JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Ajali mbaya Handeni, basi la Burudani limeua 12

  Report Post
  Page 2 of 7 FirstFirst 1234 ... LastLast
  Results 21 to 40 of 124
  1. Ambiente Guru's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st May 2012
   Posts : 1,605
   Rep Power : 120378898
   Likes Received
   366
   Likes Given
   234

   Default Ajali mbaya Handeni, basi la Burudani limeua 12

   Inasemekana lilikuwa linatoka Korogwe likielekea Dar e Salaam.

   Limeanguka katika kijiji cha Taula Handeni.

   Limeua abiria 12 hapo hapo na majeruhi ni wengi kwa mujibu wa Breaking News ya Radio One.

   Poleni sana mliopoteza wapendwa wenu, na majeruhi ugueni pole.


   Picha:Vijimambo
   Last edited by Ambiente Guru; 12th December 2013 at 16:18.


  2. kabanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th December 2011
   Location : Kisarawe
   Posts : 22,340
   Rep Power : 429501404
   Likes Received
   7346
   Likes Given
   1519

   Default

   Quote By obama wa bongo View Post
   asante kwa taarifa ila bado picha tuone
   RIP MAREHEMU WOTE
   nilitamani nipige picha lakini mazingira kwangu hayakuwa mazuri...

  3. hondolla's Avatar
   Member Array
   Join Date : 27th March 2013
   Posts : 30
   Rep Power : 446
   Likes Received
   5
   Likes Given
   1

   Default

   Quote By Manosa View Post
   tena,duh jamaa anampango wakuleta Yutong nini?Poleni sana
   asee kumbe inaeza kua ni sadakaaeee??

  4. kabanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th December 2011
   Location : Kisarawe
   Posts : 22,340
   Rep Power : 429501404
   Likes Received
   7346
   Likes Given
   1519

   Default

   Quote By TIQO View Post
   Hili bus huwa linatembea speed ya kawaida sijui nn imelisibu.
   jamaa wanasema linajaza sana abiria...

  5. charminglady's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th April 2012
   Location : Ikungulyabhashi
   Posts : 17,067
   Rep Power : 429500331
   Likes Received
   10899
   Likes Given
   12662

   Default Re: Ajali mbaya ya basi kwaragulu

   Dah... So sad 12 passenger??? Ooh Lord....

  6. Kidogo chetu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2009
   Location : DAR ES SALAAM
   Posts : 896
   Rep Power : 793
   Likes Received
   139
   Likes Given
   207

   Default re: Basi la Burudani lapata ajali Kabuku, zaidi ya abiria 22 wadaiwa kupoteza maisha!

   Mungu awalze marehemu mahali pema


  7. MZAWATA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th February 2011
   Posts : 556
   Rep Power : 662
   Likes Received
   91
   Likes Given
   1

   Default re: Basi la Burudani lapata ajali Kabuku, zaidi ya abiria 22 wadaiwa kupoteza maisha!

   Allah awalaze mahala panapostahili marehem wote na awape nafuu ya mapema wale wote waliojeruhiwa

  8. kabanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th December 2011
   Location : Kisarawe
   Posts : 22,340
   Rep Power : 429501404
   Likes Received
   7346
   Likes Given
   1519

   Default

   Quote By obama wa bongo View Post
   kabanga asante kwa taarifa picha bado muhimu siku hapa jf
   kesho nitasimama nipige kapicha mkuu...

  9. Mkempia's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th March 2013
   Posts : 1,061
   Rep Power : 655
   Likes Received
   358
   Likes Given
   70

   Default re: Basi la Burudani lapata ajali Kabuku, zaidi ya abiria 22 wadaiwa kupoteza maisha!

   Sio uongo hili bus linajaza sana abiria kupita uwezo wake sijui ni unafuu wa nauli au nini??

  10. General8's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th July 2013
   Posts : 888
   Rep Power : 24401006
   Likes Received
   468
   Likes Given
   377

   Default Re: Ajali mbaya ya basi kwaragulu

   du polen wafiwa wote na mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi, Amina.

  11. kabanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th December 2011
   Location : Kisarawe
   Posts : 22,340
   Rep Power : 429501404
   Likes Received
   7346
   Likes Given
   1519

   Default

   Quote By charminglady View Post
   Dah... So sad 12 passenger??? Ooh Lord....
   yaweza kuwa wengi maana kuna wengune wamelaliwa...

  12. sungura1980's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th May 2013
   Posts : 1,911
   Rep Power : 46803499
   Likes Received
   1179
   Likes Given
   3507

   Default re: Basi la Burudani lapata ajali Kabuku, zaidi ya abiria 22 wadaiwa kupoteza maisha!

   Duhhh,so sad!Jamani na kipindi hiki cha kukaribia sikukuu,madereva kuweni makini sana barabarani na wamiliki wa vyombo hivyo vya usafiri hakikisheni vyombo vyenu vinapata matengenezo ya mara kwa mara,walinzi wa usalama(askari) simamieni sheria za usalama barabarani!

  13. Kiteitei's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th January 2009
   Location : hapa na pale
   Posts : 1,090
   Rep Power : 877
   Likes Received
   534
   Likes Given
   21

   Default re: Basi la Burudani lapata ajali Kabuku, zaidi ya abiria 22 wadaiwa kupoteza maisha!

   Soo sad! Nimepita pale hali inatisha!!inasemekana kulikuwa na ukungu na kuna lorry liligonga bus ubavuni ndio likakosa mwelekeo likaenda bondeni!! Nimeshindwa kabisa kuchukua picha

  14. Mkempia's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th March 2013
   Posts : 1,061
   Rep Power : 655
   Likes Received
   358
   Likes Given
   70

   Default Re: Ajali mbaya ya basi kwaragulu

   Wee mpenda picha huwa unaona ufahahari gani kuomba picha ambazo wakati mwingine zaeza kuwa ni za marehemu au mazingira ya tukio hayastahili kuchukua picha?? ili iweje?? hebu tupe majibu huwa zinakungezeanini labda ili tuongeze bidii ya kutafuta picha hata kwa tukio usilositahili kuona??

  15. mnyepe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st December 2008
   Posts : 1,827
   Rep Power : 1030
   Likes Received
   594
   Likes Given
   583

   Default Re: Basi la Burudani lapata ajali Kabuku, zaidi ya abiria 22 wadaiwa kupoteza maisha!

   Quote By TIQO View Post
   Hili bus huwa linatembea speed ya kawaida sijui nn imelisibu.
   We hulijui vizuri hilo basi

  16. gfsonwin's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2012
   Posts : 15,692
   Rep Power : 263553921
   Likes Received
   15251
   Likes Given
   20000

   Default Re: Basi la Burudani lapata ajali Kabuku, zaidi ya abiria 22 wadaiwa kupoteza maisha!

   ila KABUKU NA MBWEWE ni maeneo ya ajali sana kwa hii njia ya kwenda kaskazini,

   kinachonishangaza siku ya uhuru basi la kampuni hii hii lilipata ajali maeneo hayo hayo sasa je kuna nini hapo??
   je madereva wake ni wagen kiasi kwamba hawajui hilo eneo?? ama je wanadharau alama za barabaran zilizoko hapo maeneo?? ama hakuna alama za kutosha kuongoza magari eneo hilo??

   "jamhuri ya watu wa tanganyika"


   "kama ya kwangu itakuongezea ushindi japo kidunchu basi njoo uichukue, tena uifwate nyumbani"

  17. Kibo10's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th August 2013
   Posts : 10,003
   Rep Power : 429498848
   Likes Received
   4782
   Likes Given
   2546

   Default Re: Ajali mbaya ya basi kwaragulu

   Quote By kabanga View Post
   basi linaitwa burudani linatoka korogwe limedumbukia kwenye korongo karibu na kwarugulu estate.

   kwa mujibu wa askari niliyemkuta hapo wakisaidia majeruhi,watu 12 wamefariki hapo hapo. wangine kadhaa wamelaliwa na hilo basi.

   wale wapicha wanisamehe,nimeshindwa kuchukua picha kutokana na mazingira.
   Click image for larger version. 

Name:	ImageUploadedByJamiiForums1386829774.246369.jpg 
Views:	349 
Size:	118.0 KB 
ID:	126199
   Tulianza na mungu,Tupo na mungu na tutamaliza na mungu.
   Ikulu 2015 inaenda kukabidhiwa kwa Ukawa na Ccm watakabidhi bila tone la damu maana wamechoka.

  18. #37
   Watu8's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2010
   Location : Juu ya Tukutuku
   Posts : 45,652
   Rep Power : 429506161
   Likes Received
   27728
   Likes Given
   29103

   Default Re: Basi la Burudani lapata ajali Kabuku, zaidi ya abiria 22 wadaiwa kupoteza maisha!

   Habari ya kusikitisha sana hii...

   Burdan ni basi lenye jina kubwa na kwa routes za Lushoto - Dar - Lushoto...ni basi litumiwalo sana na raia wa kada zote.

   Mungu awape afya majeruhi wote waliokutwa na ajali hii.
   "Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU"  19. TCleverly's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2013
   Location : kiparang'anda
   Posts : 1,928
   Rep Power : 829
   Likes Received
   794
   Likes Given
   507

   Default Re: Basi la Burudani lapata ajali Kabuku, zaidi ya abiria 22 wadaiwa kupoteza maisha!

   kama unasafiri kwa kuendesha ama kwa mabasi utajua ni kiasi gani madereva wa mabasi ni 'wendawazimu' na ajali kama hizi zikitokea huwa sishangai ingawa nasikitika sana.....zinaepukika!

  20. kabanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th December 2011
   Location : Kisarawe
   Posts : 22,340
   Rep Power : 429501404
   Likes Received
   7346
   Likes Given
   1519

   Default

   Quote By Kibo10 View Post
   Click image for larger version. 

Name:	ImageUploadedByJamiiForums1386829774.246369.jpg 
Views:	349 
Size:	118.0 KB 
ID:	126199
   mkuu Kibo10, picha hiyo ni ya tarehe 9ilipata ajali pia...

  21. #40
   Aine's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st November 2010
   Location : Tz
   Posts : 1,616
   Rep Power : 851
   Likes Received
   473
   Likes Given
   1132

   Default Re: Ajali mbaya ya basi kwaragulu

   jamani polena wahanga wote wa tukio hili, wote tuwaombee majeruhi ili wapone haraka na wafiwa wafarijiwe


  Page 2 of 7 FirstFirst 1234 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Ajali mbaya ya basi yaua zaidi ya watu 51 zambia.
   By ramson34 in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 5
   Last Post: 8th February 2013, 16:43
  2. Ajali mbaya Nyololo: Basi la Newforce laua watatu!
   By nkisumuno in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 34
   Last Post: 5th January 2013, 17:40
  3. Ajali mbaya ya basi yaua watoto 50...Mkuu wa shirika aujiuzulu!
   By Ab-Titchaz in forum International Forum
   Replies: 1
   Last Post: 18th November 2012, 03:58
  4. Ajali mbaya ya basi
   By Malolella in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 33
   Last Post: 28th May 2012, 18:56
  5. Ajali mbaya ya basi la NBS - Igunga
   By kibogo in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 52
   Last Post: 3rd May 2012, 14:51

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...