Anybody watching the show ? is on right now at WCBS_The amazing race
Wanaonyesha reality show wamefanyia Arusha -na Manyara ....
Anybody watching the show ? is on right now at WCBS_The amazing race
Wanaonyesha reality show wamefanyia Arusha -na Manyara ....
Safi sana nimeipenda hiyo.
Just because presidents screws around, it doesn't make a president for screwing around..
hiyo ni chaneli ya wapi?..
Just because presidents screws around, it doesn't make a president for screwing around..
Aha ha ha ha haaaaa!!!!!!!!!!!
Inafurahisha sana..
Hawa ni wabunifu katika kuitambulisha nchi nje ya mipaka yetu....
''Hatujaenda Shule Lakini Tumeelimika'' Abed Aman Karume.
That’s great at least the world can see a different side of Africa coz ordinarily they only show the slums, hungers and wars
ni American Channel !!! hii ni Mara ya Pili Kuja Lake Manyara, na ni Mara ya Tatu kwa Tanzania, mpka sasa ni Amzing Race 20 zimefanyika, CBS TV Network Primetime, Daytime, Late Night and Classic Television Shows. ni show yenye watazamaji wengi sana Duniani na America hii ni boost kubwa kwa Utalii wetu !! tombe waje tena Tanzania kwenye Race zijazo.
- Mark and Bopper
Tanzania Leg Winners
Tazama John Legend show me song inatangaza zanzibar
Utawasikia ma ..... wanasema hiyo ni EAC ..... ..... .... patachimbika tu.
nakumbuka wakati mmoja nilisafiri ubelgiji mzungu mmoja huko akaniuliza nimetoka nchi gani nikamwambia tanzania akashangaa sana akaniambia kwa kweli hajawahi kusikia nchi kama hiyo basi nikamwambia tunapakana na kenya akasema kenya inatambulika sana na anaifahamu vizuri akaniambia ana rafiki amewahi safiri mbuga ya serengeti nchini kenya nikamwambia iko tz akashangaa tena akasema huyo rafiki pia alisafiri mji wa dar es salaam ambao ni mji wa pwani ya kenya nikachoka kumjibu
Hawa jamaa walikuwa Uganda hivi karibuni.Wanabadilisha sceneries tu,tusijipe hope sana.Tunabidi kukaza buti sana,bodi yetu ya utalii imelala sana,wanatumia pesa nyingi sana kwenye matangazo ambayo sidhani kama yanaleta thamani ya pesa inayotumika-value for money.Kutangaza tu kwenye viwanja vya EPL hakutoshi na wala sidhani kama kuna impact kubwa sana.Kwa nini wasi-jaribu kulipa waandishi wa novels hasa za romance wakawa wanaitaja sana Tanzania na vivutio vyake,imagine reading a Danielle Steel novel where a happy couple have a two-weeks stay in Arusha or Serengeti.kwa mabilioni wanayotengewa sidhani kama wanashindwa kuandaa marathon race ya ukweli itakayoweza kuvutia wanariadha wa kiwango cha kimataifa.Huwezi kuorganise marathon ya zawadi ya Milioni 1 ukavutia wanariadha wa kimataifa wenye ku-draw attention ya media.
''Hatujaenda Shule Lakini Tumeelimika'' Abed Aman Karume.
Follow Us Here