JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: NECTA waja na mpya ya madaraja ufaulu sekondari

  Report Post
  Results 1 to 11 of 11
  1. zephania musse's Avatar
   Member Array
   Join Date : 6th April 2013
   Posts : 74
   Rep Power : 395
   Likes Received
   10
   Likes Given
   0

   Default NECTA waja na mpya ya madaraja ufaulu sekondari

   Eti NECTA wametoa mgawanyo wa alama na gredi zake mbalimbali ili wananchi tuchague itakayofaa,ndiyo itumike.Ikoje hii?

  2. King Kong III's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th October 2010
   Location : Enaboishu-Umenyeni
   Posts : 19,580
   Rep Power : 168828969
   Likes Received
   6610
   Likes Given
   3535

   Default Re: NECTA waja na mpya ya madaraja ufaulu sekondari

   Weka link ya hayo madaraja tuone.

  3. Kijana leo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th April 2012
   Posts : 2,365
   Rep Power : 906
   Likes Received
   550
   Likes Given
   187

   Default Re: NECTA waja na mpya ya madaraja ufaulu sekondari

   yapo wapi ayo madaraja? mbona umeleta habari ambayo haijakamilika mdau? jipange sasa, si wengine hatujui madaraja yapi ya mazense au ruvu?

  4. Deo Corleone's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th June 2011
   Posts : 6,625
   Rep Power : 95120
   Likes Received
   2102
   Likes Given
   936

   Default Re: NECTA waja na mpya ya madaraja ufaulu sekondari

   Madaraja yako wap sasa?

  5. Saskatchewan's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 17th October 2011
   Posts : 131
   Rep Power : 484
   Likes Received
   8
   Likes Given
   0

   Default Re: NECTA waja na mpya ya madaraja ufaulu sekondari

   Kuanzia mwaka jana 2012 Necta walitumia fixed Grade Ranges kwa kidato cha nne na sita ambapo kwa kidato cha 4
   A-80/100
   B-65/79
   C-50/64
   D-35/49
   F-0/34
   KIDATO CHA 6
   A-80/100
   B-75/79
   C-65/74
   D-55/64
   E-45/54
   S-40/44
   F-0/39
   Baada ya kutumia huo mfumo kimya kimya bila kushirikisha wadau wanafunzi wakafeli sasa hv ndo wameona umuhimu wa kushirikisha wadau wote ili kupata utaratibu unaofaa!

  6. FBY 2013's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th September 2013
   Location : Kwa Wananchi.
   Posts : 398
   Rep Power : 437
   Likes Received
   85
   Likes Given
   179

   Default Re: NECTA waja na mpya ya madaraja ufaulu sekondari

   Quote By zephania musse View Post
   Eti NECTA wametoa mgawanyo wa alama na gredi zake mbalimbali ili wananchi tuchague itakayofaa,ndiyo itumike.Ikoje hii?

   Mwananchi wa kawaida ana uelewa upi kuhusu madaraja ya ufaulu?

  7. Mp Kalix2's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th October 2010
   Posts : 1,561
   Rep Power : 97143
   Likes Received
   526
   Likes Given
   140

   Default Re: NECTA waja na mpya ya madaraja ufaulu sekondari

   Ukiona na masuala ya Elimu munayageuza kuwa ya kisiasa ujue Elimu kwishiney!

   Na kubaliana NECTA hasa viwango hivi vya mwisho nawaomba waruhusu mjadala kwenye D-A na kwamba atakayepata chini ya 34 O'level na 39 A'level ni failure na hili lisiwe na nafasi ya kujadiliwa.

   Kinyume na hapa tunatengeneza jamii ya wasomi wa jina tu (Dr'' mara Professa) na majina mengine mazuri ya kisomi lakini kichwani hamna kitu!

   Quote By Saskatchewan View Post
   Kuanzia mwaka jana 2012 Necta walitumia fixed Grade Ranges kwa kidato cha nne na sita ambapo kwa kidato cha 4
   A-80/100
   B-65/79
   C-50/64
   D-35/49
   F-0/34
   KIDATO CHA 6
   A-80/100
   B-75/79
   C-65/74
   D-55/64
   E-45/54
   S-40/44
   F-0/39
   Baada ya kutumia huo mfumo kimya kimya bila kushirikisha wadau wanafunzi wakafeli sasa hv ndo wameona umuhimu wa kushirikisha wadau wote ili kupata utaratibu unaofaa!

  8. #8
   hmtk's Avatar
   Member Array
   Join Date : 24th May 2013
   Posts : 51
   Rep Power : 384
   Likes Received
   17
   Likes Given
   12

   Default Re: NECTA waja na mpya ya madaraja ufaulu sekondari

   Quote By zephania musse View Post
   Eti NECTA wametoa mgawanyo wa alama na gredi zake mbalimbali ili wananchi tuchague itakayofaa,ndiyo itumike.Ikoje hii?
   Sio NECTA, ni wizara ya elimu ndio wametoa dodoso la upangaji wa madaraja ya ufaulu kwa watahiniwa wa sekondari (O & A levels). Dodoso ipo katika website ya wizara, moe.go.tz

  9. ngumbuke's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 8th August 2013
   Posts : 113
   Rep Power : 385
   Likes Received
   32
   Likes Given
   1

   Default

   Quote By hmtk View Post
   Sio NECTA, ni wizara ya elimu ndio wametoa dodoso la upangaji wa madaraja ya ufaulu kwa watahiniwa wa sekondari (O & A levels). Dodoso ipo katika website ya wizara, moe.go.tz

   Asante kwa kumuelekeza. Watu wamelishwa sumu kuhusu NECTA hadi wanasahau kuwa wao kwa sehemu kubwa ni watekelezaji.
   Madaraja yalipangwa na yakaafikiwa na wao wakatekeleza.

  10. kabanga's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 12th December 2011
   Location : Kisarawe
   Posts : 15,797
   Rep Power : 429500038
   Likes Received
   5224
   Likes Given
   769

   Default Re: NECTA waja na mpya ya madaraja ufaulu sekondari

   lakini wanapaswa kuweka sawa namna ya maksi za CA zinavyo chukuliwa katika upangaji wa matokeo ya mwisho ....

  11. ngoshas's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th January 2011
   Posts : 686
   Rep Power : 633
   Likes Received
   162
   Likes Given
   169

   Default Re: NECTA waja na mpya ya madaraja ufaulu sekondari

   Raha Ya demokrasia, lazima maafikiano Ya wananchi, ivi wanafikiri tutakubali Maksi za ufaulu ziwe za juu! ili wanetu wafeli?

  Similar Topics

  1. Replies: 9
   Last Post: 6th May 2013, 08:36
  2. Replies: 4
   Last Post: 22nd July 2011, 05:50
  3. Wanawake Uganda waja na mpya,....
   By Kisoda2 in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 14
   Last Post: 17th May 2010, 18:32
  4. Wanasayansi Waja na Mpya - Nyama Zatengenezwa Maabara
   By MziziMkavu in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 0
   Last Post: 6th December 2009, 01:46

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...