Nahumu 1:9
Mnawaza nini juu ya Bwana? Yeye atakomesha kabisa; mateso hayatainuka mara ya pili
Nahumu 1:9
Mnawaza nini juu ya Bwana? Yeye atakomesha kabisa; mateso hayatainuka mara ya pili
Asante sana kwa kunitengenezea siku yangu kwa hilo neno la uzima na faraja.
limenipa moyo na kunijenga sana.
Ubarikiwe.
Asante Kiranja mkuu tunakaa na yetu mioyoni mwetu siku zote za maisha yetu
Neno la Kristo likae kwa wingi ndani yetu (Wakolosai 3:16).
Kwa nini basi neno la Kristo likae kwa wingi ndani yetu? Ni kwa sababu lina mambo yafuatayo ambayo ni muhimu katika maisha yetu ya Ukristo.
Mambo hayo ni…
A) Neno la Mungu li Hai
B) Neno la Mungu lina nguvu (Mwanzo 1:6).
C) Neno la Mungu lina ukali kuliko upanga
D) Neno la Mungu linachoma hata kuzigawanya nafsi, roho viungo na mafuta yaliyomo ndani yake
E) Neno la Mungu li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo
No one is in charge of your happiness except you...
God time is the best..
Hadi tufike 2015 tutakuwa tumekoma
Asante kwa kutukumbusha.
haha haha h aha a ha Kana Ka Mfumu, kwani hujui yale mambo hayana ubaguzi?
You guys just stick on the topic.for God sake.Nimeipenda hiyo comment from Nahumu.God bless you.
Ahsante sana kwa neno!!!
Maovu yaliyofanyika kipindi kilichopita ya akina zombe, Richmond, EPA, Kiura, project feki za serikali, na maovu mengine mengi ya akina Ditopile kuua mtu kama kushuti digidigi! kweli tutayasahau?
MUNGU TUPE AMANI, make yanasumbua kichwa changu.
Thank you Jesus, kumbe tunamkumbuka Mungu wakati huu wa uchaguzi pia, thank you and stay blessed
.
Jinsi mkono wake wa kuokoa na kukomboa ulivyo mkuu. Kama alimhukumu farao kwa kumtenga na wana Israel alipoyaseta majeshi ya wamisri katika bahari ya Shamu, vivyo hivyo anaweza kututenga na umaskini mkuu tuliosababishiwa na serikali ya ccm. Ccm imeachwa kutawala mda mrefu ili kwamba itakapoondoshwa kirahisi watu watambue kwamba Muumba ana mamlaka juu mbinguni na duniani. ONYO kwa watz: kuna aya moja inayosema 'msipo sadiki hamtathibitika' hivyo basi tuonyeshe kusadiki kwetu kwa ushiriki wa kura yetu ya kumwangusha Farao ccm na jeshi lake la Mafisadi.
Follow Us Here