TiGo Says
    Show/Hide This

    Topic: Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

    Report Post
    Page 1 of 3 123 LastLast
    Results 1 to 30 of 68
    1. #1
      The Boss's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 18th August 2009
      Location : DARESALAAM
      Posts : 12,679
      Rep Power : 10005
      Likes Received
      7391
      Likes Given
      10219

      Exclamation Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

      Star tv wanaripoti kuwa dk slaa kavunjika mkono

      baada ya kuteleza bafuni.......

      SO MANY RELATIONSHIPS, YET SO LITTLE LOVE.....


    2. #2
      Mongoiwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th February 2008
      Posts : 464
      Rep Power : 613
      Likes Received
      7
      Likes Given
      12

      Exclamation Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

      Taarifa nilizopata ni kuwa yule mgombea urais kwa tiketi ya Chadema Dk. Slaa amepata ajali na kwamba japo hali yake inaelezwa kuwa nzuri, inasemekama amevunjika mkono wa kushoto.
      naendelea fuatilia tutafahamishana zaidi.

    3. #3
      The Boss's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 18th August 2009
      Location : DARESALAAM
      Posts : 12,679
      Rep Power : 10005
      Likes Received
      7391
      Likes Given
      10219

      Default Re: Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

      Acha kushtua watu


      amedondoka bafuni na hali yake nzuri,anaendelea na kampeni..
      Mkono umevunjika kidogo.
      SO MANY RELATIONSHIPS, YET SO LITTLE LOVE.....

    4. #4
      Ndibalema's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th April 2008
      Location : Mbagala
      Posts : 4,085
      Rep Power : 1446
      Likes Received
      383
      Likes Given
      184

      Default Re: Eti dk slaa kashavunjika mkono.....

      Aisee! lakini yawezekana ni ajali za kawaida tu.
      Tusifikilie mbaali.
      "Makalio ya sufuria hayaogopi moto"

    5. #5
      The Boss's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 18th August 2009
      Location : DARESALAAM
      Posts : 12,679
      Rep Power : 10005
      Likes Received
      7391
      Likes Given
      10219

      Default Re: Eti dk slaa kashavunjika mkono.....

      Habari ndo hiyo
      SO MANY RELATIONSHIPS, YET SO LITTLE LOVE.....

    6. #6
      Babuyao's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th June 2009
      Posts : 1,512
      Rep Power : 757
      Likes Received
      63
      Likes Given
      98

      Default Re: Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

      Duh! Mungu amsaidie mpiganaji wetu apone haraka huo mkono. Pole sana Dakta.
      God writes straight with crooked lines.

    7. #7
      Kisoda2's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th May 2008
      Posts : 812
      Rep Power : 670
      Likes Received
      22
      Likes Given
      234

      Default Re: Eti dk slaa kashavunjika mkono.....

      Quote By The Boss View Post
      Star tv wanaripoti kuwa dk slaa kavunjika mkono

      baada ya kuteleza bafuni.......


      Haya ,
      tutamuombea atapona tu.
      ingekuwa kiuno hapo pangeleta shida.
      " Masikini haishiwi NDOTO !!! "

    8. #8
      Watanzania's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th July 2009
      Posts : 708
      Rep Power : 591
      Likes Received
      7
      Likes Given
      1

      Default Re: Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

      Quote By The Boss View Post
      Acha kushtua watu


      amedondoka bafuni na hali yake nzuri,anaendelea na kampeni..
      Mkono umevunjika kidogo.
      Pole Dr. Slaa. Mungu aendelee kukulinda vema rais wetu mtarajiwa.

    9. #9
      Mama Mdogo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st November 2007
      Posts : 722
      Rep Power : 679
      Likes Received
      106
      Likes Given
      22

      Default Re: Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

      Kwa sisi tulio na uzalendo na nchi yetu, tunapenda wagombea wote waanze shughuli salama na wamalize kwa amani. Sasa hii taarifa kuhusu kuumia Dr Slaa, mwenye taarifa kamili basi atujulishe. Hii habari mara kapata ajali, mara kadondoka bafuni inatuchanganya. Mwenye taarifa za uhakika atujulishe. hii hali kama ni hivyo, inanikumbusha mwaka ule Mh Mwai Kibaki alipoumia mguu wakati wa kampeni, lakini mambo baadaye yalikuja kuwa mazuri, mguu umepona.

    10. #10
      Kimey's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 25th March 2009
      Location : Counter ya Juu!
      Posts : 3,904
      Rep Power : 1245
      Likes Received
      578
      Likes Given
      500

      Default Dr. Slaa I wish you a quick recovery!

      Nimesikia kwenye taarifa ya habari ya redio free africa kua Dr. Slaa amevunjika mkono baada ya kuanguka bafuni wakati anaoga! Dr. Amepata matibabu katika. Hospitali ya bugando na hali inaendelea vizuri! Jioni atahutubia shinyanga! Pole sana Dr. Twakuombea upone haraka!
      I may be walking slowly, But I never walk backwards! and Whenever I walk backwards, Its for a long jump!!

    11. #11
      Mongoiwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th February 2008
      Posts : 464
      Rep Power : 613
      Likes Received
      7
      Likes Given
      12

      Default Re: Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

      Quote By Babuyao View Post
      Duh! Mungu amsaidie mpiganaji wetu apone haraka huo mkono. Pole sana Dakta.
      Click image for larger version. 

Name:	Slaa kuzungumza3.JPG 
Views:	30 
Size:	158.9 KB 
ID:	12158

      Amemaliza kuzungumza na waandishi wa habari, wameeleza kuwa alianguka bafuni jana usiku baada ya kuteleza bafuni.


    12. #12
      Fisherscom's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th March 2008
      Location : Nyanda Za Juu
      Posts : 419
      Rep Power : 602
      Likes Received
      16
      Likes Given
      33

      Default Re: Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

      Nampa pole zake nyingi. Mungu ampe wepesi apone haraka na kuendelea na mapambano. Tuko pamoja nae! 2010 lazima kieleweke.

    13. #13
      edwinito's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 3rd December 2008
      Posts : 197
      Rep Power : 520
      Likes Received
      4
      Likes Given
      2

      Default Re: Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

      Quote By The Boss View Post
      Acha kushtua watu


      amedondoka bafuni na hali yake nzuri,anaendelea na kampeni..
      Mkono umevunjika kidogo.
      Kuvunjika kidogo ndo vipi?? Mkuu naomba ufafanuzi!!

    14. #14
      Tindikali's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th March 2010
      Posts : 276
      Rep Power : 468
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default Re: Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

      Quote By Watanzania View Post
      Pole Dr. Slaa. Mungu aendelee kukulinda vema rais wetu mtarajiwa.
      Aendelee kumlinda? Ina maana amelindwa na akavunjika vile vile. Ulinzi wa Mungu unaelemewa.

    15. #15
      The Boss's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 18th August 2009
      Location : DARESALAAM
      Posts : 12,679
      Rep Power : 10005
      Likes Received
      7391
      Likes Given
      10219

      Default Re: Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

      Chadema nao wawe makini na hizo hoteli
      SO MANY RELATIONSHIPS, YET SO LITTLE LOVE.....

    16. #16
      Shalom's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 17th June 2007
      Location : texas
      Posts : 1,333
      Rep Power : 835
      Likes Received
      54
      Likes Given
      38

      Default Re: Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

      Pona Haraka Dr!

    17. #17
      minda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd October 2009
      Location : uswazi
      Posts : 883
      Rep Power : 614
      Likes Received
      9
      Likes Given
      0

      Default Re: Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

      Quote By Malaria Sugu View Post
      pole sana dk slaa


      vr gd ms; ila signature yako balaa...
      unaipenda tanzania? sema ukweli!

    18. #18
      Babuyao's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th June 2009
      Posts : 1,512
      Rep Power : 757
      Likes Received
      63
      Likes Given
      98

      Default Re: Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

      Quote By The Boss View Post
      Chadema nao wawe makini na hizo hoteli
      Umakini unahitajika. Ndiyo, umakini unahitajika! Umesema sawa kabisa The Boss.
      God writes straight with crooked lines.

    19. #19
      Mpita Njia's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 3rd March 2008
      Posts : 5,536
      Rep Power : 2970
      Likes Received
      451
      Likes Given
      320

      Default Re: Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

      Pole Dk Slaa. Lione kama tukio la kawaida na usonge mbele
      I assume full responsibility for my actions, except the ones that are someone else's fault.

    20. #20
      Malyamungu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th July 2009
      Posts : 364
      Rep Power : 523
      Likes Received
      11
      Likes Given
      10

      Default Re: Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

      hotel ambazo hazina viwango/ukaguzi wa idara ya afya kazini (OH&S) Occupational Health and safety. Risks are not controled in most of the hotels in Tanzania.

      Na lazima bafuni kuna zile tiles za kuteleza 'kung'a" badala ya kuwekwa zenye 'rafu' ugumu fulani hive ili kama zinapata unyevunyevu zisiteleze kirahisi.
      Dr anaweza kuwashtaki na kujichotea hela za ajabu.

      Nenda Mheshimiwa Slaa. NEnda baba!

    21. #21
      Uncle Rukus's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th June 2010
      Location : Kasulu Kigoma
      Posts : 2,135
      Rep Power : 832
      Likes Received
      282
      Likes Given
      180

      Default Re: Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

      Aisee! mbaya sana hii!

    22. #22
      Kituko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th January 2009
      Posts : 3,304
      Rep Power : 1153
      Likes Received
      262
      Likes Given
      82

      Default Re: Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

      Quote By Malaria Sugu View Post
      isikutishe
      naona taratibu unauona ukweli nadhani muda si mrefu utarejea kundini, ROHO IKO RADHI LAKINI UMESHAKULA CHA WATU

      POLE DOKTA SLAA, KIBAKI ALIAPISHWA NA MAGONGO

    23. #23
      Tongue blister's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th June 2009
      Posts : 359
      Rep Power : 524
      Likes Received
      3
      Likes Given
      1

      Default Re: Eti dk slaa kashavunjika mkono.....

      Quote By The Boss View Post
      Star tv wanaripoti kuwa dk slaa kavunjika mkono

      baada ya kuteleza bafuni.......


      Haya ,
      Mungu atamtangulia mpiganaji jasiri...!!! Mwaka huu mungu ataitangulia Tanzania..!!! Hadi kieleweke vizuri...!
      Hide not thy poison with such sugar`d words.!!

    24. #24
      MZALAMO's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 6th July 2009
      Posts : 147
      Rep Power : 480
      Likes Received
      15
      Likes Given
      3

      Default Re: Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

      Pole Dr. Slaa tunakuombea upone haraka.

    25. #25
      Lukolo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2009
      Location : Iringa
      Posts : 1,952
      Rep Power : 823
      Likes Received
      432
      Likes Given
      360

      Default Re: Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

      Oooh, pole mpiganaji! Naamini kuanguka huku hakutakuwa na mkono wa mtu. Ila tahadhari ichukuliwe vilevile, maana sipati picha hilo bafu ambalo Rais mtarajiwa alikuwa analitumia lilikuwa ni la namna gani hadi liwe na utelezi uliosababisha aanguke. Lets not just say its normal rather, we need a critical analysis. Ama wenye hotel walifanya mtego au kuna uzembe umefanyika katika kulifanyia usafi hilo bafu kiasi cha kusababisha utelezi. Au kuna jambo lingine zaidi lililojificha...
      Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala

    26. #26
      Kigogo's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 14th December 2007
      Location : Calabash
      Posts : 5,478
      Rep Power : 1656
      Likes Received
      674
      Likes Given
      183

      Default Re: Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

      pole sana Dr. na mungu akupe nafuu ya haraka Rais wangu....
      ______________________________ _
      Niko tayari kufa huku nimesimama kuliko kuishi huku nimepiga magoti....

    27. #27
      Marksman's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th May 2010
      Posts : 713
      Rep Power : 554
      Likes Received
      90
      Likes Given
      2

      Default Re: Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

      Labda kuna mkono wa mtu.... maana moto mkali anaousambaza unaweza kuwakasirisha wengi.
      Politics is supposed to be the second-oldest profession. I have come to realize that it bears a very close resemblance to the first.

    28. #28
      Luveshi's Avatar
      Member Array
      Join Date : 22nd May 2010
      Posts : 65
      Rep Power : 418
      Likes Received
      1
      Likes Given
      5

      Default Re: Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

      Quote By Malyamungu View Post
      hotel ambazo hazina viwango/ukaguzi wa idara ya afya kazini (OH&S) Occupational Health and safety. Risks are not controled in most of the hotels in Tanzania.

      Na lazima bafuni kuna zile tiles za kuteleza 'kung'a" badala ya kuwekwa zenye 'rafu' ugumu fulani hive ili kama zinapata unyevunyevu zisiteleze kirahisi.
      Dr anaweza kuwashtaki na kujichotea hela za ajabu.

      Nenda Mheshimiwa Slaa. NEnda baba!
      Ata Kikwete ugonjwa wake wa kupotezapoteza nguvu ghafla bin vuu ungemtokea akiwa hotelini zingesingiziwa tiles...Tafakari!!!

    29. #29
      The Invincible's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 6th May 2006
      Location : Online
      Posts : 1,597
      Rep Power : 935
      Likes Received
      39
      Likes Given
      0

      Default Re: Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

      Duh! Pole Dr Slaa. Nakuombea upone haraka.
      Watanzania mbumbumbu wamemchagua raisi dhaifu ajenge taifa la watu wasiojiamini, 2010/2015 - Tafakari

    30. #30
      Fixed Point's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th September 2009
      Posts : 1,879
      Rep Power : 813
      Likes Received
      381
      Likes Given
      409

      Default Re: Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

      Pole sana Dr. Slaa. Get well soon
      No one could ever earn your love, Your Grace and Mercy is free
      Lord these words are true, so is my love for You

    Page 1 of 3 123 LastLast

    LinkBacks (?)


    Similar Topics

    1. 20% apata ajali KIGOMAA
      By Bajabiri in forum Celebrities Forum
      Replies: 22
      Last Post: 6th July 2011, 12:20
    2. Selasini avunjika mkono.
      By Gama in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 10
      Last Post: 4th October 2010, 12:59
    3. Lunyungu apata ajali
      By Maxence Melo in forum Matangazo madogo
      Replies: 86
      Last Post: 25th June 2009, 09:40
    4. Kapuya apata ajali...
      By Masatu in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 89
      Last Post: 26th September 2007, 17:52

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...