Tanzia - JamiiForums |The Home of Great Thinkers

Go Back   JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Public Forums > Habari na Hoja mchanganyiko


Habari na Hoja mchanganyiko Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Usisite, liweke hapa uwahabarishe wenzako. Hoja binafsi pia ziwekwe hapa.


Closed Thread
 
LinkBack Thread Tools Rate Thread Display Modes
Old 28th September 2007, 08:10 AM   #1
Tanzia
Msanii Msanii is offline 28th September 2007, 08:10 AM

Ndugu zangu wana JF

Kwa masikitiko makubwa natangaza kifo cha jabali na hazina ya Taifa katika sanaa na utamaduni Marehemu Godwini Kaduma.

Marehemu alikuwa ndiye mkuu wa kwanza wa chuo cha sanaa Bagamoyo, ambapo pia ndiye mwalimu wa magwiji wengi wa sanaa za maonesho akiwemo nguli Prof. Amandima Lihamba. Amewahi kuwa Mkurugenzi wa Utamaduni miaka ya themanini. Ndiye aliyeandaa na kuratibu mswada wa uanzishwaji wa Mfuko wa Utamaduni Tanzania ambapo wadau ktk sanaa zote wanapata mikopo huru (Grants) ktk kuboresha uzalishaji na maendeleo ya sanaa zao. Pia mpaka kifo kinamchukua alikuwa mshauri wa kiufundi ktk kuanzisha Mfuko wa Utamaduni huko Zimbabwe, Ndiye aliyeweka mchakato wa kuanzishwa Tanzania Theatre Centre. Amewahi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Sanaa la Taifa. Shujaa huyu amefia ktk uwanja wa vita kwani mpaka anafariki alikuwa mwenyekiti wa Bodi ya COSOTA (Copyright Society of Tanzania) since 2005. iliyoanzishwa kwa mujibu wa sheria ili kulinda na kuhifadhi haki na maslahi ya wasanii wa kada zote ikiwemo ukusanyaji wa mirabaha.

Ingawa alikuwa binafsi ni kiongozi na mwanaharakati wa sanaa pia alikuwa ni msanii mahiri wa maigizo. Ana mengi aliyowahi kuyafanya nadhani baadhi ya wanaJF wanazo inputs zingine, naombwa wazipost.

Amefariki Alhamisi tarehe 27/09/2007 saa saba mchana ktk wodi ya SewaHaji namba 18. Amefariki baada ya shambulizi la pili la ugonjwa wa kupooza ambao alikuwa anatibiwa hapo hospitali. Ameacha mke na watoto. Amefariki akiwa na umri usiozidi miaka 70na kitu.

Habari hizi nimepata kwa wadau walioko Tanzania na zimethibitishwa na Mke wa Marehemu.

Poleni watanzania na wapenda sanaa/ utamaduni.
__________________
......2010 ndo hii lakini SINA IMANI kama utafanya maamuzi sahihi OKTOBA.... - Msanii

 
Msanii's Avatar
Msanii
JF Premium Member
Points: 293,943, Level: 100 Points: 293,943, Level: 100 Points: 293,943, Level: 100
Activity: 9% Activity: 9% Activity: 9%
Join Date: Wed Jul 2007
Posts: 3,146
Thanks: 337
Thanked 186 Times in 117 Posts
Views: 679
  #2  
Old 28th September 2007, 07:17 PM
Mzalendohalisi Mzalendohalisi is offline
Mzalendohalisi has no status.
JF Premium Member
Points: 430,274, Level: 100 Points: 430,274, Level: 100 Points: 430,274, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Sun Jun 2007
Posts: 3,708
Thanks: 36
Thanked 12 Times in 12 Posts
Rep Power: 30
Mzalendohalisi will become famous soon enoughMzalendohalisi will become famous soon enoughMzalendohalisi will become famous soon enoughMzalendohalisi will become famous soon enoughMzalendohalisi will become famous soon enoughMzalendohalisi will become famous soon enoughMzalendohalisi will become famous soon enoughMzalendohalisi will become famous soon enough
Default

Mungu ailaze pema peponi mzee wetu.. Mtanzania mzalendo!
__________________
Uadilifu Kiwe Kigezo Muhimu Zaidi Kuwa Kiongozi Tanzania Kwa Sasa!
  #3  
Old 28th September 2007, 07:55 PM
Mwawado's Avatar
Mwawado Mwawado is offline
Mwawado Mossad Sensei
JF Senior Expert Member
Points: 220,605, Level: 100 Points: 220,605, Level: 100 Points: 220,605, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Thu Nov 2006
Location: Tulsa, Oklahoma/MFA-TZ
Posts: 1,075
Thanks: 51
Thanked 73 Times in 33 Posts
Rep Power: 26
Mwawado will become famous soon enoughMwawado will become famous soon enoughMwawado will become famous soon enoughMwawado will become famous soon enoughMwawado will become famous soon enoughMwawado will become famous soon enoughMwawado will become famous soon enoughMwawado will become famous soon enough
Default

Mwenyezi Mungu amlaze marehemu mahali pema peponi,na Faraja ziende kwa Mke ,Watoto na Ndugu wa karibu wa Marehemu Kaduma.Atakumbukwa kwa Uzalendo wake na mapenzi ya Utamaduni wa Mtanzania. AMEN!!!.
__________________
Its not enough to do good if you can do better.
  #4  
Old 28th September 2007, 09:07 PM
Mzee Mwanakijiji's Avatar
Mzee Mwanakijiji Mzee Mwanakijiji is online now
Mzee Mwanakijiji anawashangaa wanaoitetea sheria mbovu
JF Premium Member
Points: 12,984,681, Level: 100 Points: 12,984,681, Level: 100 Points: 12,984,681, Level: 100
Activity: 95% Activity: 95% Activity: 95%
 
Join Date: Fri Mar 2006
Location: Kijijini
Posts: 18,468
Thanks: 8,493
Thanked 4,669 Times in 1,310 Posts
Rep Power: 44
Mzee Mwanakijiji is on a distinguished roadMzee Mwanakijiji is on a distinguished road
Send a message via MSN to Mzee Mwanakijiji Send a message via Skype™ to Mzee Mwanakijiji
Default

Apumzike kwa Amani.. amina.
__________________
Nchi hii imewahi kung' oa masultani wa kila aina. Tukianza kuvumilia masultani wakuchaguliwa tutapanda mbegu ya masultani wa kuzaliwa. - Nyerere katika "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania"
  #5  
Old 28th September 2007, 09:09 PM
Steve Dii's Avatar
Steve Dii Steve Dii is offline
Steve Dii got far too many trumpcards..!!
JF Premium Member
Points: 1,712,998, Level: 100 Points: 1,712,998, Level: 100 Points: 1,712,998, Level: 100
Activity: 14% Activity: 14% Activity: 14%
 
Join Date: Mon Jun 2007
Location: Kihesa - Iringa
Posts: 4,997
Thanks: 662
Thanked 391 Times in 203 Posts
Rep Power: 152
Steve Dii is a splendid one to beholdSteve Dii is a splendid one to beholdSteve Dii is a splendid one to beholdSteve Dii is a splendid one to beholdSteve Dii is a splendid one to beholdSteve Dii is a splendid one to beholdSteve Dii is a splendid one to beholdSteve Dii is a splendid one to beholdSteve Dii is a splendid one to beholdSteve Dii is a splendid one to beholdSteve Dii is a splendid one to behold
Send a message via ICQ to Steve Dii Send a message via AIM to Steve Dii Send a message via MSN to Steve Dii Send a message via Yahoo to Steve Dii Send a message via Skype™ to Steve Dii
Default

Naomba Mwenyezi Mungu Amlaze Pahala Pema Peponi. Amina.

SteveD.
__________________

Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09.

Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09.


  #6  
Old 28th September 2007, 09:19 PM
Msanii's Avatar
Msanii Msanii is offline
Msanii is WISE
JF Premium Member
Points: 293,943, Level: 100 Points: 293,943, Level: 100 Points: 293,943, Level: 100
Activity: 9% Activity: 9% Activity: 9%
 
Join Date: Wed Jul 2007
Posts: 3,146
Thanks: 337
Thanked 186 Times in 117 Posts
Rep Power: 29
Msanii will become famous soon enoughMsanii will become famous soon enoughMsanii will become famous soon enoughMsanii will become famous soon enoughMsanii will become famous soon enoughMsanii will become famous soon enoughMsanii will become famous soon enoughMsanii will become famous soon enough
Default

Nashukuru kwa pole zenu naninaamin kuwa Mungu atawafariji wafiwa na kuwapa subira.

Bado sijarejea nyumbani ila ninapata updates kwamba ameagwa leo saa sita muhimbili kisha akaenda kuagwa saa kumi bagamoyo alipokuwa anaishi kisha atasafirishwa kwa maziko Iringa.

Nimekutana na wadau waliowahi kufanya nae kazi wakaniambia kuwa ndiye aliyeanzisha siku ya utamaduni tanzania akiwa mkuregenzi wa utamaduni ila alipostaafu waliofuatia hadi leo wameiboronga na kuiharibu kabisa.

Umri wangu ni mdogo ila kila nilipofanya kazi kwa kushirikiana naye nilikuwa naona mabadiliko ya kifikra na kukua kisaikolojia. He was verry good story-teller.

Enewei jabali limepuruchuka ila tutaudumisha utamaduni wetu huku tukiisafisha siasa ya nchi yetu hatimaye wajukuu na vitukuu wakumnbuke kuwa tulikuwepo kwa ajili yao....
__________________
......2010 ndo hii lakini SINA IMANI kama utafanya maamuzi sahihi OKTOBA.... - Msanii
Closed Thread

Bookmarks

Tags
tanzia


Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
 
Thread Tools
Display Modes Rate This Thread
Rate This Thread:

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are Off
Pingbacks are Off
Refbacks are On


Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
TANZIA: Said Mwamba 'Kizota' hatunaye Invisible Sports & Entertainment Forum 4 15th February 2007 10:21 AM

Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!


All times are GMT +3. The time now is 03:41 AM.

Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com