Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Serekali ya Kikwete yaanza kazi rasmi Moshi

    Report Post
    Results 1 to 14 of 14
    1. #1
      Eeka Mangi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th July 2008
      Posts : 2,685
      Rep Power : 1094
      Likes Received
      277
      Likes Given
      173

      Default Serekali ya Kikwete yaanza kazi rasmi Moshi

      Leo asubuhi wafanyabiashara kwenye soko la Mbuyuni manispaa ya Moshi wameshikwa na butwaa baada ya kuja na kukuta vibanda vyao vimevunjwa na askari wa manispaa wakishirikiana na askari polisi. Vijana hao walipofika kwenye biashara zao hawakuamini kilichotokea. Wakiwa katika hali ya kutafakari polisi nao walifika na kuanza kurusha risasi hewani. Hii sio mara ya kwanza kwa wafanyabiashara wa Moshi kufanyiwa uhuni kama huu. Soku kuu la Moshi liliwahi kuungua na kusadikika kuwa lilichomwa makusudi na maafisa wa manispaa. Soko la juu nalo liliunguzwa na watu haohao. Wafanyabiashara wa eneo kwenye kiwanja cha CCM maarufu kama shimoni karibu na stendi kuu ya Moshi kilitokea kituko kama hicho pia. Stendi kuu ya mabasi ya Moshi pia iliwahi kuunguzwa ili manispaa waweze kujenga upya. Matukio yote haya yaliacha hasara kubwa kama sio watu kufa kwa shinikizo la damu.
      Tukio la usiku wa kuamkia leo limetafsiriwa na wakaazi wa Moshi kama KULIPIZA KISASI kwa serekali iliyoko madarakani kwa kuwapa upinzani kura nyingi na kuinyima CCM. Wanahoji walikuwa wapi siku zote wksti wa kampeni wafanyabiashara walipanga biashara zao karibu kabisa na kituo cha polisi na hakuna aliyewauliza kitu! Je ruksa ya wakati huo ailikuwa HONGO ama ni nini? Hivi ndivyo serekali imeanza kazi?

    2. Miaka 50

    3. #2
      Kunta Kinte's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 18th May 2009
      Posts : 2,565
      Rep Power : 2534
      Likes Received
      595
      Likes Given
      762

      Default Re: Serekali ya Kikwete yaanza kazi rasmi Moshi

      Quote By Eeka Mangi

      Nilidhani kwa kuwa Chadema walipata viti17 vya udiwani na CCM 3 basi halmashauri ya mji wa Moshi ingekuwa inaongozwa na Chadema, sasa inakuwaje haya yanatokea? Naomba kueleweshwa isije ikawa tunailaumu CCM hata pale ambapo tunaweza kurekebisha mambo wenyewe

    4. #3
      kaburunye's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th May 2010
      Location : pandagisiza sogwinaminzi
      Posts : 679
      Rep Power : 598
      Likes Received
      57
      Likes Given
      13

      Default Re: Serekali ya Kikwete yaanza kazi rasmi Moshi

      Quote By Kunta Kinte
      Nilidhani kwa kuwa Chadema walipata viti17 vya udiwani na CCM 3 basi halmashauri ya mji wa Moshi ingekuwa inaongozwa na Chadema, sasa inakuwaje haya yanatokea? Naomba kueleweshwa isije ikawa tunailaumu CCM hata pale ambapo tunaweza kurekebisha mambo wenyewe
      Uchaguzi wa mameya bado mkuu. Nadhani halmashauri itakabidhiwa kwa Chadema baada ya kupatikana meya

    5. #4
      Ndachuwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th March 2006
      Location : ARUSHA
      Posts : 2,654
      Rep Power : 1210
      Likes Received
      542
      Likes Given
      415

      Default Re: Serekali ya Kikwete yaanza kazi rasmi Moshi

      Quote By Kunta Kinte
      Nilidhani kwa kuwa Chadema walipata viti17 vya udiwani na CCM 3 basi halmashauri ya mji wa Moshi ingekuwa inaongozwa na Chadema, sasa inakuwaje haya yanatokea? Naomba kueleweshwa isije ikawa tunailaumu CCM hata pale ambapo tunaweza kurekebisha mambo wenyewe
      Mabazara ya madiwani bado hajaanza kazi, michakato ya kuchagua mameya inaendelea na sehemu nyingin wanafanya uchaguzi wa madiwani J2 tarehe 28/11/2010
      "Effective leadership is not about making speeches or being liked; leadership is defined by results not attributes" Peter Drucker

    6. #5
      Mabel's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st September 2010
      Location : Ikunguigazi
      Posts : 852
      Rep Power : 616
      Likes Received
      25
      Likes Given
      11

      Default Re: Serekali ya Kikwete yaanza kazi rasmi Moshi

      Quote By Eeka Mangi
      Leo asubuhi wafanyabiashara kwenye soko la Mbuyuni manispaa ya Moshi wameshikwa na butwaa baada ya kuja na kukuta vibanda vyao vimevunjwa na askari wa manispaa wakishirikiana na askari polisi. Vijana hao walipofika kwenye biashara zao hawakuamini kilichotokea. Wakiwa katika hali ya kutafakari polisi nao walifika na kuanza kurusha risasi hewani. Hii sio mara ya kwanza kwa wafanyabiashara wa Moshi kufanyiwa uhuni kama huu. Soku kuu la Moshi liliwahi kuungua na kusadikika kuwa lilichomwa makusudi na maafisa wa manispaa. Soko la juu nalo liliunguzwa na watu haohao. Wafanyabiashara wa eneo kwenye kiwanja cha CCM maarufu kama shimoni karibu na stendi kuu ya Moshi kilitokea kituko kama hicho pia. Stendi kuu ya mabasi ya Moshi pia iliwahi kuunguzwa ili manispaa waweze kujenga upya. Matukio yote haya yaliacha hasara kubwa kama sio watu kufa kwa shinikizo la damu.
      Tukio la usiku wa kuamkia leo limetafsiriwa na wakaazi wa Moshi kama KULIPIZA KISASI kwa serekali iliyoko madarakani kwa kuwapa upinzani kura nyingi na kuinyima CCM. Wanahoji walikuwa wapi siku zote wksti wa kampeni wafanyabiashara walipanga biashara zao karibu kabisa na kituo cha polisi na hakuna aliyewauliza kitu! Je ruksa ya wakati huo ailikuwa HONGO ama ni nini? Hivi ndivyo serekali imeanza kazi?
      Mambo ya moshi ni siasa. Siku nne tu baada ya uchaguzi mkuu na halimashauri ya moshi kwenda Chadema, mkulugenzi aliagiza wafanyabishara hao waondolewe mara akidai kuwa ni agizo la madiwani wa Chadema.

      Baada ya madiwani wa chadema kusikia waliandamana hadi kwa mkurugenzi wa manispaa ya moshi kujua kulikoni na kwa nini watumie jina la chadema?

      Alichojibu mkurugenzi ni kwamba kwa mda wa miezi minne alikuwa bize na uchaguzi hivyo hakuweza kuwaondoa wafanyabiashara hao, lakini baada ya uchaguzi amepata nafasi hivyo ni utekelezaji wa kazi zake na si suala la kisiasa. Lakini ukweli ni kwamba swala hilo lipo kisiasa zaidi ili kuwagombanisha madiwani wa chadema na wafanyabiashara hao
      Aakulu taa siluka, aape taa tumbu(Time and the world moves on).[Ovambo proverb]

    7. FemaTV & Radio

    8. #6
      MpendaTz's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th May 2009
      Posts : 1,073
      Rep Power : 724
      Likes Received
      146
      Likes Given
      537

      Default Re: Serekali ya Kikwete yaanza kazi rasmi Moshi

      Uzuri watu wa Moshi si watu rahisi kudanganya namna hiyo. Atajikuta anaaibika tu mwisho wa siku. Huo ni ubabe waliouzowea kuutumia sehemu nyingi nchi hii lakini ni bora akafahamishwa tu kuwa "its not applicable" hapo Moshi. Moshi hawakuanza kuinyima CCM kura leo, walianza zamani sana na adhabu walishazizowea, kuna wakati hata miradi ya maendeleo iliminywa saana. Uwt ikatumia kikosi cha ku-strungle wakazi wa huo mji. Watu waliipata maana ilikuwa hakuna mzunguko wa pesa kwenye hicho kimji. lakini hao wachaga hapo CCM wangejua tu wangebadilisha tactic. And so long as Ndesamburo yuko bado ndani ya shughuli za ubunge ni ushauri wa bure, waache tu wataaibika bure! They should talk business in Moshi and not too much politics involving mountains of promises. Hapo watampata mchaga. Nawashangaa kwanini hawajifunzi? Na huku wanaona hizi hisia zimeshawasili karibu kona zote za nchi sasa hivi. Kuifanya hali iwe mbaya sana kwao kisiasa ngoja meya apatikane. Itabidi mameya wa sehemu nyingine, kama kweli wanayapenda maendeleo, kwenda kupata somo pale.

    9. #7
      Popompo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th November 2010
      Posts : 305
      Rep Power : 493
      Likes Received
      33
      Likes Given
      34

      Default Re: Serekali ya Kikwete yaanza kazi rasmi Moshi

      umesahau adhabu ya kuondolewa soko la mitumba kiboroloni!palivunjwa usiku wa manane!asubuhi wanakuta hola wanaelekezwa memorial yet wamewanyima chichiemu kula!

    10. #8
      Katavi's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 31st August 2009
      Location : Lyamba Lya Mfipa
      Posts : 19,572
      Rep Power : 16762
      Likes Received
      2479
      Likes Given
      1843

      Default Re: Serekali ya Kikwete yaanza kazi rasmi Moshi

      Haya ni matatizo ambayo yataikumba miji mingi ambayo CCM imeangushwa.

    11. #9
      Kigogo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th December 2007
      Location : Calabash
      Posts : 8,177
      Rep Power : 2090
      Likes Received
      1228
      Likes Given
      313

      Default Re: Serekali ya Kikwete yaanza kazi rasmi Moshi

      Quote By Kunta Kinte
      Nilidhani kwa kuwa Chadema walipata viti17 vya udiwani na CCM 3 basi halmashauri ya mji wa Moshi ingekuwa inaongozwa na Chadema, sasa inakuwaje haya yanatokea? Naomba kueleweshwa isije ikawa tunailaumu CCM hata pale ambapo tunaweza kurekebisha mambo wenyewe
      wanaanzaje kazi ya udiwani wakati hawajaapishwa bado??
      ______________________________ _
      Niko tayari kufa huku nimesimama kuliko kuishi huku nimepiga magoti....

    12. #10
      vicenttemu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 16th November 2010
      Posts : 43
      Rep Power : 439
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Serekali ya Kikwete yaanza kazi rasmi Moshi

      Suluhisho ni kuvunja vibanda? Je kwa hili wa'biashara ndo wataogopa wawape kura 2015.

    13. #11
      Kiranga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th January 2009
      Posts : 14,087
      Rep Power : 41562
      Likes Received
      5993
      Likes Given
      1052

      Default Re: Serekali ya Kikwete yaanza kazi rasmi Moshi

      Nilifikiri CCM wamekuja napolicy mpya ya kutowaondoa wafanya biashara wadogo, bali kuwawezesha?

      Au ndiyo kisasi cha kupigia kura CHADEMA ?
      Banda lishavunjika, jogoo kaondoka. Vifaranga hangaika, kumtoa nyoka.

    14. #12
      Charles1990's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd November 2010
      Posts : 221
      Rep Power : 477
      Likes Received
      6
      Likes Given
      1

      Default Re: Serekali ya Kikwete yaanza kazi rasmi Moshi

      Nimeskia kwenye redio muda si mrefu kwamba polisi wawili wamejeruhiwa vibaya na wafanya biashara,nadhani ni kwa sababu ya kisa hicho hicho.Moshi kama kazi kweli tunayo!Lakini ngoja kidogo habari zimfikie Ndesa (unaweza ukamuita Ndessa Pesa kama unapenda) pale mjengoni,nadhani wote tunafamu mziki wa huyu mzee na anavyoijali moshi kama familia yake. Makend* atachoka.

    15. #13
      MAMA POROJO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd November 2007
      Posts : 4,858
      Rep Power : 1843
      Likes Received
      590
      Likes Given
      413

      Default Re: Serekali ya Kikwete yaanza kazi rasmi Moshi

      Sheria za miji/manispaa lazima ziheshimiwe na wafanyabiashara.

      CHADEMA iwe makini kwenye kutetea haki ya raia, kama raia kavunja sheria, hakikisha sheria inachukua mkondo wake.

      Kama raia kaonewa na watawala CHADEMA ingilia kati haki ya raia ipatikane.

    16. #14
      superfisadi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd May 2009
      Posts : 549
      Rep Power : 618
      Likes Received
      43
      Likes Given
      1

      Default Re: Serekali ya Kikwete yaanza kazi rasmi Moshi

      wamachinga wenyewe wanawaambia mgambo na polisi 'msitufunze uoga' wanataka walipwe mali zao kwani wanakuwa wanalipia ushuru maeneo hayo na hawakuwapa barua za kuwataka waondoke zaidi

    Similar Topics

    1. SMS chochezi: Timu ya IT ya Miraji Kikwete yaanza kazi
      By Mwikimbi in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 216
      Last Post: 7th September 2012, 21:14
    2. Replies: 15
      Last Post: 26th July 2011, 18:09
    3. Bodi ya Utalii yaanza rasmi kumtangaza Babu!
      By hmethod in forum JF Chit-Chat
      Replies: 35
      Last Post: 23rd March 2011, 11:41
    4. Kampeni ya Cheyo kuongoza kamati Bungeni yaanza rasmi
      By Rutashubanyuma in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 20
      Last Post: 10th February 2011, 07:56
    5. Replies: 1
      Last Post: 25th July 2010, 17:06

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...