Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Chinga wampasua Meya

    Report Post
    Results 1 to 11 of 11
    1. Shy is offline
      Shy
      #1
      Shy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2006
      Posts : 4,922
      Rep Power : 0
      Likes Received
      76
      Likes Given
      0

      Default Chinga wampasua Meya

      Inasemekana Meya Wa Jiji La Dar Es Salaam Mh Jumaaa Amepasuliwa Na Jiwe Kichwani Baada Ya Kuingilia Ugomvi Kati Ya Mgambo Wa Manispaa Na Wamachinga

      Kasheshe Hiyo Ilianza Pale Askari Hao Walivyoanza Kumtwanga Kijana Mmoja Kwa Jina La Hassani Eneo La Kitumbini

      Habari Zaidi Soma Magazeti Ya Kesho


    2. #2
      Msanii's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th July 2007
      Posts : 6,216
      Rep Power : 1932
      Likes Received
      218
      Likes Given
      277

      Default Re: Breaking News : Chinga wampasua Meya

      ohoooo
      jambo limezua jambo
      nampa pole meya (kama ni kweli kapasuliwa)
      " If you hear a voice within you say "you cannot paint", then by all means paint, and that voice will be silenced"
      [email protected]

    3. Mtu is offline
      Mtu
      #3
      Mtu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th February 2007
      Posts : 600
      Rep Power : 752
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Breaking News : Chinga wampasua Meya

      Itabidi apelekwe Sauzi Afrika kwa matibabu

    4. #4
      Msanii's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th July 2007
      Posts : 6,216
      Rep Power : 1932
      Likes Received
      218
      Likes Given
      277

      Default Re: Breaking News : Chinga wampasua Meya

      matumizi mabaya ya fedha za wamachinga (walipakodi)
      " If you hear a voice within you say "you cannot paint", then by all means paint, and that voice will be silenced"
      [email protected]

    5. #5
      Ufunuo wa Yohana's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th October 2007
      Posts : 327
      Rep Power : 663
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default Re: Breaking News : Chinga wampasua Meya

      chinga boyzz, ni dalili mbaya maana hata Bukombe, Kagera, Singida, matukio ya kutumia nguvu yanajitokeza.

      Tume itaundwa kubaini tatizo


    6. #6
      Msanii's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th July 2007
      Posts : 6,216
      Rep Power : 1932
      Likes Received
      218
      Likes Given
      277

      Default Re: Breaking News : Chinga wampasua Meya

      Quote By UFUNUO WA YOHANA View Post
      chinga boyzz, ni dalili mbaya maana hata Bukombe, Kagera, Singida, matukio ya kutumia nguvu yanajitokeza.

      Tume itaundwa kubaini tatizo
      ...matumizi mabaya ya pesa za wamachinga (walipa kodi)
      " If you hear a voice within you say "you cannot paint", then by all means paint, and that voice will be silenced"
      [email protected]

    7. #7
      Kitila Mkumbo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th February 2006
      Posts : 3,940
      Rep Power : 6971
      Likes Received
      1102
      Likes Given
      36

      Default Re: Breaking News : Chinga wampasua Meya

      Quote By Mtu View Post
      Itabidi apelekwe Sauzi Afrika kwa matibabu

      Itabdi, maana wakimpeleka Muhimbili unaweza ukakuta anapasuliwa uti wa mgongo badala ya kichwa!
      A Struggle Without Casualties is No Struggle-Steve Biko

    8. #8
      Halisi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th January 2007
      Posts : 3,037
      Rep Power : 2182
      Likes Received
      455
      Likes Given
      243

      Default Re: Breaking News: Chinga wampasua Meya

      Inasemekana Meya Wa Jiji La Dar Es Salaam Mh Jumaaa Amepasuliwa Na Jiwe Kichwani Baada Ya Kuingilia Ugomvi Kati Ya Mgambo Wa Manispaa Na Wamachinga
      Ni Abuu Jumaa ni Meya wa Manispaa ya Ilala, na Kama ni Meya wa Jiji ni Adam Kimbisa, sasa sijui ni yupi... lakini naamin atakua ni Abuu Jumaa, maana Kitumbini iko aneo lake, lakini pia Kimbisa ni msomi na hawezi kwenda kichwa kichwa. Huyu mzee Abuu Jumaa, ana kashfa nyingi za chinichini lakini katika suala la elimu, hana tofauti na mimi na babu yangu Hassan Dalali wa Simba, saa nafasi aliyopewa kwa dunia ya sasa ya Utandawazi ni kubwa mno kwa upeo wake. Zama za kupeana nafasi kwa fedha ama umaarufu zimekwisha na huu uwe msimu wake wa mwisho kuongoza. Familia yake inahusishwa na mambo mengi na sasa kuna kesi mahakamani inayohusu wizi wa magogo, ambayo polisi wameipiga chenga na sasa iko Mahakama ya Temeke kama kesi ya madai badala ya wizi.

    9. BAK is offline
      BAK
      #9
      BAK's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2007
      Location : Mfaranyaki
      Posts : 26,827
      Rep Power : 45014
      Likes Received
      8683
      Likes Given
      8666

      Default Re: Breaking News: Chinga wampasua Meya

      Ahsanteni sana wachangiaji, pamoja na kuwa hili tukio si la kuchekesha lakini mmenivunja mbavu sana...LOL!
      Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

    10. #10
      Susuviri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th October 2007
      Posts : 2,333
      Rep Power : 1066
      Likes Received
      65
      Likes Given
      67

      Default Re: Breaking News: Chinga wampasua Meya

      Lakini mi nasema wagambo wamezidi kuwanyanyapaa wamachinga! lazima wawe wagumu sasa! Nakumbuka wakati wa bomoabomoa waliwaahidi eti watawajengea 'mall' ya ghorofa 10 ya wamachinga! Mmh! Sasa miaka 2 imepita hizo soko walzipangiwa ni duni na wamejazana! Na sasa wanabughudhiwa huko Mchikichini walipopangiwa kuuza! Tatizo serikai yetu haina mipango (no plans) ni kichwa cha mwendawazimu. Akiamka meya au waziri mkuu anasema "Safisha jiji" kwani hao wamachinga ni uchafu? Si ni wanadamu?! Ah!

    11. #11
      Kasheshe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th June 2007
      Location : Bububu
      Posts : 3,630
      Rep Power : 1351
      Likes Received
      196
      Likes Given
      344

      Default Re: Breaking News : Chinga wampasua Meya

      Quote By Kitila Mkumbo View Post
      Itabdi, maana wakimpeleka Muhimbili unaweza ukakuta anapasuliwa uti wa mgongo badala ya kichwa!

      By the way tunapokuwa na wagonjwa tuwe nao karibu at least ukijua mgonjwa wako anaenda thieatre saa ngapi na anafanyiwa operation na doctor gani itasaidia kuhakiki yanatokea hayo vizuri, maana waweza mgonjwa aweza kuumwa kidole cha mguu akapaduliwa jicho.

    Similar Topics

    1. Replies: 281
      Last Post: 2nd July 2011, 17:27
    2. Chinga na polisi
      By mseseve in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
      Replies: 1
      Last Post: 22nd April 2011, 06:57
    3. Chinga na majina yao.
      By Capitano in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
      Replies: 12
      Last Post: 22nd April 2011, 00:33
    4. Chinga = Waingeledha
      By Capitano in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
      Replies: 0
      Last Post: 12th April 2011, 03:14
    5. Chinga balaa
      By Capitano in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
      Replies: 4
      Last Post: 11th April 2011, 03:34

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...