Naunga mkono. ITV ina ubaguzi. Kwa mfano;
1. Habari za mauaji yanayofanywa na Al Assad kule Syria, sijasikia yakisomwa leo asubuhi
2. Mauaji yanayofanywa na wanamgambo wa kiarabu wa Janjaweed kule Darfur, sijasikia yakisomwa leo asubuhi
3. Mauaji ya askari wa Yemen waliouliwa na Al Qaeda baada ya Kiongozi wao kurestishwa in peace na USA, haijasomwa leo asubuhi
Kwa kweli tunaonewa sana, tena saaaaaana sana sana sana sana. Hata juzi hapa TBC imesema sisi ni wachache, kwa kweli inauma. Twendeni tukaandamane kidongo chekundu tukiongozwa na wazee wetu waliofuga ndevu badala ya ng'ombe.
Ah, halafu nimekumbuka, hata baraza la mawaziri limevunjwa ili kutukomoa sisi. Si unakumbuka Waziri wa Hela ni wa dini yetu? Hajafanya kosa lolote, wamemtoa tu kutukomoa sisi tuliokuwa tunanufaika na sadaka anazotoa siku akija kwenye sinagogi.
Halafu tena, naniliu ile...nanii...mahakama yetu ya ndoa. Nayo ile inaniuma 'kichiz', ile inapingwa kwa kuwa tu tunaonewa gere na ndevu zetu. Sisi ndio vidume bwana. Mtu mmoja wake wa4 na watoto 16 = (4x4). Kwa wasioelewa foo bai foo bai faa maana yake ni 4WD kudadadeki.... hawa wenzetu hawajui kila mtoto anazaliwa na riziki yake. Wao wanakuwa na katoto kamoja kama tembo, pambaf zao! Ndio maana mi nasema tuko wengi zaidi yao.
Iran hoyeeeeeeeeee!!!!
Al Assad hoyeeeeee!!!!
Al Bashir hoyeeeeee!!!
Janja weeeed hoyeeeee!! (wida = bange)
Boko basihaya hoyeeeeee!!!!
Dini yetu ni dini ya AMANI.
Muheshimiwa spika, naomba kutoa hoja!
(Waumini wenzangu msipate shida na matusi nitakayotukanwa, wote watakaotukana si mnawajua, wana ukoo na mjusi k...r). Niwasihi tu nyie msijibishane nao, msije mkajikosesha haki yenu ya kwenda kufaidi WINE na MADEMU 12 brand new kwenye maisha ya milele amina
Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye akili hatanyoa ndevu zake.
Follow Us Here