KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE
sijui enzi za ujana wake alikuwaje ;)
mwenyewe kaweka pozi lol
No one is in charge of your happiness except you...
God time is the best..
Masai says i can't complain fortune favours me currently.
Bahati hiyo ningeipata ya kumtoa dinner mbona ningeringa sana masai mie. Si unaona anajiita FL1 ujue ni daraja la juu hilo. Kama ni timu ya mpira owner billionaire inalipa mwisho wa siku.
Hila kwa akiba ya maneno angenipa hiyo nafasi aje yeye tu na tumbo tupu mimi ntamalize mengine ale, anywe, acheze, afurahi mengine yatakua maamuzi yake im a gent unajua.
Masai says i can't complain fortune favours me currently.
Kazi ipo, hizi avatar mpaka zinaleta watu JF!
Form is temporary, Class is permanent...
Kweli ni handsome haswa, lakini hii, picha ni ya lini maana sidhani kama alivyo sasa hivi ndivyo alivyo kwenye picha (correct me if am wrong).
MY LOVE IS YOUR LOVE.
nzuriiiiiiii na wake zke hao
Forever young!I wanna be!
SINGO AND NOT SEARCHING!
KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE
enzi hizo jamaa akikutokea kulenga ngum
Forever young!I wanna be!
SINGO AND NOT SEARCHING!
inaonekana weekend imeanza
Follow Us Here