JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Hatari::Forum ya TACAIDS yatangaza Ngono hadharani.Live Porn Video

  Report Post
  Results 1 to 14 of 14
  1. #1
   Gembe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th September 2007
   Location : kamnyonge
   Posts : 2,556
   Rep Power : 1641
   Likes Received
   89
   Likes Given
   64

   Default Hatari::Forum ya TACAIDS yatangaza Ngono hadharani.Live Porn Video

   Wakuu heshima mbele,
   niliskuwa napitia tovuti ya TACAIDS NA NIikaenda katika link ya forum na huku ndipo nikakuta picha za ngono. http://www.tacaids.go.tz/modules/php...1b50242afa59bf

   hii yote inaonesha jinsi pesa yetu inavyoliwa na wahuni na Mafisadi,Wanatoa pesa nyingi kudevelop website na wanashindwa kuweka moderator wa Forum.hata kuedit website yao.Jambo la pili waliingizwa changa la Macho na Watu wa UCC ambao waidesign website hiyo kwamba watawekewa forum ,ila UCC wameshindwa kucutomize hata Phpbb2.

   Nachofahamu UCC wanafanya webiste kuanzia $ 8,000-22,0000,sasa sijui hii iligharimikiwa sh . ngapi?na ni utumbo mtupu.

   suala la Pili UCC wamekuwa wkipewa kutengeneza website ila wanarudia layout hiyo hiyo kwa kila website

   angalia website ya National Audit Office www.nao.go.tz na hii ya www.tacaids.go.tz na www.nimr.go.tz ,hakuna ubunifu wanabadilisha contents tu.

   Suala lingine angalia na webiste ya National Auidt haina habai ambazi ni za hivi karibuni,najiuliza hao wafanyakazi ambao ni systems analysts wanafanya kazi gani zaidi ya kukimbilia semina?


  2. Nyambala's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th October 2007
   Location : Tahiti
   Posts : 4,495
   Rep Power : 1667
   Likes Received
   1098
   Likes Given
   971

   Default Re: Hatari::Forum ya TACAIDS yatangaza Ngono hadharani.Live Porn Video

   Mkuu gembe kweli hii ni hatari, lakini mainly ni kuweka watu wenyemawazo mgando ktkl hizi agency, wao kila siku wanawaza semina, kongamano n.k, the able ones utakuta wamekuwa frustrated na basi mambo yanaenda tu. Usije ukashangaa ukaambiwa moderator ni mkurugenzi mwenyewe!!!!! Lakini pia dot.com gov employees bado ni mtego!!!!!!!

  3. Kasana's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd April 2007
   Posts : 560
   Rep Power : 864
   Likes Received
   10
   Likes Given
   15

   Default Re: Hatari::Forum ya TACAIDS yatangaza Ngono hadharani.Live Porn Video

   Mkuu Gembe, thread na contents zako kidogo zinakinzana, ume base zaidi kwenye UCC na photocopy za design za website wanazozitengeneza kuliko porno katika tacaids.
   Kuhusu porno, si unajua mambo ya forums ze sem as darhotwire et al, ni vema kuwashitua kuwa website yao imeingiliwa, si unajua wako busy na kupambana na ukimwi!
   'Facts' in the past. 'Options' in the present. 'Possibilities' in the future.
   The future can not be 'predicted' but can be 'created'.

  4. #4
   Mtu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th February 2007
   Posts : 589
   Rep Power : 876
   Likes Received
   3
   Likes Given
   0

   Default Re: Hatari::Forum ya TACAIDS yatangaza Ngono hadharani.Live Porn Video

   Quote By kasana View Post
   Mkuu Gembe, thread na contents zako kidogo zinakinzana, ume base zaidi kwenye UCC na photocopy za design za website wanazozitengeneza kuliko porno katika tacaids.
   Kuhusu porno, si unajua mambo ya forums ze sem as darhotwire et al, ni vema kuwashitua kuwa website yao imeingiliwa, si unajua wako busy na kupambana na ukimwi!
   Mkuu umenifurahisha

  5. Masanilo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd October 2007
   Location : Swat valley, Keta Keta
   Posts : 22,185
   Rep Power : 85897712
   Likes Received
   4159
   Likes Given
   2484

   Default Re: Hatari::Forum ya TACAIDS yatangaza Ngono hadharani.Live Porn Video

   ooohh my God!!! this is shocking...

   Kindness is the language which the deaf can hear and the blind can see - Mark Twain
   CCM is enemy of GOD


  6. #6
   Rungu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd February 2007
   Posts : 2,289
   Rep Power : 1214
   Likes Received
   577
   Likes Given
   944

   Default Re: Hatari::Forum ya TACAIDS yatangaza Ngono hadharani.Live Porn Video

   Hawa jamaa inabidi wa-upgrade forum yao. Ukiangalia version ya phpbb wanayotumia utajua tatizo lao. Inaeleweka katika fani hii kwamba forum ya phpbb ina security loopholes kibao kama mtu hafuatilii mabadiliko ambayo hutangazwa mara kwa mara.

   Kama Kasana alivyosema, inabidi jamaa washtuliwe. Tatizo hata contact info ya TCAIDS ni vigumu kupatikana. Shauri yao sasa! Hii ni nzito, yaani aibu tupu.

  7. Steve Dii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th June 2007
   Location : Kihesa - Iringa
   Posts : 6,914
   Rep Power : 49787893
   Likes Received
   1121
   Likes Given
   3323

   Default Re: Hatari::Forum ya TACAIDS yatangaza Ngono hadharani.Live Porn Video

   Quote By Rungu View Post
   Hawa jamaa wa UCC lazima wa-upgrade hiyo phpbb forum. Ukiangalia version wanayotumia ni ya zamani. Tatizo la phpbb ni kwamba imejaa security loopholes. Kila mara inabidi uiwekee patches ambazo hutangazwa kwenye mtandao wao. Inaonyesha UCC hawana system ya kufuatia mabadiliko ya kasi yanayotokea kwenye taaluma hii. Kama Kasana alivyokomenti, ni vizuri kuwashtua jamaa.
   Rungu, Hilo swala hapo juu linaibua mengi, mojawapo kimfano ni 'usifanye ngono kama hujui faida,gharama, athari na matokeo yake'..... katika hilo, naona waliamua kuanzisha website bila kujua gharama na athari zake... walifikiria faida na matokeo tu....

   Gembe, nimependa criticism yako. Inapendeza kwa kweli, na itakuwa mahili na maradufu zaidi pale utakapokuwa unatoa alternatives ya vitu unavyo criticise. Well done bruv!!

   SteveD.   Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09.

   Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09.  8. MzalendoHalisi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th June 2007
   Posts : 4,260
   Rep Power : 1592
   Likes Received
   222
   Likes Given
   536

   Default Re: Hatari::Forum ya TACAIDS yatangaza Ngono hadharani.Live Porn Video

   Kama kuna mwana JF ana mobile ya MD wa TACAIDS Dr. Fatma Mrisho au mfanyakazi mwenye authority basi amtumie haya ni mambo ni aibu kwa Tanzania- sii mambo ya kushabikia na kukaa pembeni!
   Uadilifu Kiwe Kigezo Muhimu Zaidi Kuwa Kiongozi Tanzania Kwa Sasa!

  9. NakuliliaTanzania's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th September 2007
   Posts : 590
   Rep Power : 849
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Re: Hatari::Forum ya TACAIDS yatangaza Ngono hadharani.Live Porn Video

   Ni aibu manake ninavojua na kusikia ni kuwa hao jamaa wana helo nyingi sana kutoka kwa wafadhili, wak nini wasiajiri watu wa uhakika na kutengeneza vitu vya uhakika, ama ndo wanatufanya tuanze kuhisi kuna mambo ya 10%? Hivi hizi PhBb sio free kweli?
   Ukipuliza moto ili uwake hupulizi mara moja......

  10. Kochokocho's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 9th November 2007
   Posts : 5
   Rep Power : 721
   Likes Received
   0
   Likes Given
   1

   Default Re: Hatari::Forum ya TACAIDS yatangaza Ngono hadharani.Live Porn Video

   Hii Ni Aibu Kubwa Lakini Na Uhakika Tacaids Hawajui Kuingiliwa Kwenye Mtandao Na Hao Wahuni

  11. Gembe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th September 2007
   Location : kamnyonge
   Posts : 2,556
   Rep Power : 1641
   Likes Received
   89
   Likes Given
   64

   Default Re: Hatari::Forum ya TACAIDS yatangaza Ngono hadharani.Live Porn Video

   Asante Vijana wangu wa hapo UCC kwa kupita hapa na kuamaua kuweka version mpya ya phbb2.Naona mnaendelea kucustomize na sasa inavutia na naamini mtakuwa mmepata fundisho.na ninaamini mtafanikisha.Mkishamaliza naomba mnitumie e-mail mkomboziufisadi-at-yahoo-dot-com.na nitawapa Mwanga Zaidi.
   wakuu mnaweza sasa kuangalia forum hii katika link hii.
   http://www.tacaids.go.tz/modules/discussion/index.php

   Ole naomba u close hii topic.JF we dare talk openly!

   naomba kutangaza ushindi kwa kumkoma Nyani Giladi.

  12. Bubu Msemaovyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th May 2007
   Location : All around the World
   Posts : 3,488
   Rep Power : 4269170
   Likes Received
   2118
   Likes Given
   2578

   Talking Re: Hatari::Forum ya TACAIDS yatangaza Ngono hadharani.Live Porn Video

   Quote By kasana View Post
   Mkuu Gembe, thread na contents zako kidogo zinakinzana, ume base zaidi kwenye UCC na photocopy za design za website wanazozitengeneza kuliko porno katika tacaids.
   Kuhusu porno, si unajua mambo ya forums ze sem as darhotwire et al, ni vema kuwashitua kuwa website yao imeingiliwa, si unajua wako busy na kupambana na ukimwi!
   Hahahahahaha!!!!! Hiyo inafanana na ule usemi wa dawa ya moto ni moto. Kuzima UKIMWI kwa kuigiza hadharani yale ya vyumbani.
   "If you talk to a man in a language he understands, that goes to his head. If you talk to him in his language, that goes to his heart." Nelson Mandela

  13. MwanaHaki's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th October 2006
   Posts : 2,294
   Rep Power : 85933889
   Likes Received
   573
   Likes Given
   461

   Default Re: Hatari::Forum ya TACAIDS yatangaza Ngono hadharani.Live Porn Video

   Tehe tehe!

   Naona kuna mtu kawatonya... wameitoa haraka haraka mkuu!

   Naona kuna uzembe fulani ulifanyika hapo. LOL

   ./MwanaHaki
   Speaking Openly, without fear!

  14. Idimi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th March 2007
   Location : Ikwiriri
   Posts : 7,541
   Rep Power : 85915142
   Likes Received
   2004
   Likes Given
   1025

   Default Re: Hatari::Forum ya TACAIDS yatangaza Ngono hadharani.Live Porn Video

   Quote By MwanaHaki View Post
   Tehe tehe!

   Naona kuna mtu kawatonya... wameitoa haraka haraka mkuu!

   Naona kuna uzembe fulani ulifanyika hapo. LOL

   ./MwanaHaki
   Sana tu, hata mie nilitaka kuiona forum yao jana lakini naona walikuwa wameshaiondoa.
   Hiyo ndiyo kazi ya Jamboforums bwana!
   A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man!
   [email protected]


  Similar Topics

  1. picha za ngono au video
   By mkalagale in forum JF Chit-Chat
   Replies: 24
   Last Post: 23rd July 2012, 13:23
  2. Anaswa akifanya Ngono hadharani.
   By Mlachake in forum JF Chit-Chat
   Replies: 3
   Last Post: 8th September 2011, 21:29
  3. TFDA yatangaza dawa hatari
   By Baba Mtu in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 8
   Last Post: 13th January 2011, 18:49
  4. Serikali yatangaza hali ya Hatari Tarime
   By Mwiba in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 14
   Last Post: 27th April 2009, 03:53

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...