Watangazaji wa Radio one na ITV Bi Regina Mwalekwa na Milad Ayo wameacha kazi na kuna tetesi wanahamia CLOUDS Fm.
Watangazaji wa Radio one na ITV Bi Regina Mwalekwa na Milad Ayo wameacha kazi na kuna tetesi wanahamia CLOUDS Fm.
Duuh???
mhasibu wa idara ya utumishi amehamia NGO inayehusiana na mambo ya kilimo na agroeconomics mijini arusha
....Time is the wisest counselor !!!
ITV na radio one kunani paleeeeh, Hamis Damumbaya naye kahamia MlimaniTV long time
Last edited by El Toro; 31st October 2010 at 07:20.
Don't be a WOMAN that needs a man but the WOMAN a man needs
Regina hata mimi ningemtimua tu
Maslahi jamani...
let them search for more green pastures, kwani nyie hamjawahi hama
kila la heri huko muendako,
INaonekana maslai finyu!!!
Maslahi mkuu, popote ipo hiyo
Hallooo gyz i'm in whats up ,
Let them search for greener pastures
"What is legal, but not logical, logical, but not legal, and neither logical, nor legal?"
sasa hivi mafisadi waimalisha clouds fm
stay tuned
ITV wanapenda sana cheap labour
Hamjui tu! Tasnia ya habari Bongo ni wito kama ualimu! Ndio maana John Dilinga anafanya kazi kwa contract tu na proposal ya contract anaitoa yeye ukitaka sawa hutaki hewala lakini bado hailipi!!
Kidogo nipanik kumbe post za 2010 ! Ah. Mcnizingue!
Follow Us Here