| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 344
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Asilimia kubwa ya wazungu bado hawako tayari kwa Rais Mweusi. Wakiulizwa swali hilo kwenye opinion polls basi wanatoa jibu la 'political correct' kwamba wakati umefika wa US kuwa na Rais mweusi, lakini ukweli ni kwamba wengi hawapendi kumuona Rais Mweusi. Wachunguzi wa siasa wa US wanadai kama Obama angekuwa mzungu basi angekuwa anaongoza kwenye opinion polls kwa points at least 15 kama siyo zaidi. Obama bado ana safari ndefu na ili kuondoa uwezekano wa kushindwa inabidi amweke Hillary kama VP wake vinginevyo uchaguzi utakuwa too close to call. Na katika hali kama hiyo chochote kinaweza kutokea. Duniani isingependa Rais mwingine toka Republicans.
__________________
~*~Life is Good~*~ |
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Wamarekani wana OPTIONS MBILI...
1)Kukubali Obama ashinde na kuanza kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe. 2)Kukubali Mc Cain ashinde na uwezekano wa vita ya tatu ya dunia kuchochewa moto. Kwa kweli wamarekani na dunia kwa ujumla ni wa kuombewa Mungu kwasababu hapa kitu PRIDE inabidi kiwekwe pembeni la sivyo ni BALAA!
__________________
Res Ipsa Loquitur- "Our POVERTY is the EVIDENCE to the NEGLIGENCE of OURLEADERS" The facts speaks for themselves. |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Change has never been easy wakuu..mahali popote pale.
__________________
FAIL EARLY, FAIL FAST, FAIL FORWARD |
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Tuombe Mungu wampe ushirikiano na the bygones be the bygones.
Kwasababu inaweza kuwa ni kweli wale waliokuwa hawampendi kwa vigezo visivyofaa kuzidisha chuki kwa minajili ya kisiasa...Tuone wata play vipi maana jamaa anadai anataka kufunga GITMO.
__________________
Res Ipsa Loquitur- "Our POVERTY is the EVIDENCE to the NEGLIGENCE of OURLEADERS" The facts speaks for themselves. |
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
But why force change on people? If an Indian or an Arab is elected president of Tanzania or any other East African country, what do you think the reaction from the population would be? I bet they wouldn't be as tolerant as they are hoping Whites to be for Obantu. So try to see these people's point of view.
__________________
www.theobamafile.com |
|
#7
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Historia ya Marekani na any of East African countries ni TOFAUTI SANA.Marekani hakuna mwenyeji wa pale lakini Africa mashariki ina wenyeji wake.So nafikiri ni busara tusipofananisha hivi vitu viwili ambavyo ni tofauti sana. |
|
#8
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
...hey Truth from planet Whacko your signature is so dumb and eleeeeeection is over,Barack Obama is the President.
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 03:10 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||