Tutajitahidi kuweka picha na maelezo mbalimbali ya tukio hili kubwa la kihistoria hapa. Siku 40 zimebakia.
Tutajitahidi kuweka picha na maelezo mbalimbali ya tukio hili kubwa la kihistoria hapa. Siku 40 zimebakia.
Witty, Proactive, Hyper, Patriotic, Enigmatic Man - Catch Me If You Can !!
Nimeupenda sana ujumbe wa huyu "pampula wa kizungu"
Nazjaz hizo habari ni za kweli, mbali na kwamba q eliza ni muumini nguli wa freemason,alama zilizotajwa, watu walioalikwa,hiyo yote
ni tisa.kumi ni tarehe ya hilo tukio i.e trh 29. when u take 2+9=11, ambayo kwao ni namba mhimu sana ikiwa ni pamoja na 13 na 33. cku hizi
mambo yako hadharani, ukiwagoogle utawasoma.....
Jana wakati wa kufunga ndoa, nilielezea jinsi UK wanavyotumia harusi kama hizi kujitangaza na hasa bidhaa zao.
Wametangasa mshona mavazi, viatu, kofia, hotel, London nk.....
Wakaja kuonyesha magari yao ya bei mbaya ambayo ni Ranger Rover, Bentley na Rolls-Royce. Ila katika hayo, nilishangaa kutokuliona ASTON MARTIN.
Loohhh, kumbe lilikuwa limewekwa kwa ajili ya shughuli maalumu. Muda ulipofika, waliitoa na yenyewe kama kawaida, ya zamaaani na Bibi na Bwana harusi wakajidai nayo mtaani.
Kwa hili lazima nikiri kuwa NIMEWAONEA SANA WIVU UK. Harusi hii imekuwa ni kuweka vitu sokoni na kwa hilo lazima nikiri kuwa wamefanikiwa......
Nguruwe pita leo sina Mkuki(By Malila wa JF).
Hapa Vijana wako ndani ya Bentley na nyuma ni Range Rover.....
Nguruwe pita leo sina Mkuki(By Malila wa JF).
Askari Jela aka Rick Ross akaamua kabisa kuweka hadi wimbo.......
Nguruwe pita leo sina Mkuki(By Malila wa JF).
- Prince William and his new wife Kate in Prince Charles' Aston Martin. Photograph: Jeff J Mitchell/Getty Images
Prince William, in a surprise break from the schedule, borrowed his father's 41-year-old open-topped Aston Martin to pootle down the Mall to Clarence House with his new bride.
The car was a 21st birthday present to Prince Charles from his mother in 1969 and, like many middle-aged men's sports cars, it spends most of its life these days in the garage, used only occasionally for jaunts around the country lanes of Gloucestershire and doing only a couple of hundred miles a year.
It has, however, impeccably green credentials in contrast to most 1960 sports cars, having been converted to run on bioethanol fuel – and not just any old bioenthanol but converted from surplus British wine. So it runs on plonk – all part of Charles's green initiatives: his other cars, Jaguars, an Audi and a Range Rover have all been converted to run on used cooking fat.- From: http://www.guardian.co.uk/uk/2011/ap...e-aston-martin
Nguruwe pita leo sina Mkuki(By Malila wa JF).
Old flames: Actress Isabella Calthorpe, 30, in Matthew Williamson (left), was the subject of William's affections several years ago, while Jecca Craig (right), 28, had a teenage fling with the Prince.
...huyu Jessica 'Jecca' Craig inasemekana alishavishwa na pete nchini Kenya. If it was a 'mock' haya tena...
Anyway, Bookies huenda weshaweka bets againt odds kutokea 'the other woman'
kama ilivyokuwa Diana Vs Camilla.
Mapaparazi wakale wapi?
#Dunia ni yako :Chaguo ni lako.
Binadamu miaka yako ya kuishi duniani ni miaka 70 na ukiwa na nguvu miaka 80 nayo hujaa taabu na shida. huu ni ufahari wa duniani tu. HAKUNA CHA MFALME WALA MALKIA. Wekeza hazina yako mbinguni.
Follow Us Here