dear mama,
nakupenda sana sans,ahsante kwa kunilea ahsante kunilipia ada ya shule
ahasante kwa kuhangaika hadi nikapata ajira,ahsante mama kwa malezi bora,
mama kama si wewe ningekuwa wapi,.....mama uliuza pete ya ndoa niende
form 5 na 6, nim wewe uliejua uchungu wa shule na mwana...
kwa watu wote wanaopenda na kuwathamini mama zao naomba leo siku ya mama
dunian ,.chukua ata dk 30 kuongea na mama yako mshukuru kwa kukufikisha hapo ulipo
mshukuru kwa kuacha kutoa mimba usingekuwa hhapo,..ni neema na mpango wa Mungu
kuwa hapo ulipo.......
Kwa wale mama zetu waliotutangulia mbele ya haki ;usuache kumwomba mungu amlinde
huko aliko ,mwambie mama bado tunakupenda tuna kukumbuka upendo wako usheshi wakoni wewe mama ulietufikisha hapa tulipo....
UNGEIJUA WAPI JF Kama mama angetoa mimba yako??upendo wa mama auhesabiki
ukiwa kama mtoto uliezaliwa na mama naomba siku ya leo chukua rasmi kuanza kumjali mama yako;wapo wakurugennzi wakuu wa mikoa,makatibu ambao wako mijini wametupa mama zao huko vijijini,na akuna anaewajali.....sahau chukulia n pepo alikupitia..anza kumkumbuka mama yako;tuma mahitaji yake..chukua muda hata kumleata apo ulipo si lazima kila siku anaitaj hela yako upendo wa kweli ndio uhai wake......
Mlio nje;kumbuken mama zetu ndio chanzo cha sisi kuwa haapa tulipo
Nawapenda mama wote........

Reply With Quote
**...ILi kubashiri Mafanikio yako ya kesho, tathmini Akili, Nguvu, fikra na Ubora wa Mipango yako ya leo...**




Follow Us Here