Waziri Mkuu Mteule wa Italia, Mario Monti, ametangaza baraza jipya la mawaziri ambapo mawaziri wote ni wasomi na wataalamu, wengi wao ni Doctors na Professors. Kila la heri Italia!
Huwa ninajiuliza, kwa nini (takriban) duniani kote serikali zinaongozwa na wanasiasa na sio wataalamu. Nani angepaswa kuongoza nchi?