JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: walioitwa kwenye usaili pccb (takukuru)

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 39
  1. illegal migrant's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th October 2013
   Posts : 497
   Rep Power : 509
   Likes Received
   191
   Likes Given
   7

   Default walioitwa kwenye usaili pccb (takukuru)

   hatimaye walioitwa kwenye usaili pccb majina yatoka investigation officers, assistant investigation officers, office assistant, drivers, human resources officers, procurement officers, personal assistant nk

   cheki kwenye website (advert) nishindwa kuweka link

  2. alma gemela's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2013
   Location : dar es salaam
   Posts : 795
   Rep Power : 603
   Likes Received
   218
   Likes Given
   85

   Default Re: walioitwa kwenye usaili pccb (takukuru)

   Ndio web gani hiyo mkuu

  3. twafa-kali's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 15th December 2012
   Posts : 140
   Rep Power : 482
   Likes Received
   46
   Likes Given
   31

   Default Re: walioitwa kwenye usaili pccb (takukuru)

   acha kudanganya watu.,labda hayo majina yapo kwny website yako..,lakn kwny website ya pccb ambayo ni PREVENTION AND COMBATING OF CORRUPTION BUREAU which is an official website for pccb hakuna kitu kama hicho

  4. stanlthecreator's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th January 2014
   Location : DAR ES SALAAM
   Posts : 1,949
   Rep Power : 787
   Likes Received
   640
   Likes Given
   13

   Default

   Quote By twafa-kali View Post
   acha kudanganya watu.,labda hayo majina yapo kwny website yako..,lakn kwny website ya pccb ambayo ni PREVENTION AND COMBATING OF CORRUPTION BUREAU which is an official website for pccb hakuna kitu kama hicho
   Mkuu jamaa anaongea kweli mi mwenyewe nimecheki yametoka yote bonyeza hapo walipoandika WELCOME TO OUR AMPLITUTE TEST

  5. jerrytz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th December 2012
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 2,134
   Rep Power : 880
   Likes Received
   556
   Likes Given
   2146

   Default Re: walioitwa kwenye usaili pccb (takukuru)

   Ni kweli yametoka
   “The illiterate of the 21st century will not be those who cannot read and write, but those who cannot learn, unlearn, and relearn.” ~ Alvin Toffler

  6. jerrytz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th December 2012
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 2,134
   Rep Power : 880
   Likes Received
   556
   Likes Given
   2146

   Default Re: walioitwa kwenye usaili pccb (takukuru)

   Quote By twafa-kali View Post
   acha kudanganya watu.,labda hayo majina yapo kwny website yako..,lakn kwny website ya pccb ambayo ni PREVENTION AND COMBATING OF CORRUPTION BUREAU which is an official website for pccb hakuna kitu kama hicho
   Ni kweli yametoka na tarehe ya usahili pia.

   Mkuu hizo website huwa hawazi-update so ukitegemea upate habari kwenye hizo website za serikali utasubiri sana....
   “The illiterate of the 21st century will not be those who cannot read and write, but those who cannot learn, unlearn, and relearn.” ~ Alvin Toffler

  7. illegal migrant's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th October 2013
   Posts : 497
   Rep Power : 509
   Likes Received
   191
   Likes Given
   7

   Default Re: walioitwa kwenye usaili pccb (takukuru)

   ngoja niweke na link kabisa nimegundua kuna hawa wanaitwa BBC yaani born before computers washaanza kutuita waongo

   INVITATION FOR APTITUDE TEST

  8. illegal migrant's Avatar

  9. illegal migrant's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th October 2013
   Posts : 497
   Rep Power : 509
   Likes Received
   191
   Likes Given
   7

   Default Re: walioitwa kwenye usaili pccb (takukuru)

   nimekuwekea link tatizo lako hujui computer halafu unaita watu waongo

  10. Albosignathus's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th April 2013
   Posts : 4,821
   Rep Power : 2157872
   Likes Received
   785
   Likes Given
   0

   Default Re: walioitwa kwenye usaili pccb (takukuru)

   Hao pccb mbona hata kazi yao siioni? hosp,mahakamani,polisi,tanesco ,halmashauri,wizarani rushwa kwa kwenda mbele au wanachukuliwa ili wakabariki rushwa zaidi na wao wakila rushwa kuliko wote.

  11. alma gemela's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2013
   Location : dar es salaam
   Posts : 795
   Rep Power : 603
   Likes Received
   218
   Likes Given
   85

   Default Re: walioitwa kwenye usaili pccb (takukuru)

   Quote By Albosignathus View Post
   Hao pccb mbona hata kazi yao siioni? hosp,mahakamani,polisi,tanesco ,halmashauri,wizarani rushwa kwa kwenda mbele au wanachukuliwa ili wakabariki rushwa zaidi na wao wakila rushwa kuliko wote.
   So what

   Just for love

  12. mwezeshaji's Avatar
   Member Array
   Join Date : 27th March 2013
   Posts : 68
   Rep Power : 453
   Likes Received
   11
   Likes Given
   1

   Default

   Quote By illegal migrant View Post
   ngoja niweke na link kabisa nimegundua kuna hawa wanaitwa BBC yaani born before computers washaanza kutuita waongo

   INVITATION FOR APTITUDE TEST
   Teh teh.BBC mbona inamana nyngi sana mkuu

  13. pinno's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th January 2013
   Posts : 655
   Rep Power : 580
   Likes Received
   244
   Likes Given
   846

   Default Re: walioitwa kwenye usaili pccb (takukuru)

   Haha haha haha mshiriki namba 1266 kipengele cha office attendand.(2.2) anaitwa Mburahat primary school.
   Hee na shule nayo iliapply kaz au??

  14. vina utata's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 5th January 2014
   Posts : 2
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: walioitwa kwenye usaili pccb (takukuru)

   Dah..wamenipiga chiniii

  15. Lugeye's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th April 2011
   Posts : 452
   Rep Power : 631
   Likes Received
   84
   Likes Given
   108

   Default Re: walioitwa kwenye usaili pccb (takukuru)

   mimi nili apply assitant investagators,lkn nimepelekwa security guards,nimeamua tu kuendelea tu kusoma na degree yangu

  16. Marire's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st May 2012
   Posts : 11,199
   Rep Power : 191463595
   Likes Received
   3566
   Likes Given
   1539

   Default Re: walioitwa kwenye usaili pccb (takukuru)

   PCCB nao wanakula rushwa?

  17. keizerjohn's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 12th May 2013
   Posts : 114
   Rep Power : 455
   Likes Received
   12
   Likes Given
   5

   Default

   Quote By Albosignathus View Post
   Hao pccb mbona hata kazi yao siioni? hosp,mahakamani,polisi,tanesco ,halmashauri,wizarani rushwa kwa kwenda mbele au wanachukuliwa ili wakabariki rushwa zaidi na wao wakila rushwa kuliko wote.
   Acha hasira hata kama hujawa shortlisted, jaribu siku nyingine

  18. Kana-Ka-Nsungu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th October 2007
   Location : 10 Dawning Street
   Posts : 2,291
   Rep Power : 17955067
   Likes Received
   248
   Likes Given
   124

   Default Re: walioitwa kwenye usaili pccb (takukuru)

   Watanzania bado sana, this is supposed to be very confidencial. What if nina kazi sehemu nataka nichomoke kimyakimya nikipiga interview nikipata ndo nimjulishe mwajiri wangu? Can you imagine ajue kuwa nina intention ya kuondoka then nipigwe chini kwenye interview- si trust inaweza kuvunjika? Si atajua niko mguu nje mguu ndani siku zote? This is a serious breach of confidentiality.
   If someone knocks you down- its their faulty, but if you stay down its your faulty.

  19. illegal migrant's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th October 2013
   Posts : 497
   Rep Power : 509
   Likes Received
   191
   Likes Given
   7

   Default

   [QUOTE=Kana-Ka-Nsungu;8386921]Watanzania bado sana, this is supposed to be very confidencial. What if nina kazi sehemu nataka nichomoke kimyakimya nikipiga interview nikipata ndo nimjulishe mwajiri wangu? Can you imagine ajue kuwa nina intention ya kuondoka then nipigwe chini kwenye interview- si trust inaweza kuvunjika? Si atajua niko mguu nje mguu ndani siku zote? This is a serious breach of confidentiality

   ungeandika kiswahili tungeelewa zaidi, hii lugha ya malkia, niko jamaa hapa yeye alifanikiwa kusoma zile shule za akademia anasema kingereza chako kimevunjika

  20. Kana-Ka-Nsungu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th October 2007
   Location : 10 Dawning Street
   Posts : 2,291
   Rep Power : 17955067
   Likes Received
   248
   Likes Given
   124

   Default Re: walioitwa kwenye usaili pccb (takukuru)

   [QUOTE=illegal migrant;8388498]
   Quote By Kana-Ka-Nsungu View Post
   niko jamaa hapa yeye alifanikiwa kusoma zile shule za akademia anasema kingereza chako kimevunjika
   Mwambie akuambie nilipovunja, haitakua vibaya akinipa shule hapa na usidhani kwenda shule za academy ndo kujua kiingereza, mi nimesomea kijijini na napandisha kama kawa.
   If someone knocks you down- its their faulty, but if you stay down its your faulty.

  Page 1 of 2 12 LastLast

  Similar Topics

  1. Walioitwa kwenye usaili chuo kikuu cha SUA
   By achengula in forum Nafasi za Kazi na Tenda
   Replies: 0
   Last Post: 11th December 2013, 22:33
  2. Kuitwa kwenye usaili PCCB
   By ankol in forum Nafasi za Kazi na Tenda
   Replies: 16
   Last Post: 19th November 2013, 16:02
  3. Walioitwa kwenye usaili wizara ya afya
   By dad24 in forum Nafasi za Kazi na Tenda
   Replies: 0
   Last Post: 6th August 2013, 14:09
  4. Replies: 3
   Last Post: 22nd November 2012, 20:14
  5. Msaada wa kuwekewa majina ya walioitwa kwenye usaili wa afisa tarafa
   By pettymarcel in forum Nafasi za Kazi na Tenda
   Replies: 7
   Last Post: 20th September 2012, 17:26

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...