| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 20007
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Unapopambana basi ujue mengi yatakufika na hii ni moja ya misukosuko ya mpambanaji.Kuhusu Uhusiano uliopo baina ya vyama viwili ulivyovitaja hapo ni kwamba kimoja kilitoa msaada na mchango mkumbwa kuhakikisha zimbabwe inakua huru when It comes to the power........ wote wanapenda watawale daima kwenye nchi zao..............................!
|
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Lunyungu
Nimeongeza hiyo picha, watu waone hao ZANU PF walivyo. |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Bob Mugabe amepiga marufuku mkusanyiko wa aina yoyote ya kisiasa. Hivi majuzi nafikiri umoja wa makanisa ulikuwa umeitisha ibada ya dini zote kuiombea Zimbabwe ipate nafuu kutokana na hali ngumu ya uchumi na maisha magumu waliyo nayo raia hasa ukizingatia kuwa sasa hivi inflation ni 1700% na noti zao zimekwihsa fanyiwa ukarabati mara kadhaa hivi ambapo safari fulani waliondoa sifuri nne nadhani, yaani iliyokuwa Z$100,000 ikawa Z$10, lakini kutokana na inflation rate waliyo nayo wakajikuta tena wananabeba mzigo mkubwa sana wa manoti.
Bwana Tsvangirayi alikwenda kuhudhuria ibada hiyo pamoja na viongozi wengine wote wa upinzani. Sasa kuonekana kwa bwana Tsvangirayi kwenye viwanja hivyo na kushangiliwa na wafuasi wake kukafanya askari wa Bob waone kuwa kile kilikuwa ni kikao cha kisiasa na ndipo wakavurumishwa. Nimesoma kuwa amepasuliwa fuu la kichwa. Tabia ya vyama vyetu vilivyoongoza mapambano ya uhuru kudhani kuwa nchi ni mali yao kweli inaleta kasoro sana katika harakatinzima za kisiasa na kidemokrasia barani Afrika. Kenya, Malawi na Zambia walifanikiwa kuving'oa vyama hivyo kutoka madarakani kutokana na kushindwa kudeliver. Nchi ambazo bado tunakumbatia vyama hivyo ambavyo vimeshapitwa na wakati kweli tuna wakati mgumu.
__________________
Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo |
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Hivi hii ilikuwa ni amri ya serikali ya kumuua huyu jamaa ama ilikuwaje maana naona haya hainingii akili kwamba polisi wanampiga namna hii mtu kama vile ni mnayama . Je hawa polisi wana maisha gani ? Hii ni sawa na ile ya Lipumba kupigwa Temeke ?
|
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Aluta Continua................................
|
|
#7
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Kazi ndiyo kipimo una maana gani ?
|
|
#8
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Ninamaanisha mapambano yanaendelea ,kwani hata kama wamempiga huyo jamaa kwa kutaka kumnyamazisha lakini Kama ni kiongozi Shupavu ataendeleza MAPAMBANO BAADA YA KUPONA KWAKE.NAMTAKIA NAFUU YA HARAKA NA KILA LA KHERI KATIKA SHUGHULI ZAKE ZA KILA SIKU!
|
|
#9
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Kichuguu Huyu jamaa hicho kipigo wala hakukipata hapo uwanjani kama wafuasi wengine wa MDC. Yeye akiwa kama mmoja wa viongozi wa chama alienda kituo cha polisi akiwa na mwanasheria wa chama ili kuwaombea dhamana. Ndipo alipopatia hicho kipigo kutoka kwa polisi wa Bob Mugabe. Hali walipofikia wazimbabwe wasikate tamaa this is as low as it can goo...there shouldn't be anything to fear anymore. Nawatakia mapambano mema....na Mungu Awalinde.
__________________
"Our cherished rights of liberty and equality depend on the active participation of an awakened electorate.", Barack H. Obama. Presidential Announcement Speech, Springfield, Ill, Feb 10, 2007. |
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||
|
Tanzania moves to revive Zimbabwe, Britain talks
2007-03-15 09:02:01 By Guardian Reporter Tanzania`s Director of Intelligence, Rashid Othman, has held closed-door meetings with top Zimbabwean officials in an attempt to revive an initiative led by retired President Benjamin Mkapa to initiate dialogue between Zimbabwe and Britain. Mkapa`s proposed mission seemed doomed last year over problems relating to the terms of reference but the Tanzania government, acting on Mkapa`s behalf, recently sent Othman to meet with senior Zimbabwean security officials ahead of a possible visit to Harare by the immediate former President. According to The Zimbabwe Herald, Othman arrived in Harare on Monday last week and held talks the following morning with Zimbabwe�s intelligence chiefs, led by Central Intelligence Organisation head Happyton Bonyongwe. Details of the meeting could not be immediately ascertained but the sources suggested that one of Othman`s aims was to seek assurances on Mkapa�s personal security and to explore common ground on the terms of reference for the talks. It is believed that President Kikwete, who is thought to be close to President Mugabe, can convince the Zimbabwean leader to allow Mkapa to proceed with the initiative Mugabe himself unveiled in July last year. Presidents Mugabe and Kikwete discussed the Mkapa initiative on the sidelines of the African Union Summit held in Addis Abba last month. Zimbabwean presidential spokesman George Charamba was not immediately available to comment on the latest developments but it is understood that a major sticking point of the Mkapa initiative is funding. A spokesman at the British High Commission in Harare yesterday flatly denied claims by the Zimbabwean government that Britain had refused to come to the negotiating table to repair relations which became strained after President Mugabe`s land reforms. Joey Bimha, Zimbabwe`s Secretary for Foreign Affairs, told a parliamentary portfolio committee this week that Britain had refused to enter into dialogue with the southern African nation to heal the rift. `If the other party is not willing to come to the negotiating table, what do you do?`Bimha told MPs. But Gillian Dare, spokesperson for the British High Commission in Harare, said Zimbabwe had never invited Britain to any talks to improve relations. `We have not been invited by the Zimbabwean government to talk,` said Dare in a press statement. Bimha told Parliament that several European countries, which he did not name, had begun to appreciate that the fallout between Harare and London stemmed from a bilateral dispute over land. However, Dare said: `We maintain diplomatic relations and embassies in each other`s capitals so we can talk to each other whenever needed. There is no bilateral UK/Zimbabwe dispute to be addressed. Our concerns about Zimbabwe are shared by many in the international community.` `The UK remains a strong advocate of effective, well-managed and pro-poor land reform. The `fast track` land reform has not been implemented in line with these principles and has resulted in the abuse of the rule of law,` he said. SOURCE: Guardian
__________________
"Our cherished rights of liberty and equality depend on the active participation of an awakened electorate.", Barack H. Obama. Presidential Announcement Speech, Springfield, Ill, Feb 10, 2007.
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 06:19 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||