Re: Haya Kwa Wale wanaoamini Mambo ya nyota angalia Mwaka 2011 je utakuwa na Bahati k
Vipi tena Mzizi !!
Mbona unatuwekea mabandiko ya utabiri, Ushirikina na kuosha Bahati?
Au umekua mfuasi wa elimu ya Shekhe Yahya siku hizi?

Nimekua nikikuoona kwenye jukwaa la dini ukiwa mstari wa mbele kutetea dini nikadhani uko Serious na unachokiamini kumbe danganya toto.
Vipi Mzizi imekuaje unaamua kuanza mwaka mpya kwa kukumbatia ushirikina na utabiri?
Last edited by October; 31st December 2010 at 11:27.
“You will only be remembered for two things: the problems you solved or the ones you created.” -- Mike Murdock
Follow Us Here