Salaam kwenu wote. Hawa Marais hapo awali Nchi zao zilikuwa, zinaongozwa na vyama tawala yaani kama Ccm kwa hapa nyumbani. Pia vipindi hivyo huwa marais hao kabla ya Upinzani kushika hatamu,walikuwa wakialikwa kuja nchini kwa ziara mbali mbali za kiserikali.Mfano maonyesho ya sabasaba n.k
Lakini kwasasa nchini mbili ziko mikononi kwa vyama pinzani,kihalali kwa maamuzi yaliyotukuka ya wananchi baada ya kuvichoka vyama tawala. Hoja yangu ni kutaka kujua ikiwa kama ccm hapo awali ilikuwa ni swahiba mzuri na nchini hizi na sasa wako wapinzani, uswahiba umekwisha?
Je hawa marais wakati wanaapisha Rais wetu alikwenda maana naona huenda kwakuwa GHANA na ZAMBIA ni wapinzani undugu ukafifia.

Reply With Quote

Follow Us Here