Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

  • Sticky
DART Tumeanzisha ukurasa huu rasmi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa lengo la kupata maoni, ushauri , mrejesho na hata malalamiko yanayohusu huduma zetu. Aidha tunawahakikishia...
25 Reactions
482 Replies
35K Views
  • Sticky
Heri ya Pasaka wana JamiiForums, Mimi ni Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum. Ninayo furaha kujiunga nanyi katika mtandao huu. Nimekuwepo...
105 Reactions
189 Replies
21K Views
  • Sticky
Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu. Tunawaomba mzingatie...
86 Reactions
14K Replies
1M Views
  • Sticky
JamiiCheck ni Moja kati ya Majukwaa yanayopatikana ndani ya tovuti ya JamiiForums.com. Jukwaa hili limewekwa mahsusi kwa ajili ya kufanya uhakiki, kutafuta uthibitisho au uhalisia wa habari...
6 Reactions
4 Replies
6K Views
  • Sticky
Ndugu wana JamiiForums, Tunashukuru kwa maoni yenu na Ushauri mnaotupa kila siku. Kupitia thread hii, tutapokea maoni, Ushauri, na malalamiko yenu. Tunawahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki...
44 Reactions
251 Replies
73K Views
Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni...
20 Reactions
86 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Huu sio wito au propaganda ya dini. Uwe mkristo au muislam, tabu zako unazijua mwenyewe na yule unae hangaika kwenda kwake akuponye wala hafananii na uchungu wako. Tumekuwa msaada...
1 Reactions
3 Replies
19 Views
Baada ya misukosuko ya Serikali na Hospitali binafsi kwenye Huduma za Afya kwa Wanachama wa Bima ya Taifa ya NHIF kuna kama utaratibu umeibuka wa kunyimwa baadhi ya Dawa kwa kigezo kwamba...
2 Reactions
33 Replies
348 Views
Habari wataalam. Nilikuwa nawaza labda ni simu yangu ina shida. Sasa ina maana simu yangu inasumbua usiku tu mchana haisumbui. Nilisikia pia watu wanasema usiku watumiaji ni wengi sijui traffic...
1 Reactions
11 Replies
178 Views
dani ya nchi hii na kukaliwa kimya kwa sabot ya ukadinali wake au ukatoliki wake. Kadinali Pengo asifikiri tumesahau kuwa yeye ndiye aliyempa Magufulu Bwana Joackin Nyingo (mtu katili sana na...
1 Reactions
7 Replies
109 Views
Kifo ni kifo lakini vifo vya wahanga wa ajali hii, looh! Mtu usemeje? Watu wazima waliokuwa kwenye gari lile waliotoka salama, wanacho nini cha kumwambia nani leo? "Kwa hakika mtu mzima...
4 Reactions
20 Replies
237 Views
Katika mida ile ya kutafuta, inafikia hatua unakula ili uishi yaani unakula chochote. Mimi nishakula ugali na chumvi mixer maji ya kunywa. Wewe je ?
5 Reactions
118 Replies
2K Views
Ndugu wana JF poleni na kazi na mihangaiko ya maisha. Mimi ni kijana wa miaka 29 mzaliwa wa Morogoro na kukulia DSM hasa maeneo ya Tandika! Nilipohitimu masomo yangu pale UDSM 2017 nilikuja...
25 Reactions
124 Replies
3K Views
Wakuu, Nimeumwa na nyuki mkononi,na nimevimba! Ningependa kujua dawa nzuri ya kusaidia kuupunguza na kuuondoa huu mvimbo! Asanteni.
0 Reactions
24 Replies
11K Views
📣Tumekuletea Fiber to Home: intaneti ya uhakika, isiyo na kikomo na yenye kasi zaidi Tanzania.💫 Huduma hii mpya kutoka #Tigo, inakuwezesha kuunganisha nyumba, biashara, shule, chuo, ofisi yako na...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Tuna Mzee wetu hapa tunamuuguza kwa muda mrefu miaka mitatu sasa tunampambania nae alipata tatizo kuparalalaizi mpaka sana yupo ICU hali yake sio nzuri miguu yake imeanza kuoza Imenibidi kuandika...
31 Reactions
254 Replies
7K Views
A
Anonymous
Hapa Mbezi Luis, Karibu na soko ambalo linapakana na Shule ya msingi Mbezi Kuna bar na gest ipo karibu na soko kwa nyuma ya soko, bar hii inaitwa Lubumbashi na maeneo yake ya jirani kunafanyika...
2 Reactions
15 Replies
644 Views
Mitandao ya kijamii imetoa fursa kubwa sana kwa mtu yeyote ‘kwenda mjini’ chap. Hii ni orodha ya baadhi ya watu ambao kusingekuwa na intaneti, wasingepata umaarufu walioupata. DKT. LOUIS SHIKA...
1 Reactions
5 Replies
108 Views
Changamoto nyingi kwa wachimbaji wa madini wamekuwa wakitumia njia sio sahihi na kufanya sekta hii kuonekana kuwa ya kubahatisha kwa wachache. je, nini kinatumika kabla ?. MINING GEOLOGY IT...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Pesa inayokutajirisha ni ile inayogeuka kama chambo ya kunasa pesa zaidi. Kuna mambo unayotakiwa kuyadhibiti kabla hujakurupukia ndoto za utajiri. Mambo ambayo yatakusababisha kila kinachoingia...
27 Reactions
64 Replies
2K Views
kwa nini tanzania madini mengine yanakosa soko hapa ndani ukilinganisha soko la dhahabu. Kuna sababu kadhaa zinazoweza kuchangia aina fulani za madini kutokuwa na soko kubwa ndani ya Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Juzi kati nilikutana na hiki kitabu kinaitwa Wasomi Wajinga. Katika kukipitia nilikuta kina mambo ya kushangaza sana. Ni kama zile play za Kezilahabi. Kina maneno makali na yenye ukakasi...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Kuna huyu waziri namsikia sana sasa hivi, Jerry Slaa, je huyu ni mtoto wa Dkt Slaa? Yule aliyekuwa Chadema? Maana wanasema mtoto wa simba ni simba.... naomba kuwasiliana
5 Reactions
57 Replies
6K Views
Yesu Kristo Messiah alipowafundisha wanafunzi wake kusali, ninaquote moja ya kifungu kimoja katika Sala hiyo kisemacho, "USITUTIE MAJARIBUNI, BALI UTUOKOE NA YULE MWOVU, AMEN." Kwa kimombo, DO...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Hatimaye wameonana baada ya kuachana miaka mingi wakiwa shuleni pamoja Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na majirani zake wa zamani Bi Asha Salum...
4 Reactions
21 Replies
913 Views
Back
Top Bottom