Poleni na majukumu ya kujenga taifa wanajamvi,samahani naomba kujuzwa zaidi kuhusu mfuko wa dhamana tanzania,umoja fund wanaouza vipande vya share interest zao zipoje?nimepata nominal value ya share zao tu.