Microsoft yatoa punguzo la 40% - JamiiForums |The Home of Great Thinkers

Go Back   JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Public Forums > International Forum

International Forum African & International Bloggers' home. Politics, Economics & News in General. Let's exchange our views on matters arising in this globe! YES, we can!

Reply
 
LinkBack Thread Tools Display Modes
Old 1st September 2008, 06:27 PM   #1
Microsoft yatoa punguzo la 40%
Bubu Ataka Kusema Bubu Ataka Kusema is online now 1st September 2008, 06:27 PM

Microsoft yatoa punguzo la 40%

na Tamali Vullu
Tanzania Daima~Sauti ya Watu

KATIKA juhudi za kuwezesha wananchi kununua vifaa vya Teknolojia ya Habari (ICT) nchini, Kampuni ya Microsoft, imetangaza kutoa punguzo la asilimia 40 ya vifaa vyake kwa watumiaji wa nyumbani na wanafunzi.

Meneja wa Microsoft Kusini Mashariki mwa Afrika, Ian Joule, alisema mwishoni mwa wiki kuwa kampuni hiyo imepunguza gharama za kununua ikiwa ni mkakati wao wa kuwezesha watu wa hali ya chini kuweza kumudu bei hizo.

“Punguzo hili la bei kwa ajili ya programu ya Microsoft Office 2007, ili kuwawezesha watumiaji wa nyumbani na wanafunzi kuitumia katika shughuli zao za kila siku,” alisema Joule.

Alisema chini ya progarmu hiyo ya kupunguza gharama, Kampuni ya Microsoft itaendelea kubuni programu nyinigine ili kuweza wananchi kunufaika na kutumia teknolojia na kutumia programu halali za kompyuta.

“Nimefurahishwa na kitendo cha Microsoft kupunguza bei za software hasa zikiwalenga wanafunzi,” alisema Mkurugenzi Mtendaji wa Chama Cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA), Yustus Mkinga.

“Katika kuendelea kulinda hakimiliki, COSOTA inakubaliana na upunguzaji wa gharama kwa programu za Microsoft Office 2007 kwa watumiaji wa nyummbani na wanafunzi,” alisema Mkinga na kuongeza kupatikana kwa programu halisi kwa bei nafuu na elimu kutachangia dunia kuweza kupambana na watu wanaoiga kazi za watu.

Meneja Masoko wa Microsoft Kusini Mashariki mwa Afrika, David Ndungu, alisema kampuni hiyo pia inashirikiana na wadau wake, ili kuhakikisha programu halisi za Microsoft Office zinapatikana mahali popote ambako zinauzwa kompyuta.

“Pamoja na hayo, tunaongeza upatikanaji wa bidhaa zetu sokoni kwa kuongeza idadi ya wauzaji,” alisema.

Ndungu, alisema progamu ya Microsoft Office 2007 imetengenezwa maalumu kwa ajili ya watumiaji wa nyumbani na wanafunzi, ili waweze kutengeneza nyaraka mbalimbali.

Programu hiyo inajumuisha, programu ya Microsoft Office Word 2007, Microsoft Office Excel 2007, Microsoft Office PowerPoint 2007 na Microsoft Office One Note 2007.
__________________
~*~Life is Good~*~

Bubu Ataka Kusema's Avatar
Bubu Ataka Kusema
JF Premium Member
Points: 12,706,139, Level: 100 Points: 12,706,139, Level: 100 Points: 12,706,139, Level: 100
Activity: 49% Activity: 49% Activity: 49%
Join Date: Sun Feb 2007
Location: Mfaranyaki
Posts: 12,691
Thanks: 1,046
Thanked 1,206 Times in 700 Posts
Views: 201
Reply With Quote
  #2  
Old 2nd September 2008, 01:00 PM
LazyDog's Avatar
LazyDog LazyDog is offline
LazyDog ni kajibwa goigoi
JF Senior Expert Member
Points: 5,227,469, Level: 100 Points: 5,227,469, Level: 100 Points: 5,227,469, Level: 100
Activity: 2% Activity: 2% Activity: 2%
 
Join Date: Thu Apr 2008
Location: Entrepreneurship, Leadership, Negotiation
Posts: 2,130
Thanks: 387
Thanked 44 Times in 33 Posts
Rep Power: 2027
LazyDog is one of most respected JF members!LazyDog is one of most respected JF members!LazyDog is one of most respected JF members!LazyDog is one of most respected JF members!LazyDog is one of most respected JF members!LazyDog is one of most respected JF members!LazyDog is one of most respected JF members!LazyDog is one of most respected JF members!LazyDog is one of most respected JF members!LazyDog is one of most respected JF members!LazyDog is one of most respected JF members!
Default Re: Microsoft yatoa punguzo la 40%

Quote:
View Post
Microsoft yatoa punguzo la 40%

na Tamali Vullu
Tanzania Daima~Sauti ya Watu

KATIKA juhudi za kuwezesha wananchi kununua vifaa vya Teknolojia ya Habari (ICT) nchini, Kampuni ya Microsoft, imetangaza kutoa punguzo la asilimia 40 ya vifaa vyake kwa watumiaji wa nyumbani na wanafunzi.

Meneja wa Microsoft Kusini Mashariki mwa Afrika, Ian Joule, alisema mwishoni mwa wiki kuwa kampuni hiyo imepunguza gharama za kununua ikiwa ni mkakati wao wa kuwezesha watu wa hali ya chini kuweza kumudu bei hizo.

“Punguzo hili la bei kwa ajili ya programu ya Microsoft Office 2007, ili kuwawezesha watumiaji wa nyumbani na wanafunzi kuitumia katika shughuli zao za kila siku,” alisema Joule.

Alisema chini ya progarmu hiyo ya kupunguza gharama, Kampuni ya Microsoft itaendelea kubuni programu nyinigine ili kuweza wananchi kunufaika na kutumia teknolojia na kutumia programu halali za kompyuta.

Nimefurahishwa na kitendo cha Microsoft kupunguza bei za software hasa zikiwalenga wanafunzi,” alisema Mkurugenzi Mtendaji wa Chama Cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA), Yustus Mkinga.

“Katika kuendelea kulinda hakimiliki, COSOTA inakubaliana na upunguzaji wa gharama kwa programu za Microsoft Office 2007 kwa watumiaji wa nyummbani na wanafunzi,” alisema Mkinga na kuongeza kupatikana kwa programu halisi kwa bei nafuu na elimu kutachangia dunia kuweza kupambana na watu wanaoiga kazi za watu.

Meneja Masoko wa Microsoft Kusini Mashariki mwa Afrika, David Ndungu, alisema kampuni hiyo pia inashirikiana na wadau wake, ili kuhakikisha programu halisi za Microsoft Office zinapatikana mahali popote ambako zinauzwa kompyuta.

Pamoja na hayo, tunaongeza upatikanaji wa bidhaa zetu sokoni kwa kuongeza idadi ya wauzaji,” alisema.

Ndungu, alisema progamu ya Microsoft Office 2007 imetengenezwa maalumu kwa ajili ya watumiaji wa nyumbani na wanafunzi, ili waweze kutengeneza nyaraka mbalimbali.

Programu hiyo inajumuisha, programu ya Microsoft Office Word 2007, Microsoft Office Excel 2007, Microsoft Office PowerPoint 2007 na Microsoft Office One Note 2007.

Yeah right! Leo ndio mmekumbuka kufanya haya?!

.
Reply With Quote
Reply

Bookmarks

Tags
40%, la, microsoft, punguzo, yatoa

Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
 
Thread Tools
Display Modes

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are Off
Pingbacks are Off
Refbacks are On

Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
Tutorial on Microsoft Word (Basic) Anton Jukwaa la Elimu (Education Forum) 1 11th March 2008 06:35 AM
Microsoft Word Ni Salama ? Shy Technology & Science Forum 0 19th January 2008 11:45 AM
Tafiti -- Microsoft redefines the search interface with Silverlight Bubu Ataka Kusema Technology & Science Forum 0 28th August 2007 03:18 AM
Microsoft Opens 'Hackers' Web Site! Maxence Melo Technology & Science Forum 0 27th August 2007 11:47 PM
future of Microsoft....... Absolute Habari na Hoja mchanganyiko 0 8th March 2007 01:03 PM

Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!

All times are GMT +3. The time now is 10:37 PM.

Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com