| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||
|
Views: 525
|
||||||||||||||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Jokaa kuu
SADC ni kichekesho! Hivi kweli hata ungekuwa ni wewe ungekubali? Wewe angalia hiyo distribution ya wizara hapo juu. Do you think kuna lolote hapo? Mimi nimefuatilia kikao cha SADC nimegundua hata SADC wanamuogopa Mugabe kabisa! Its just pathetic. All in all I advise Morgan to pull out. Mugabe anafikiri yeye ndo mwenye haki ya kuiongoza Zimbabwe as a private company! Hivi waafrika tulirogwa? Morgan alipata kura kama Mugabe..lakini huyu mzee yeye anaona ndo mwenye haki ya kila kitu. I say Morgan shoul resist this..inhuman and sadistic move by Mugabe and his henchmen.....
__________________
For Africa to achieve progress, it is absolutely necessary to move from the current absolute misery to dignified poverty. |
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Masanja,
..wewe ungependekeza wagawane vipi hizo wizara? ..kwa jinsi nilivyoangalia MDC-T wamepewa wizara ambazo kwa kweli zitawapa nafasi ya kushughulikia matatizo ya wananchi wa Zimbabwe. ..hata wizara nyeti kama Finance wamepewa. ..halafu MDC-T wameonekana kuridhika na mgawanyo huo, na kilichobakia kilikuwa hiyo wizara ya mambo ya ndani. |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
SADC needs to grow a pair and do whats right, tell Mugabe whats whats, you cant treat dictators with kid gloves.
__________________
“Society is like a stew. If you don't stir it up every once in a while then a layer of scum floats to the top.” |
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
I still think it was a mistake for Morgan not to take part in the election, he could have taken part or called for the election to be postponed until an adequate level of oversight was administered.
My comfort level with Morgan stepped down significantly after that, revolutionaries do not fear bloodshed, the few who do, do not give up that easily. Mugabe won the big jackpot and now we have this unnecessary stallmate. If only Morgan was not such a coward.
__________________
Pundit is sitting out Christmas Last edited by Pundit; 10th November 2008 at 10:58 PM.. |
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
inaonyesha jinsi gani nguvu ya dola ilivyo
muhimu kwa bw. morgan. anataka mambo ya ya ndani ili nae awe na "kajeshi" kake. na wala sio suala la kuwafikia wananchi na kuwaletea maendeleo. wananchi wamefungwa goli na wanasiasa. |
|
#7
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Tsivangarai yuko right kwenye hili. Hizo wizara alizopewa ni za kutafutiwa lawama. Hazina haina hela na uchumi umekufa. Chochote atakachofanya ili kujaribu kuufufua atawaudhi wananchi. Na wakati wote Robert ameshika rungu akimkoromea. Morgan alikosea kukubali kushirikiana na huyu dikteta. Yeye angejikalia pembeni amwache afurukute. Sasa amempa loophole ya kutokea.
Hao SADC nao wanazidi kujiaibisha. Heri wangenyamaza tu. |
|
#8
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Kwenye institutions nyingine ni useless. Credibility ya SADC inaendelea kuporomoka kwa kufanya mambo ambayo hayana maana. Sijui wananufaika vipi kwa kumlinda Mugabe, sijui SADC inapata heshima gani kwa kumlinda Mugabe. Au ndio inaaza kuwa kama OAU, klabu ya madikteta?
|
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
George Soros kupitia taasisi zake za The Open Society Initiative for Southern Africa na The Open Society Institute ndiye anayeleta fujo kwenye nchi zinazoendelea kwa kumwaga fedha bila kuingiliwa. Matokeo yake akina Morgan Tsvangirai, Odinga and the alikes (Zanzibar wakiiga)hawakubali kushindwa. Kuna haja gani ya kufanya chaguzi za kidemokrasia kama vyama havikubali kushindwa then wanadai serikali ya mseto.. si watunge sheria ya kupokezana tu tujue moja?
Mbona hawapeleki idea zao za "mshindwa" kupewa umakamu wa rais, uwaziri mkuu au kugawana wizara kwenye nchi zilizoendelea? Inabidi watuachie bara letu. La muhimu turekebishe sheria za uchaguzi ili tufanye uchaguzi wa huru na wa haki, na tuache kubusu "behinds" za imperialists!! Haya mambo ya kuingilia mambo ya ndani ya serikali zetu ndio yanayosababisha ku-develop madikteta! Vox populi, Vox Dei! Sauti ya uma, Sauti ya Mungu! Kama chama kimeshindwa uchaguzi, kisubiri next time. Mbona hawafanyi upuuzi huu Washington, Paris, London et cetera??
__________________
Et tu, Brute? |
|
#10
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
SADC for yet another time has shown its true colors. A cabal for African leaders in this area to guard their interest and meal and invite only the few they chose to and not otherwise. But a day of reckoning is not far. May be Tsivangarai can show the way!
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 06:33 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||