JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Hivi kwa nini tusiige Mbeya Municipal

  Report Post
  Results 1 to 5 of 5
  1. Geza Ulole's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st October 2009
   Posts : 7,866
   Rep Power : 2281
   Likes Received
   2574
   Likes Given
   328

   Angry Hivi kwa nini tusiige Mbeya Municipal

   Wajameni naomba kuipongeza Mbeya Region (Municipal) na Arusha Council kwa kuona umuhimu wa egovernance

   Na napenda kuuliza kwa nini municipals kama Moshi, council kama za Mwanza na kwingineko haswa kule kulipochukuliwa na Chadema wasiige utaratibu huu wa kuwa na website kujitangaza haswa fursa za uwekezaji? Hebu tujiulize jiji la Mwanza na mji wa Moshi na mingineyo kulipo na utalii kuna fursa ngapi zinapotea kwa kutokuwa na website ya kuonyesha fursa za uwekezaji? just imagine Abravomich kabla hajaja kupanda mlima Kilimanjaro lazma aliingia google na ku-type Kilimanjaro....ni wangapi wa namna hiyo hufanya na how much of a waste opportunity does the region incur? Pls you guys wake up n play ur roles every municipals should have a website


   http://www.mbeya.go.tz/index.php?opt...101&Itemid=116
   http://www.arushamunicipal.go.tz/web...l_projects.htm


  2. Magulumangu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2010
   Posts : 3,045
   Rep Power : 1216
   Likes Received
   405
   Likes Given
   438

   Default Re: Hivi kwa nini tusiige Mbeya Municipal

   Mwambie kikwete anataka kutangaza kwa kwenda mwenyewe LIVE...hataki mchezo Raisi wetu....
   The Goal is The Love Of a Lifetime, And a Lifetime Of Love Together.....

  3. Maamuma's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd December 2008
   Posts : 838
   Rep Power : 829
   Likes Received
   271
   Likes Given
   100

   Default

   Quote By Magulumangu View Post
   Mwambie kikwete anataka kutangaza kwa kwenda mwenyewe LIVE...hataki mchezo Raisi wetu....
   Teh teh teh! Tena sio kwa kutuma mtu. Ha ha ha ha!

  4. Mhafidhina's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th February 2008
   Location : Cyber space
   Posts : 549
   Rep Power : 817
   Likes Received
   11
   Likes Given
   9

   Default Re: Hivi kwa nini tusiige Mbeya Municipal

   Aise hii ni hatua nzuri sana kwa kuanzia kwa kweli. POngezi sana manispaa na jiji la mbeya kwa hatua hii nzuri. Inastahili kupongezwa sana manake wameonyesha walau nia ya kuwa na websites. Haya ndio maendeleo yenyewe na kupevuka kimtazamo.

   Changamoto kwa wengine sasa nao kujiunga na mitandao ya websites....!
   I am not the best but I am not like the rest

  5. The Finest's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th July 2010
   Posts : 21,719
   Rep Power : 6262
   Likes Received
   5950
   Likes Given
   5020

   Default Re: Hivi kwa nini tusiige Mbeya Municipal

   Mwanzo mzuri sana
   "What is legal, but not logical, logical, but not legal, and neither logical, nor legal?"
  Similar Topics

  1. Soko la SIDO (Mwanjelwa - MBEYA) linateketea kwa moto sasa hivi
   By Bujibuji in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 129
   Last Post: 11th November 2011, 17:26
  2. Replies: 16
   Last Post: 6th November 2011, 21:48
  3. Kwa nini Mbeya tu?
   By nginda in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 18
   Last Post: 4th November 2011, 15:34
  4. Replies: 43
   Last Post: 17th July 2011, 23:52
  5. Hivi kwa nini wadada mnakuwa hivi hamuoni kama ni usumbufu??
   By KakaKiiza in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 10
   Last Post: 21st February 2011, 14:53

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...