Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Ni sahihi mwanamke kuwa Mchungaji, Padre au Shehe?

    Report Post
    Page 1 of 2 12 LastLast
    Results 1 to 20 of 39
    1. #1
      Utingo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th December 2009
      Location : Lyazumbi
      Posts : 4,423
      Rep Power : 1382
      Likes Received
      592
      Likes Given
      405

      Exclamation Ni sahihi mwanamke kuwa Mchungaji, Padre au Shehe?

      katika kusoma Bible sijawahi kuona any dot inayoonyesha mwanamke kuwa kuhani, lakini siku hizi wanawake wachungaji (makuhani) wapo.

      Je ni kwenda kinyume na Biblia? na ni kwa nini hakuna mashehe wanawake? na Je kwa Hinduism and Buthism?
      Naomba kueleweshwa. (I have nothing personal that is why nimeuliza kotekote)
      Without justice – Government is nothing but a band of robbers

    2. Miaka 50

    3. #2
      Kamaka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th June 2010
      Location : Gallaxy
      Posts : 528
      Rep Power : 560
      Likes Received
      24
      Likes Given
      78

      Default Re: Ni sahihi mwanamke kuwa Mchungaji, Padre au Shehe?

      hakuna mashehe wa kike.

    4. #3
      minda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd October 2009
      Location : uswazi
      Posts : 886
      Rep Power : 667
      Likes Received
      11
      Likes Given
      0

      Default Re: Ni sahihi mwanamke kuwa Mchungaji, Padre au Shehe?

      mwanamke kushikilia nafasi hizo inategemeana na dini husika. wakatoliki hawaruhusu wanawake kuwa mapadre; hali kadhalika waislamu hawaruhusu wanawake kuwa mashehe na baadhi ya madhehebu ya kikristo yanaruhusu kwa msingi kwamba;

      1. yesu alikuwa na wanawake kama mariamu wa magdala
      2. yesu kuita mitume wanaume tu haikumaanisha kwamba alikuwa hataki wanawake
      3. mapadre, wachungaji na maaskofu wa leo si lazima wawe wawakilishi halali wa mitume wa yesu, nk
      endapo una malalamiko katika dini yako kwamba wanawake hawapewi nafasi hizo nakushauri uanzishe dini yako ili masuala ya jinsia na haki yatendeke katika dini yako mpya kwani katiba ya nchi yetu inaruhusu mambo kama hayo; tahadhari ikiwa ni kwamba usije nawe ukawa mungu binadamu kama walivyo baadhi ya watu walioanzisha dini mpya kwa kigezo cha kukosekana haki katika dini walizoacha.
      unaipenda tanzania? sema ukweli!

    5. #4
      Kiby's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th November 2009
      Posts : 3,500
      Rep Power : 1189
      Likes Received
      599
      Likes Given
      33

      Default Re: Ni sahihi mwanamke kuwa Mchungaji, Padre au Shehe?

      Swali lako liko clear na linaeleweka, hakuna fumbo hapa. Kwa upande wa wakristo ambao wanatumia biblia sii halali kwa mwanamke kuwa (kuhani)mchungaji. Lakini lazima ujue kwamba mwanamke hajazuiwa kumtumikia Mungu katika maeneo mengine kama unabii, uinjilisti na ualimu maana nao wamekirimiwa vipawa vya roho mtakatifu sawa na wanaume bila upendeleo wowote. Katika nchi ya israel(Yerusalemu) ndio chimbuko la dini kuu tatu, yaani uyahudi, ukristo na uislamu japo uisilamu ilianzishiwa ktk mji wa maka. Hapo katika ardhi ya israel kulingana na biblia agano la kale na jipya hapakupata kuwepo na kuhani mwanamke ila mmoja tu, nae ni Yezebeli binti Ethbaal mfalme wa sidoni. Ndie aliyewanyanganya makuhani wa Mungu jukumu na kulichukua yeye. Sote tunafahamu kilichompata na manabii wake wakati wa Elia. Hivyo basi ukiona mwanamke ambae amejibebesha ukuhani, roho hiyo twajua ilikoanzia.

    6. #5
      Chapakazi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th April 2009
      Location : Kathmandu
      Posts : 2,910
      Rep Power : 1096
      Likes Received
      256
      Likes Given
      272

      Default Re: Ni sahihi mwanamke kuwa Mchungaji, Padre au Shehe?

      Kumbukeni kuwa Biblia imeandikwa katika context ya culture fulani!na hii ni ya wayahudi!ivyo mila za wayahudi wakati ule hazikuruhusu hili. kama mnabisha, mbona hapo papo Biblia iliruhusu kuwa na watumwa? God dealt with the people in relation to their culture! Note: this does not mean that the Bible is not the Word of God!
      Change begins with YOU

    7. FemaTV & Radio

    8. #6
      Kapwani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th November 2009
      Posts : 606
      Rep Power : 605
      Likes Received
      78
      Likes Given
      47

      Default Re: Ni sahihi mwanamke kuwa Mchungaji, Padre au Shehe?

      Quote By Kiby
      Swali lako liko clear na linaeleweka, hakuna fumbo hapa. Kwa upande wa wakristo ambao wanatumia biblia sii halali kwa mwanamke kuwa (kuhani)mchungaji. Lakini lazima ujue kwamba mwanamke hajazuiwa kumtumikia Mungu katika maeneo mengine kama unabii, uinjilisti na ualimu maana nao wamekirimiwa vipawa vya roho mtakatifu sawa na wanaume bila upendeleo wowote. Katika nchi ya israel(Yerusalemu) ndio chimbuko la dini kuu tatu, yaani uyahudi, ukristo na uislamu japo uisilamu ilianzishiwa ktk mji wa maka. Hapo katika ardhi ya israel kulingana na biblia agano la kale na jipya hapakupata kuwepo na kuhani mwanamke ila mmoja tu, nae ni Yezebeli binti Ethbaal mfalme wa sidoni. Ndie aliyewanyanganya makuhani wa Mungu jukumu na kulichukua yeye. Sote tunafahamu kilichompata na manabii wake wakati wa Elia. Hivyo basi ukiona mwanamke ambae amejibebesha ukuhani, roho hiyo twajua ilikoanzia.
      Una maana mwanamke kuwa mchungaji ni roho ya YEZEBELI? sioni hoja hapa! mwanamke kuwa awe mwalimu nk anyimwe kuwa kuhani? HOJA YANGU NI KWAMBA WANAUME WANAPENDA VYEO /STATUS NA HELA na wao siku zote hutamani kushika madaraka yanayoleta fedha na sifa. Pia wangependa kuona vyeo vyote vywnyw tija wanashika wao wanawake wanashika vyeo visivyo na chovhote. mmezoea sana hilo kukataa wanawake wasiwe wachungaji hakuna mashiko zaidi ya akili ya mfumo dume. KUJIFANYA MUNGU ANAPENDA KUTUMIKIWA NA WANAUME TU NI UBAZAZI WA WANAUME na wala sio kauli ya MUNGU. Unaenda mbali juu ya uchungaji! hata urais watu wanadhani mwanaume tu ndio anaweza.......wakati wamepewa nchi hii miaka zaidi ya 40 kuongoza hakuna la maana zaidi ya umaskini. HIYO INATOSHA KUONYESHA KUWA JINSIA HAS NOTHING TO DO WITH UONGOZI. Kwenye uchungaji sana sana ni njaa iliyojificha kwenye mfumo dume tu ndio zinazosukuma kujifanya eti wanawake hawaruhusiwi....SI KWELI . .
      Mix with yours

    9. #7
      Kiranga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th January 2009
      Posts : 14,145
      Rep Power : 41574
      Likes Received
      6044
      Likes Given
      1056

      Default Re: Ni sahihi mwanamke kuwa Mchungaji, Padre au Shehe?

      Si sahihi mtu yeyote, mwanamme au mwanamke, kuwa mchungaji.

      Unless anataka kuwadanganya watu tu.
      Allow others to say their say, but always say your piece, it's only right.

    10. #8
      Kiby's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th November 2009
      Posts : 3,500
      Rep Power : 1189
      Likes Received
      599
      Likes Given
      33

      Default Re: Ni sahihi mwanamke kuwa Mchungaji, Padre au Shehe?

      Quote By kapwani
      Una maana mwanamke kuwa mchungaji ni roho ya YEZEBELI? sioni hoja hapa! mwanamke kuwa awe mwalimu nk anyimwe kuwa kuhani? HOJA YANGU NI KWAMBA WANAUME WANAPENDA VYEO /STATUS NA HELA na wao siku zote hutamani kushika madaraka yanayoleta fedha na sifa. Pia wangependa kuona vyeo vyote vywnyw tija wanashika wao wanawake wanashika vyeo visivyo na chovhote. mmezoea sana hilo kukataa wanawake wasiwe wachungaji hakuna mashiko zaidi ya akili ya mfumo dume. KUJIFANYA MUNGU ANAPENDA KUTUMIKIWA NA WANAUME TU NI UBAZAZI WA WANAUME na wala sio kauli ya MUNGU. Unaenda mbali juu ya uchungaji! hata urais watu wanadhani mwanaume tu ndio anaweza.......wakati wamepewa nchi hii miaka zaidi ya 40 kuongoza hakuna la maana zaidi ya umaskini. HIYO INATOSHA KUONYESHA KUWA JINSIA HAS NOTHING TO DO WITH UONGOZI. Kwenye uchungaji sana sana ni njaa iliyojificha kwenye mfumo dume tu ndio zinazosukuma kujifanya eti wanawake hawaruhusiwi....SI KWELI . .
      Mix with yours
      .
      Bishana na biblia. Na uihoji ni kwa nini kuanzia agano la kale mpaka mitume wa Yesu hakuwekwa mwanamke. Na kama Mungu huyu wa Israel ni wa mfumo dume, una hiari ya kuchagua mungu mwingine na kushawishi pia kuungwa mkono. Hii ndio raha ya demokrsia ya kuchagua!!!

    11. #9
      Kiranga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th January 2009
      Posts : 14,145
      Rep Power : 41574
      Likes Received
      6044
      Likes Given
      1056

      Default Re: Ni sahihi mwanamke kuwa Mchungaji, Padre au Shehe?

      Quote By Kiby
      .
      Bishana na biblia. Na uihoji ni kwa nini kuanzia agano la kale mpaka mitume wa Yesu hakuwekwa mwanamke. Na kama Mungu huyu wa Israel ni wa mfumo dume, una hiari ya kuchagua mungu mwingine na kushawishi pia kuungwa mkono. Hii ndio raha ya demokrsia ya kuchagua!!!
      Hakuwekwa mwanamke nani?

      Just to rain on your parade, unawajua prophetess hawa kutoka katika biblia yako ?

      Miriam
      (Exodus 15:20)

      Deborah
      (Judges 4:4)

      Huldah
      (II Kings 22:14)
      (II Chronicles 34:22)

      Noadiah
      (Nehemiah 6:14)

      Anna
      (Luke 2:36)
      Allow others to say their say, but always say your piece, it's only right.

    12. #10
      macho_mdiliko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2008
      Posts : 1,893
      Rep Power : 955
      Likes Received
      403
      Likes Given
      295

      Default Re: Ni sahihi mwanamke kuwa Mchungaji, Padre au Shehe?

      Quote By Kiranga
      Hakuwekwa mwanamke nani?

      Just to rain on your parade, unawajua prophetess hawa kutoka katika biblia yako ?

      Miriam
      (Exodus 15:20)

      Deborah
      (Judges 4:4)

      Huldah
      (II Kings 22:14)
      (II Chronicles 34:22)

      Noadiah
      (Nehemiah 6:14)

      Anna
      (Luke 2:36)
      Hawa ni wachungaji?

    13. #11
      Kiranga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th January 2009
      Posts : 14,145
      Rep Power : 41574
      Likes Received
      6044
      Likes Given
      1056

      Default Re: Ni sahihi mwanamke kuwa Mchungaji, Padre au Shehe?

      Quote By macho_mdiliko
      Hawa ni wachungaji?
      Prophetess, wachungaji by definition. It doesn't get any better than that.

      But the whole thing is fabricated on a male godhead that doesn't even exist. I just wanted to show that denying women these roles by using the bible is inconsistent with the bible.

      After that, I go back to slamming the bible as a human fabrication which cannot be used as a guide, to the thinking human at least.
      Allow others to say their say, but always say your piece, it's only right.

    14. #12
      X-PASTER's Avatar
      Super Moderator Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Firdaws (Paradise)
      Posts : 11,859
      Rep Power : 7687
      Likes Received
      1467
      Likes Given
      0

      Default Re: Ni sahihi mwanamke kuwa Mchungaji, Padre au Shehe?

      Quote By Lumbe
      katika kusoma Bible sijawahi kuona any dot inayoonyesha mwanamke kuwa kuhani, lakini siku hizi wanawake wachungaji (makuhani) wapo.

      Je ni kwenda kinyume na Biblia? na ni kwa nini hakuna mashehe wanawake? na Je kwa Hinduism and Buthism?
      Naomba kueleweshwa. (I have nothing personal that is why nimeuliza kotekote)
      Kuna vitu ambavyo vinapelekea mtu kuitwa "Sheikh" na hii ndio kanuni haswa ya lugha ya Kiarabu. Neno hili "Sheikh" lina maana ya...

      1. Mtu mzima aliyefikia makamo ya uzee.
      2. Mtu mwenye fani (kazi) kama vile ufundi, udaktari, n.k.
      3. Mtu yeyote alie kiongozi.

      Mtu akiwa na moja kati ya hayo basi watu wanaweza kumpa au kumwita jina la "Sheikh"
      “I am the punishment of God... If you had not committed great sins, God would not have sent a punishment like me upon you.”

      'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.

      (¯`·._.•X-Paster™•._.·´¯)

    15. #13
      Kiby's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th November 2009
      Posts : 3,500
      Rep Power : 1189
      Likes Received
      599
      Likes Given
      33

      Default Re: Ni sahihi mwanamke kuwa Mchungaji, Padre au Shehe?

      Quote By Kiranga
      Hakuwekwa mwanamke nani?

      Just to rain on your parade, unawajua prophetess hawa kutoka katika biblia yako ?

      Miriam
      (Exodus 15:20)

      Deborah
      (Judges 4:4)

      Huldah
      (II Kings 22:14)
      (II Chronicles 34:22)

      Noadiah
      (Nehemiah 6:14)

      Anna
      (Luke 2:36)
      .
      Nadhani uko nje ya point. Wapi hawa unaowataja waliwahi fanya kazi ya kuhani? bwana Yesu nae alikuwa na wanafunzi wengi miongoni mwao wanawake lakini katika kuchagua mitume(viongozi) hakumchagua mwanamke. Kufanya hivyo angejipinga mwenyewe. Kwani yeye ndio hilo Neno.

    16. #14
      Bull's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2008
      Posts : 970
      Rep Power : 571
      Likes Received
      22
      Likes Given
      0

      Default Re: Ni sahihi mwanamke kuwa Mchungaji, Padre au Shehe?

      Bibilia na U-christo unapangwa mezani, wanachoamua kwenye mikutano ndicho kinachofanyika, bibilia inaweza kudalishwa wakati wowote mojority wanapokubaliana

      Uislam ni tafauti wanfuata maagizo ya Qur'ani isiyo badilishwa, pia Mashekha (Shekh wa kike) inaruhusiwa kwenye uislam kutokakana na sunna za Mtume s.a.w.s.

    17. #15
      Kiranga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th January 2009
      Posts : 14,145
      Rep Power : 41574
      Likes Received
      6044
      Likes Given
      1056

      Default Re: Ni sahihi mwanamke kuwa Mchungaji, Padre au Shehe?

      Quote By Bull

      Biblia na Quran havichekani, vyote viwili ni vitabu vilivyo medieval kama si ancient kabisa in outlook na havina nafasi katika society ya watu wa leo.
      Allow others to say their say, but always say your piece, it's only right.

    18. #16
      Gaijin's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2007
      Posts : 11,319
      Rep Power : 12954
      Likes Received
      4591
      Likes Given
      2499

      Default Re: Ni sahihi mwanamke kuwa Mchungaji, Padre au Shehe?

      Wapo kwa sababu hakuna sababu ya kuwa vyenginevyo

    19. #17
      Kiranga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th January 2009
      Posts : 14,145
      Rep Power : 41574
      Likes Received
      6044
      Likes Given
      1056

      Default Re: Ni sahihi mwanamke kuwa Mchungaji, Padre au Shehe?

      Quote By Kiby
      .
      Nadhani uko nje ya point. Wapi hawa unaowataja waliwahi fanya kazi ya kuhani? bwana Yesu nae alikuwa na wanafunzi wengi miongoni mwao wanawake lakini katika kuchagua mitume(viongozi) hakumchagua mwanamke. Kufanya hivyo angejipinga mwenyewe. Kwani yeye ndio hilo Neno.
      Angalia wasomi wa biblia hapa

      Daily Bible Study - Prophetess

      Prophetess

      Miriam, the sister of Moses and Aaron, was a prophetess:

      "For the horse of Pharaoh went in with his chariots and with his horsemen into the sea, and The Lord brought again the waters of the sea upon them; but the children of Israel went on dry land in the midst of the sea. And Miriam the prophetess, the sister of Aaron, took a timbrel in her hand; and all the women went out after her with timbrels and with dances."
      "And Miriam answered them, Sing ye to The Lord, for He hath triumphed gloriously; the horse and his rider hath He thrown into the sea."

      "So Moses brought Israel from the Red sea, and they went out into the wilderness of Shur" (Exodus 15:19-22 KJV)

      Deborah was a prophetess in the time of The Judges:

      "And Deborah, a prophetess, the wife of Lapidoth, she judged Israel at that time. And she dwelt under the palm tree of Deborah between Ramah and Bethel in mount Ephraim: and the children of Israel came up to her for judgment." (Judges 4:4-5 KJV)
      Huldah is the only other woman of the Old Testament era (see The Older Testament) who is specifically referred to as a prophetess. Huldah lived in the time of the Kings of Israel and Judah, and resided in Judah, in Jerusalem, in a suburb of the city known as "the college" (KJV), or "the Second Quarter" (RSV):

      "So Hilkiah the priest, and Ahikam, and Achbor, and Shaphan, and Asahiah, went unto Huldah the prophetess, the wife of Shallum the son of Tikvah, the son of Harhas, keeper of the wardrobe; now she dwelt in Jerusalem in the college; and they communed with her."
      "And she said unto them, Thus saith The Lord God of Israel, Tell the man that sent you to me, Thus saith The Lord, Behold, I will bring evil upon this place, and upon the inhabitants thereof, even all the words of the book which the king of Judah hath read: Because they have forsaken Me, and have burned incense unto other gods, that they might provoke Me to anger with all the works of their hands; therefore My wrath shall be kindled against this place, and shall not be quenched" (2 Kings 22:14-17 KJV)

      At the time of the birth of the Christ, Anna was a prophetess who was at the Temple (see also "My Father's House") when the Messiah was brought there as an infant:

      "and when the parents brought in the child Jesus, to do for Him according to the custom of the Law ... And there was one Anna, a prophetess, the daughter of Phanuel, of the tribe of Aser: she was of a great age, and had lived with an husband seven years from her virginity; And she was a widow of about fourscore and four years, which departed not from the temple, but served God with fastings and prayers night and day. And she coming in that instant gave thanks likewise unto The Lord, and spake of him to all them that looked for redemption in Jerusalem." (Luke 2:27,36-38 KJV)
      Along with Godly prophetesses, there also were evil prophetesses, such as Noadiah who was among those who opposed Nehemiah at the time of the return from Babylon, and Jezebel (not the same Jezebel as in the Old Testament) who corrupted the church in Thyatira (see The Seven Churches) in the time of the New Testament:

      "And, lo, I perceived that God had not sent him; but that he pronounced this prophecy against me: for Tobiah and Sanballat had hired him. Therefore was he hired, that I should be afraid, and do so, and sin, and that they might have matter for an evil report, that they might reproach me. My God, think thou upon Tobiah and Sanballat according to these their works, and on the prophetess Noadiah, and the rest of the prophets, that would have put me in fear." (Nehemiah 6:12-14 KJV)
      "And unto the angel of the church in Thyatira write; These things saith the Son of God, who hath his eyes like unto a flame of fire, and his feet are like fine brass; I know thy works, and charity, and service, and faith, and thy patience, and thy works; and the last to be more than the first. Notwithstanding I have a few things against thee, because thou sufferest that woman Jezebel, which calleth herself a prophetess, to teach and to seduce my servants to commit fornication, and to eat things sacrificed unto idols. And I gave her space to repent of her fornication; and she repented not." (Revelation 2:18-21 KJV)
      Allow others to say their say, but always say your piece, it's only right.

    20. #18
      Kapwani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th November 2009
      Posts : 606
      Rep Power : 605
      Likes Received
      78
      Likes Given
      47

      Default Re: Ni sahihi mwanamke kuwa Mchungaji, Padre au Shehe?

      Quote By Kiby
      .
      Bishana na biblia. Na uihoji ni kwa nini kuanzia agano la kale mpaka mitume wa Yesu hakuwekwa mwanamke. Na kama Mungu huyu wa Israel ni wa mfumo dume, una hiari ya kuchagua mungu mwingine na kushawishi pia kuungwa mkono. Hii ndio raha ya demokrsia ya kuchagua!!!
      haikusaidii kuniambia nichague MUNGU MWINGINE! Ninashuku tafsiri ya aina hii ya biblia ....eti YESU hakuwa na mitume wanawake hiyo ndio sababu!???
      too shalow! fikiri zaidi

    21. #19
      Kiby's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th November 2009
      Posts : 3,500
      Rep Power : 1189
      Likes Received
      599
      Likes Given
      33

      Default Re: Ni sahihi mwanamke kuwa Mchungaji, Padre au Shehe?

      Karanga bado hujaweza kutofautisha ofisi ya ukuhani na ofisi ya unabii. Kuhani ni mtu aliyewekwa kakfu kwa kazi ya upatanisho watu waletapo matoleo yao ya dhabihu mbali mbali yeye huzisongeza mbele za Mungu madhabahuni. Mfano wa Haruni. Kazi hiyo ilifanywa na kabila la lawi na hakuwahi kuwepo mwanamke hata mmoja kwa kazi hiyo. Katika agano jipya kazi hiyo ilichukuliwa na Yesu ambae ni kuhani mkuu mfano wa Milkizedeki, kwa dhabihu ya damu yake mwenyewe na hivyo kuondoa rasmi upatanisho wa dhabihu za damu ya wanyama wa kiharuni. Hata hivyo ofisi hii ya kichungaji katika hili agano jipya hakumpa mwanamke japo miongoni mwa wanafunzi wake walikuwepo. paulo mtume wa kanisa la mataifa akitolea ufafanuzi jambo hili maana wanawake waliivamia ofisi hii na kuivunjia heshima. Alisema hivi, 'Simpi ruhusa mwanamke kumfundisha wala kumtawala mwanamme, tena wale wanaojifanya ni wa kiroho watambue agizi hili ni la Bwana' na tena 'wanaume wasalishe kila mahali huku wakiinua mikono iliyotakasika' na yapo mengi tu yanayopiga marufuku mwanamke ktk agano jipya kama vile ilivyokuwa kwa torati. Sasa mwanzoni nilipokua nachangia nilisema kuwa wanawake nao wamekirimiwa vipawa vyote tisa mfano lugha, tafsiri za lugha, unabii, nk. Sasa kuna tofauti kati ya nabii na karama ya unabii. Mfano Musa yeye alizaliwa ni nabii bali Miriam alikirimiwa karama ya unabii. Yaani watu wa jinsi hii wanaweza kutabiri bali hata hivyo haiwafanyi kuwa manabii na kukabidhiwa umma wa wakati wao kwa neno la Mungu kwa wakati husika. Usijichanganye na hawa manabii wanaofetuliwa na vyuo vya kidini na Manabii halisi wa Mungu kwa mujibu wa Neno lake.

    22. #20

      If you ask me, like I said before, the whole thing is a sham, from genesis to revelation, pick any book and I will show you where the fraud is.
      Allow others to say their say, but always say your piece, it's only right.

    Page 1 of 2 12 LastLast

    Similar Topics

    1. Shehe: Walichokifanya polisi ni sahihi
      By kilimasera in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 43
      Last Post: 16th January 2011, 10:53
    2. mwanaume(maalim,ustaz,mufti,shehe,maulama) mwanamke(je?)
      By Ng'wanangwa in forum Jukwaa la Lugha
      Replies: 9
      Last Post: 12th December 2010, 14:58
    3. mwanaume(maalim,ustaz,mufti,shehe,maulama) mwanamke(je?)
      By Ng'wanangwa in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 9
      Last Post: 12th December 2010, 14:58

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...