JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Uchaguzi France

  Report Post
  Page 6 of 6 FirstFirst ... 456
  Results 101 to 105 of 105
  1. TUJITEGEMEE's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 6th November 2010
   Location : KUFIKIRIKA
   Posts : 5,981
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1787
   Likes Given
   5576

   Default Vipi Kuhusu Uchaguzi wa UFARANSA na sekeseke la Sarkozy na ela za Waafrika wa Libya ??

   Kwa sasa kinachompata Sarkozy katika uchaguzi juu ya namna alivyoingia ikulu ya UFARASA kwa mara ya kwanza kunadhihirisha udhalimu wa Rais huyu. Kwani ameweza "kumchinjia baharini" mtu aliyechangia kwa kiasi kikubwa kumuingiza madarakani. Kuwa makini sana na watu wa namna hii. Litakuwa jambo jema kama atakuwa Rais wa muhula mmoja.


   Nilipo post habari hii hapa chini katika uzi wa Rise and Fall of Col. Gaddaf( post # 2358 ya tarehe 6-04-2011) wengi walidhani ni uzushi. Sasa ukweli umejulikana>>> http://www.uruknet.info/?p=m87618&fb=1

   [QUOTE=MpigaKelele;1823146]


   SarKozy anadaiwa na wanamchi wa libya Pesa alizotumia kwenye Kampeni za Uchaguzi mwaka 2007.....
   Hebu mwanaJF fuatilia kisa hiki hapa chini......


   The reason for Sarkozy wanting the complete and total destruction of Libya lies in the threats made against him last week by the Libyan leader’s son, Saif al-Islam Gaddafi, who threatened to reveal a “grave secret” that would bring down the embattled French President.
   The “grave secret” feared by Sarkozy we can further read about as reported London’s Guardian News Service, and which, in part, says:
   Muammar Gaddafi’s son has claimed that Libya helped finance Nicolas Sarkozy’s successful election campaign in 2007, and demanded that the French president return the money to “the Libyan people”.
   In an interview with the Euronews TV channel, Saif al-Islam Gaddafi said Libya had details of bank transfers and was ready to make them public in a move designed to punish Sarkozy for throwing his weight behind opposition forces.”


   Source>>>>> Russia Reports France Threat Against Obama Brought
   Udadisi.........

   http://www.jamiiforums.com/member.php?u=31026


  2. Raia Fulani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th March 2009
   Posts : 10,004
   Rep Power : 2891
   Likes Received
   1540
   Likes Given
   997

   Default Re: Ufaransa yapata rais mpya leo bada ya kutangaziwa Uchindi Mr Francois Hollande kuwa rais mpya

   tatizo la kwetu ni kwamba tuna wanasiasa waliofanya siasa ni ajira. Bila siasa hawawezi kuishi. Bila siasa hawawezi kushinda zabuni

  3. Pasco_jr_ngumi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th November 2010
   Posts : 1,780
   Rep Power : 330750
   Likes Received
   235
   Likes Given
   57

   Default

   Wenyew wanakuja..... Subir usutwee!!!!!? Agrrrrrrrrr.
   Quote By Hingi Jr View Post
   Tunampongeza Rais mpya wa ufaransa! Lakini CCM ni chama imara na chenye wanachama wengi sana ambao wako tayari kujitoa kwa ari zaidi,nguvu zaidi na kasi zaidi kukiimarisha chama ili kiweze kuleta maendeleo kwa Taifa letu hiyo ya ufaransa ni changamoto tu inayokifanya CCM kijipange vizuri ili kizidi kuwatumikia watanzania.Nyie mnaofikiria kushinda chaguzi kwa kuonewa huruma mtasubili sana kwani kwa Tanzania hakuna chama bora na chenye mwelekeo sahihi kama CCM.
   CCM OYEEEE........................ ...........................

  4. Nonda's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th November 2010
   Location : Gongo La Mboto
   Posts : 8,863
   Rep Power : 75145174
   Likes Received
   1763
   Likes Given
   618

   Default Re: Hollande ammwaga Sarkozy

   Quote By KELVIN GASPER View Post
   Sakozy aliongoza mashambuli ya kumng'oa na kumuua gadaffi, wakati mwaka 2008 alipewa fedha ya kampeni na gadaffi USD 66,000,000.
   “If The New French Government Fails To Arrest Sarkozy For War-Crimes In Libya, The Repercussion On France May Be Devastating…..”—Fair Justice (FJ)

   zaidi hapa http://www.republicreport.com/%e2%80...4fair-justice/

  5. Koba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd July 2007
   Location : Pasadena California
   Posts : 5,641
   Rep Power : 1943
   Likes Received
   767
   Likes Given
   827

   Default Re: Uchaguzi France

   Hizi austerity policy zilizochukuliwa na Conservatives European goverments ndio zinawaangusha,hizi austerity/cut policies sound safi sana lakini practically is just a disaster ndio maana nchi nyingi za Europe na Britain ya Cameroon zimefall tena in double dip recession na wasipobadilisha wataendelea kuwa maskini tuu na conservatives government zote zitaangusha kwa ajiri ya hii,Obama aliamua tofauti sana na wenzake ndio maana Economy is growing ingawaje wapinzani wake hawataki kukubali wamebaki kusema we can do better lakini at the same time ukiangalia details zao wanataka kufanya walichofanya wenzao wa Europe cut cut cut etc hope Americans are paying attention la sivyo Republican wakichukua tuu ujue dunia nzima itakuwa in recession
   "Freedom is incomplete if it is exercised in poverty."-Harry Schwaz

  6. Nonda's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th November 2010
   Location : Gongo La Mboto
   Posts : 8,863
   Rep Power : 75145174
   Likes Received
   1763
   Likes Given
   618

   Default Re: Uchaguzi France

   Quote By Nonda View Post
   Sarkozy asubiri kesi na kufika mahakamani kujibu madai atakayoundiwa(bambikiwa). Ni kawaida kwa viongozi wa Ufaransa baada ya kuanguka au kumaliza kipindi cha uongozi kufunguliwa mashtaka.

   Shtaka moja litakalomkabili ni kukubali kupokea pesa kutoka Libya kwa ajili ya uchaguzi uliomuingiza madarakani na kukalia kiti cha urais.
   Nicolas Sarkozy loses his judicial immunity on Saturday. France's former president may soon face an embarrassing grilling by French prosecutors over a series of party funding allegations that had dogged his term in office.

   Link hii Sarkozy comes under the radar of French prosecutors - FRANCE - FRANCE 24  Page 6 of 6 FirstFirst ... 456

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...