Show/Hide This

  Topic: Viwango vya mishahara Tanzania

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 27
  1. Bado Niponipo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th August 2008
   Posts : 664
   Rep Power : 774
   Likes Received
   138
   Likes Given
   21

   Default Viwango vya mishahara Tanzania

   Heshima mbele wakuu.

   Nimerudi home na nisingependa kurudi tena ughaibuni kuhangaika na box, nimebahatika kuishi huko kwa miaka 9, ambapo nilipata degree yangu ya Business administration Marketing + Sales na kufanya kazi kwenye baadhi ya corporation za banking na Telecom kwa kipindi cha miaka mitano.

   Ningependa kujua viwango nya mishahara ya hapa nyumbani, hasa hasa kwenye sekta za finance kama banking na kampuni zakutoa mikopo na vile vile kwenye sekta ya Telecommunication/communication.

   Asanteni kwa hayo.

   Kunta
   Last edited by Bado Niponipo; 29th June 2010 at 18:15.

  2. jimy's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 27th May 2010
   Posts : 9
   Rep Power : 550
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Viwango vya mishahara tanzania

   kwa cheo gani?

  3. Jafar's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd November 2006
   Location : Msoga, Chalinze
   Posts : 1,247
   Rep Power : 988
   Likes Received
   17
   Likes Given
   0

   Default Re: Viwango vya mishahara tanzania

   Umerudi kufanya nini huku uswazi?
   Huku Bongo kwa kielimu chako sana sana umebahatika ni US$ 1K
   " ... wao wana pesa, sisi tuna Mungu ... " (Godbless Lema, MB)

  4. Mapinduzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd August 2008
   Posts : 2,429
   Rep Power : 1126
   Likes Received
   20
   Likes Given
   0

   Default Re: Viwango vya mishahara tanzania

   Kiwango cha mshahara kwa mwenye experience kama yako kwenye private sector ni kuanzia $ 5000+
   Usiogope kufa, ogopa kukosa pesa. Kilimo kwanza

  5. blackpepper's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th January 2010
   Posts : 380
   Rep Power : 644
   Likes Received
   10
   Likes Given
   3

   Default Re: Viwango vya mishahara tanzania

   Utasuga lami Miaka nenda rudi usipate kazi......je una Refa???

  6. Abdulhalim's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th July 2007
   Location : 67P
   Posts : 16,920
   Rep Power : 85903715
   Likes Received
   1702
   Likes Given
   785

   Default Re: Viwango vya mishahara tanzania

   Tumia ujuzi na experience yako na ela ya box kujiajiri...hao waajiri wenywe bongo ni akina nani?Watakukera tu.
   ..."Dullah One, muzee ya triple distilled" ...

  7. Kivumah's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th January 2008
   Posts : 2,355
   Rep Power : 5442
   Likes Received
   871
   Likes Given
   802

   Default Re: Viwango vya mishahara tanzania

   kaka ili kupukana na kichefu chefu cha waajiri wa hapa nyumbani nakushauri utafute kazi katika hizi International Organizations/corporations ambazo zipo nyingi tu na lengo lao naamini ni kuwaondolea umaskini watanzania, na wanatangaza kazi kila uchao katika media, mostly local english newspaper. suala la Mshahara siku hizi ni negotiable, wasomi wamekuwa wengi na Qualified in Tz kwa sasa, tofauti na last 9 yrs.

  8. Ringo Edmund's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th May 2010
   Location : MDAWI
   Posts : 4,803
   Rep Power : 1680
   Likes Received
   1045
   Likes Given
   652

   Default Re: Viwango vya mishahara tanzania

   Nitafute nina idea ya biashara flani hivi nilishindwa kuianzisha kwa sababu ya elimu yangu na kazi yangu.bongo watakujazia usiku tu.kama una wazo la kujiajiri.
   ​kusema ni fedha na kusikilizwa ni zahabu.

  9. Who Cares?'s Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th July 2008
   Location : JUPITER PLANET
   Posts : 1,911
   Rep Power : 1033
   Likes Received
   981
   Likes Given
   490

   Default Re: Viwango vya mishahara tanzania

   ahahahahaha...unaulizia TGS scale au ajira za watu binafsi? kwa TGS Scales kaka nisikufiche wala nini ukikamata BOT na TRA shavu dodo hukosi kitu kama million 4 kwa mwezi...ila ukidondokea hapo ttcl..lazma uchezee kitu ya laki 4-6 kwa mwezi....HUKU SECTOR BINAFSI TULIKO...UNAWEZA HATA KUPEWA U-DIRECTOR NA UKAAMBULIA SHARES ZA HIYO KAMPUNI....

   ila mzee huoni kama unakuja kuwanyima ajira wadogo zako 20,000 waliomaliza UDOM na main Campus kwakuwa hawana xperience kama yako?...kwanini usijipange ukawaajiri kama 10 hivi kwa kuanzia kampuni yako...au ujasiriamali ndio hukufundishwa huko chuoni kwenu ulaya?...maana nasikia eti ulaya topic wanazofundishwa wazungu ni tofauti na za weusi..eti mkijua mambo mtaendelea washindwe kuwanyonya kama walivyoshindwa china na japani...

   Tena kama vipi ukifika mjini nistue kwa experience yako ya ulaya najua lugha imekaa vizuri tutafly togeza mkuu...tafuta na mzungu m1 atakuwa partner wetu tuanzishe hata kampuni ya ku-supply umeme tuitwe wawekezaji pesa tunakopa bank kwa udhamini wa serikali yetu...na tunakuwa vizuri mzee...Ni maoni yangu mkuu nothing personal ila full meseji
   if we die the next generation will fight them too..and the one after them untill the victory is on our side

  10. Bawa mwamba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th March 2010
   Posts : 334
   Rep Power : 625
   Likes Received
   26
   Likes Given
   57

   Default Re: Viwango vya mishahara tanzania

   Quote By Who Cares? View Post
   ahahahahaha...unaulizia TGS scale au ajira za watu binafsi? kwa TGS Scales kaka nisikufiche wala nini ukikamata BOT na TRA shavu dodo hukosi kitu kama million 4 kwa mwezi...ila ukidondokea hapo ttcl..lazma uchezee kitu ya laki 4-6 kwa mwezi....HUKU SECTOR BINAFSI TULIKO...UNAWEZA HATA KUPEWA U-DIRECTOR NA UKAAMBULIA SHARES ZA HIYO KAMPUNI....

   ila mzee huoni kama unakuja kuwanyima ajira wadogo zako 20,000 waliomaliza UDOM na main Campus kwakuwa hawana xperience kama yako?...kwanini usijipange ukawaajiri kama 10 hivi kwa kuanzia kampuni yako...au ujasiriamali ndio hukufundishwa huko chuoni kwenu ulaya?...maana nasikia eti ulaya topic wanazofundishwa wazungu ni tofauti na za weusi..eti mkijua mambo mtaendelea washindwe kuwanyonya kama walivyoshindwa china na japani...

   Tena kama vipi ukifika mjini nistue kwa experience yako ya ulaya najua lugha imekaa vizuri tutafly togeza mkuu...tafuta na mzungu m1 atakuwa partner wetu tuanzishe hata kampuni ya ku-supply umeme tuitwe wawekezaji pesa tunakopa bank kwa udhamini wa serikali yetu...na tunakuwa vizuri mzee...Ni maoni yangu mkuu nothing personal ila full meseji
   The great thinker,.a sharp shooter

  11. Dark City's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th October 2008
   Location : Roaming
   Posts : 15,135
   Rep Power : 272909751
   Likes Received
   10530
   Likes Given
   17059

   Default Re: Viwango vya mishahara tanzania

   Quote By Ama View Post
   Kiwango cha mshahara kwa mwenye experience kama yako kwenye private sector ni kuanzia $ 5000+
   Hiyo nimesikia leo. Hizo mbona ni mshahara wa raisi kabla ya kuongeza per diems and mabomu mengine?

   Usimwingize mjini mtoto wa mwenzio. Mwache ajiandilie TGS, ambayo kwa first degree kianzio ni kati ya laki 5-6 na kama karudi na MBA basi ategemee kitu kama 1m. Ila kama ana mpango wa kurudi na mkweche basi hizo zote ni pesa za mafuta yanayomalizikia kwenye jam. Kwa hiyo ajiandae kuwa mbayu wayu!
   "WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGE....LOOKING BEYOND THE 31 OKTOBA 2010 LANDMARK"

   Retired Maj Gen DC (1947)...[email protected]

  12. Mambo Jambo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th July 2008
   Posts : 1,058
   Rep Power : 858
   Likes Received
   26
   Likes Given
   3

   Default Re: Viwango vya mishahara tanzania

   Safi sana baki nyumbani na ujenge inchi, wakuu acheni kumkatisha tamaa mbeba box anaweza akaamua kurudi ulaya mchango wake unahitajika bongo.

   Nauhakika kuna ma member wanaotoka kwenye Telecommunication na banks mpeni jamaa viwango vya mkwanja

   MJ
   A wise man once told me, luck isn't some mystical energy that dances around the universe randomly bestowing people with safisfaction and joy..you creat your own luck.

  13. Mambo Jambo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th July 2008
   Posts : 1,058
   Rep Power : 858
   Likes Received
   26
   Likes Given
   3

   Default Re: Viwango vya mishahara tanzania

   Mkuu nimewahi kusikia kuwa Tanzania kwa sasa kwa mtu mwenye elimu kama yako na ujuzi wa miaka kadhaa huwa analipwa vizuri sana.

   Private Sector, Tukianzia kwenye banking:-

   Wakuu wa idara kama (heads of Communications, Human Resources, Finance, Financial Markets, Monetary Analysis and Statistics ets wanalipwa kati ya $ 10,000 - $ 15,000

   Na kwa Telecommunication

   Wakuu wa idara Wakurugenzi na mameneja (heads, advertising, marketing, sales, HR, admin etc wanalipwa kuanzia $ 8000 - $ 12,000

   Na nasikia asilimia zaidi ya 90 ni vijana wa kitanzania, jaribu kufuatilia mkuu.

   MJ
   A wise man once told me, luck isn't some mystical energy that dances around the universe randomly bestowing people with safisfaction and joy..you creat your own luck.

  14. Jafar's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd November 2006
   Location : Msoga, Chalinze
   Posts : 1,247
   Rep Power : 988
   Likes Received
   17
   Likes Given
   0

   Default Re: Viwango vya mishahara tanzania

   Quote By Mambo Jambo View Post
   Mkuu nimewahi kusikia kuwa Tanzania kwa sasa kwa mtu mwenye elimu kama yako na ujuzi wa miaka kadhaa huwa analipwa vizuri sana.

   Private Sector, Tukianzia kwenye banking:-

   Wakuu wa idara kama (heads of Communications, Human Resources, Finance, Financial Markets, Monetary Analysis and Statistics ets wanalipwa kati ya $ 10,000 - $ 15,000

   Na kwa Telecommunication

   Wakuu wa idara Wakurugenzi na mameneja (heads, advertising, marketing, sales, HR, admin etc wanalipwa kuanzia $ 8000 - $ 12,000

   Na nasikia asilimia zaidi ya 90 ni vijana wa kitanzania, jaribu kufuatilia mkuu.

   MJ
   Usimdanganye mwenzio, wangekuwa wanapata hizo wasingetangaza nia ya kugombea ubunge kila kukicha kwa kukimbilia posho ya TZS 50,000 kwa siku kwa miezi miwili kila mwaka.

   Hapa bongo hiyo ni mishahara ya CEO au MD au Diretor kwenye secta binafsi. Serikalini huwezi kupata hizo labda uwe "mbayuwayu"
   " ... wao wana pesa, sisi tuna Mungu ... " (Godbless Lema, MB)

  15. Mambo Jambo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th July 2008
   Posts : 1,058
   Rep Power : 858
   Likes Received
   26
   Likes Given
   3

   Default Re: Viwango vya mishahara tanzania

   Quote By Jafar View Post
   Usimdanganye mwenzio, wangekuwa wanapata hizo wasingetangaza nia ya kugombea ubunge kila kukicha kwa kukimbilia posho ya TZS 50,000 kwa siku kwa miezi miwili kila mwaka.

   Hapa bongo hiyo ni mishahara ya CEO au MD au Diretor kwenye secta binafsi. Serikalini huwezi kupata hizo labda uwe "mbayuwayu"
   Msaidie jamaa basi, ukiona mtu amepost swali hapa jua anahitaji msaada.
   A wise man once told me, luck isn't some mystical energy that dances around the universe randomly bestowing people with safisfaction and joy..you creat your own luck.

  16. made's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th June 2010
   Posts : 344
   Rep Power : 613
   Likes Received
   89
   Likes Given
   133

   Default Re: Viwango vya mishahara tanzania

   Quote By Mambo Jambo View Post
   Msaidie jamaa basi, ukiona mtu amepost swali hapa jua anahitaji msaada.
   Mkubwa usiweke sana na mawazo ya kuajiriwa.....make money, then ukirudi bongo ujiajiri.......kuwa mbunifu banaa!!!!
   Kwa Serikalini mkubwa sio siri kwa mwenye degree mishahara inaanzia laki 3.....ila kwa sekta binafsi nimakubaliano kati yako na mwajiri na ndo maana ktk interview kuna swali linalohusiana na mshahara.........lengo ni kukukamua,ukisema unataka laki 1 basi mkubwa itakua imekula kwako.
   Lakini kwa nn umeamua kurudi bongo?umekumbuka vitumbua nn!!!ila usije kujuta.

   Mchana mwema,
   Made

  17. Mapinduzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd August 2008
   Posts : 2,429
   Rep Power : 1126
   Likes Received
   20
   Likes Given
   0

   Default Re: Viwango vya mishahara tanzania

   Quote By Dark City View Post
   Hiyo nimesikia leo. Hizo mbona ni mshahara wa raisi kabla ya kuongeza per diems and mabomu mengine?

   .......

   Kama ulikuwa hujaisikia, basi habari ndio hiyo. Watu wanachukua hadi $ 8000 kwenye private sector! Sijui nani mbayuwayu.
   Usiogope kufa, ogopa kukosa pesa. Kilimo kwanza

  18. Mambo Jambo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th July 2008
   Posts : 1,058
   Rep Power : 858
   Likes Received
   26
   Likes Given
   3

   Default Re: Viwango vya mishahara tanzania

   Quote By Ama View Post
   Kama ulikuwa hujaisikia, basi habari ndio hiyo. Watu wanachukua hadi $ 8000 kwenye private sector! Sijui nani mbayuwayu.
   Asante mkuu kumbe habari nilizonazo ni sahihi. sema atahitaji connection bongo inawenyewe....kaka initial zako za majina ni zipi?..
   A wise man once told me, luck isn't some mystical energy that dances around the universe randomly bestowing people with safisfaction and joy..you creat your own luck.

  19. Dark City's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th October 2008
   Location : Roaming
   Posts : 15,135
   Rep Power : 272909751
   Likes Received
   10530
   Likes Given
   17059

   Default Re: Viwango vya mishahara tanzania

   Quote By Ama View Post
   Kama ulikuwa hujaisikia, basi habari ndio hiyo. Watu wanachukua hadi $ 8000 kwenye private sector! Sijui nani mbayuwayu.
   Sijakataa ila umeona surnames za hao unawaongelea? Unaweza kukuta wengine wanalipwa wao na majina yao. Sasa sisi tuliotoka kijijini peke yetu inakuwa hivyo?
   "WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGE....LOOKING BEYOND THE 31 OKTOBA 2010 LANDMARK"

   Retired Maj Gen DC (1947)...[email protected]

  20. Bado Niponipo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th August 2008
   Posts : 664
   Rep Power : 774
   Likes Received
   138
   Likes Given
   21

   Default Re: Viwango vya mishahara tanzania

   wakuu majibu yenu itakuwa ni msaada mkubwa sana,..au wote humu janvini ni KCC.

  Page 1 of 2 12 LastLast

  Similar Topics

  1. Shirika la VIWANGO kuwapima watu wa Tanzania.
   By Nzowa Godat in forum JF Chit-Chat
   Replies: 4
   Last Post: 11th November 2011, 13:04
  2. Tanzania yapaa viwango vya FIFA
   By kilimasera in forum Entertainment
   Replies: 2
   Last Post: 17th December 2010, 16:15
  3. Tanzania yapaa viwango vya FIFA
   By kilimasera in forum Sports
   Replies: 2
   Last Post: 17th December 2010, 16:15
  4. Viwango vya uchafuzi wa anga Tanzania
   By Kibunango in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 0
   Last Post: 7th February 2008, 01:54

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...