Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mh lukuvi hii guest bubu tumeichoka;manispaa wanakuzalilisha

    Report Post
    Results 1 to 3 of 3
    1. #1
      Pdidy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd November 2007
      Posts : 12,283
      Rep Power : 3443
      Likes Received
      1322
      Likes Given
      855

      Default Mh lukuvi hii guest bubu tumeichoka;manispaa wanakuzalilisha

      Mh lukuvi sisi ni wanatanzania tunaoishi hapa kwenye roundabout cha game
      kuna bar iko pembeni ila ndani ya hiyo bar kuna guest ambayo usiku na mchana
      inatusumbua watu kwa kupiga kelele za mapenzi mpaka majiran tukaanza kuhisiana vobaya jamani hamna huruma kwa wenzio kumbe ni kelele zinatoka ndani ya hiyo bar wamejiwekea guest ambayo si halali na aina kibali

      tuliwah kulalamika wakaja manispaa wakachukua hela zao wakaondoka
      sasa wameanza kutupa condom barabarani kama wengine atujui game ilipoo
      hili ni aibu kwa watoto wetu
      tunaomba msaada kama unaweza fungia hii bar ama kukubali kuachana na hii guest najua na tunaona kuna wana filamu na wakubwa wengi wanakuja wakijifanya kunywa kumbe wanaelekea ****** na kupewa rum husika..hapo muda unakuta meza husika wote wameenda ****** bila kurudi kuuliz jaman kuna choo cha masaa mawili wanakwambia wako kwenye folen

      babu kubwa tunaomba ama waondoe hii guest yao ama waongoze vyoo kusiwe na folen hivyo

      mh lkuvi sauti hii inatoka kwa baba mama watoto waakaao hapa pembeni na game...tunatumaini na wewe huochukua mlungula kama jiji wanavyokuaibisha

      ahasante kwa msaad a wako

    2. Miaka 50

    3. Wun
      #2
      Wun's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th June 2008
      Location : juu ya mpapai
      Posts : 279
      Rep Power : 613
      Likes Received
      40
      Likes Given
      46

      Default Re: Mh lukuvi hii guest bubu tumeichoka;manispaa wanakuzalilisha

      KUMBE tupo katibu mkuu mtaa umechafuka
      Good ideas are not adopted automatically. They must be driven into practice with courageous patience.

    4. #3
      N-handsome's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd January 2008
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 1,859
      Rep Power : 950
      Likes Received
      91
      Likes Given
      478

      Default Re: Mh lukuvi hii guest bubu tumeichoka;manispaa wanakuzalilisha

      Ha ha ha ha ha ha ha ha tupunguze kitchen part, mabint wanafundishwa unyago theoretically sasa wana practice kaaaaaaaaaaaaaaaaaaz kwey kwey

    Similar Topics

    1. Daladala usiku zawa guest bubu
      By Candid Scope in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 7
      Last Post: 24th December 2011, 13:51
    2. Umeme: January awa Bubu.
      By AK-47 in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 3
      Last Post: 1st March 2011, 15:50
    3. Bubu,Kipofu,Kiziwi
      By Washawasha in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
      Replies: 5
      Last Post: 17th February 2011, 13:38
    4. Tetesi: kondakta bubu
      By Ntemi in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
      Replies: 3
      Last Post: 21st December 2010, 18:59
    5. Website BUBU ya Serikali?
      By Shy in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 42
      Last Post: 15th February 2008, 10:09

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...