Wachungaji wa KKKT jimbo la Iringa wamwandikia barua askofu Mkuu wa Kanisa la KKKT na kopi kuipeleka kwa JK wakimlalamikia Bishop Mdegela.
Soma attachment.
Wachungaji wa KKKT jimbo la Iringa wamwandikia barua askofu Mkuu wa Kanisa la KKKT na kopi kuipeleka kwa JK wakimlalamikia Bishop Mdegela.
Soma attachment.
huyu Mchunga Kondoo wa Bwana ni kweli ameamua kuwatafuna kondoo aliokabidhiwa kuwangunga???
huyu Mchunga Kondoo wa Bwana ni kweli ameamua kuwatafuna kondoo aliokabidhiwa kuwachunga???
Hivi huko kkkt hawajitoshelezi kiuongozi na kiutatuzi wa masuala yao ya kikanisa na ya kiroho mpaka wampelekee kopi JK? Mbona mambo ya kanisani humalizwa Kanisani? Inakuwaje wanafikia hatua ya kupeleka kopi mpaka kwa Rais? Wanataka afahamu tu au awatatulie mambo ya kiroho? Mi nadhani kuna shida humo kanisani!
Last edited by Babuyao; 18th June 2010 at 10:58.
God writes straight with crooked lines.
ooooh gosh mtunza kondoo wa bwana anakula mabinti tena wadogo kabisa lol, Dunia yetu hii sina la kusema kwa kweli
Hawa maaskofu wa KKKT si wanaruhusiwa kuoa hawa....... Yaani ina maana mke wake hamtoshelezi vizuri......
.....ASALAAAALEEEEE!!!!!!! DUNIA IMEKWISHA, MWENYEZI MUNGU INABIDI ALIANGAMIZE TAIFA HILI KWA KUKOSA HAIBA YA KUMWOGOPA MUNGU KAMA ALIVYOFANYA KWA SODOMA NA GOMORA......
Mi simo katika hilo ..........................
inaelekea imani yako na uwezo wa kulikabili jambo unahitilafu. kama nia yako ni kutengeneza kwanini usipeleke jambo moja kwa moja kwa wanaohusika? kuliweka kwenye forum jambo kama hili sioni kama ni ustaarabu wa karne hii hata kama shutuma ni za kweli. wewe mwenyewe usiseme uchafu wako useme wa wengine? wanaume wote wahuni tu. unawajua vzr hao uliowa elekezea malalamiko?
Mh Mbona huyu alianza toka zamani sana? Ina maana hakuwa amegundulika na watu wake??
LOVE is a flower, and YOU,its only seed
Mjukuu Mtiifu, 2012.
distraction, distraction, distraction, distraction, distraction, distraction, distraction.
Propagandists at their work trying to find final shots. This will not work this time, when people are very poor, they live for no or one meal a day, they sleep on animal skins. They do this for KKKT because Malasusa declined to take a Tsh 10M to assist the same people who are crippling Tanzania for their greedy mentality.
Jamani kama JF hatukubaliana na Udini, tusiwe amplifier za hao wadini... ningeshauri kuzifunga thread zote za mambo ya dini... tuachie vyombo vingine haya mawazo yangu tu.
Really Hofstede ? Mbona huyo huyo ni rafiki mkubwa sana wa mafisadi, hasa yule mstaafu wa jeshi, ambaye inasemekana dili la meremeta na mengine anahusishwa ? Na kama ishu ni kumega, ndo unapeleka mashtaka kwa JK na Malasusa ??
hapa si mahala pa kueleza haya
Mimi naona kama majungu vile ya kugombea vyeo makazini. Sikujua kuwa mashirika ya kidini yana mambo haya pia. In general ni majungu mungu tuokoe
I am not the same person today as I was 10, 20, or 30 years ago, for I have welcomed life's changes on my heart, face, and mind.
Hili sakata limeishia wapi?
John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"
John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."
sasa JK kapelekewa copy afanyeje???teh teh ..
______________________________ _
Niko tayari kufa huku nimesimama kuliko kuishi huku nimepiga magoti....
Follow Us Here