mwana siasa!

    21. #38
      Ally Kombo's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 11th November 2010
      Location : Dar es salaam
      Posts : 5,600
      Rep Power : 0
      Likes Received
      785
      Likes Given
      169

      Default

      Quote By mtotowamjini
      kumbuka hao weupe unakuta wengi wao ni wamarekani ambao ni rafiki zao na pia kuna swala la udini..unaweza ukute majority ya hao waafrika huko israel labda ni waislam na unajua israel ilivyo sensitive na maswala ya dini.
      Kwa hiyo Mmarekani mweusi habaguliwi? Majibu mengine unaishia kucheka tuu !

    22. #39
      Manumbu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th October 2009
      Location : Close to U
      Posts : 1,127
      Rep Power : 723
      Likes Received
      259
      Likes Given
      760

      Default Re: Waisrael waandamana kupinga waafrika wahamiaji

      Waisraeli wamechemsha kwa kuwapinga waafrika Israel. Kwanza kwa mujibu wa zionism, wayahudi wote kokote waliko duniani wanapaswa kurudi kwenye nchi ya 'ahadi' i.e. israel, taifa lililoundwa mashariki ya kati 1947. Zionism haisemi ni wayahudi wenye asili ya uzungu tu. na wapo wayahudi wenye asili ya afrika, ambao wengi wao wako Ethiopia, wanaojua historia na dini watamkumbuka malkia sheba na watu wake walioenda uyahudini enzi za mfalme Suleiman. walirudi na mimba etc na kuzaa watoto hao ambao ni wayahudi wa Ethiopia - Falashi, kama sikosei. sasa zionism inawakumba mpaka hao mafalashi na wao wana hiyo 'haki' ya kwenda kwenye nchi ya 'ahadi'. kwa hiyo kwa wayahudi 'wenye rangi' kuwabagua waafrika, ni aibu kubwa sana kwa taifa kama Israeli. Tena inakuwa mbaya zaidi kwani Israel iko mbele kupambana na kubaguliwa waliofanyiwa wayahudi enzi za Hitler. leo wao ndo wanaandamana na kuwapiga waafrika. dhana ile ile ya ubaguzi na wao wanairudia.

      Kwa kweli zile sala za kuiombea Israel, wala sioni mantiki yake. ni bora tuziombee nchi zetu, ambazo zinatuhusu na ni zetu!
      "Falling Down does not mean being Buried" - Manumbu on 1st June 2011

    23. #40
      njiwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th April 2009
      Location : ax^2+bx+c=0
      Posts : 4,942
      Rep Power : 2365
      Likes Received
      951
      Likes Given
      171

      Default Re: Waisrael waandamana kupinga waafrika wahamiaji

      Quote By IGWE
      ally kombo..sio wayahudi tu hata ukiwakataa waarabu na hasa wale wa saudi arabia/macca utakuwa umelaaniwa mungu wa upande wa pili.
      IGWE hapo kwenye RED si kweli .... Mafunzo ya dini yetu waislam yanasema mbora kati yetu ni yule mwenye kutenda mambo mema na kukataza maovu!.... haikuwapa special priority watu wa aina flani au ngozi flani...
      kwamwewe likes this.
      Pure Matrimony >> Purity starts here (Quran 24:26)
      My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective" Njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯

    24. FemaTV & Radio
    Page 2 of 8 FirstFirst 1234 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...