JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Waraka mpya wa mishahara Serikalini 2013

  Report Post
  Results 1 to 20 of 20
  1. 7son's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 24th May 2012
   Posts : 165
   Rep Power : 446
   Likes Received
   27
   Likes Given
   2

   Default Waraka mpya wa mishahara Serikalini 2013

   Heshima kwenu wakuu.....

   Kama kuna mtu anaweza kunisaidia waraka wa mishahara mpya 2013 naomba anijuze.

   Natanguliza shukrani za dhati kabisa


  2. Prodigal Son's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th December 2009
   Location : Dili - ET
   Posts : 872
   Rep Power : 725
   Likes Received
   240
   Likes Given
   99

   Default Re: Waraka mpya wa mishahara Serikalini 2013

   Si uombe kwa mwajiri wako???????
   ndio njia rahisi
   ,,,Give a man a fish and you feed him for a day; teach him to fish and you feed him forever,,,

  3. Santo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th December 2011
   Posts : 380
   Rep Power : 513
   Likes Received
   63
   Likes Given
   10

   Default Re: Waraka mpya wa mishahara Serikalini 2013

   Hizi njaa zitatuua, waraka kama upo siutatolewa tu. Mbona kama hatuna imani na viongozi wetu..!

  4. mnengene's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st November 2011
   Posts : 488
   Rep Power : 537
   Likes Received
   141
   Likes Given
   46

   Default Re: Waraka mpya wa mishahara Serikalini 2013

   waraka huo ni siri na hautakiwi kutangazwa kwenye vyombo vya habari.

  5. Sigma's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2011
   Location : The 2nd House on the Left
   Posts : 4,995
   Rep Power : 5396
   Likes Received
   1203
   Likes Given
   788

   Default Re: Waraka mpya wa mishahara Serikalini 2013

   we subiri kitakachoingia mwisho wa mwezi ndo halali yako
   ...------------------------------------------------.---------------------------------------------------------------------..Rather Kill a FRIEND than Risk Missing an ENEMY


  6. Capt Tamar's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th December 2011
   Posts : 3,144
   Rep Power : 13692
   Likes Received
   897
   Likes Given
   511

   Default

   Quote By Santo View Post
   Hizi njaa zitatuua, waraka kama upo siutatolewa tu. Mbona kama hatuna imani na viongozi wetu..!
   Wewe unawaamini viongozi?
   Santo likes this.

  7. usiniguse's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th October 2012
   Posts : 610
   Rep Power : 515
   Likes Received
   125
   Likes Given
   183

   Default

   Quote By mnengene View Post
   waraka huo ni siri na hautakiwi kutangazwa kwenye vyombo vya habari.

   siri maana yake nini ?mara ngapi zinawekwa hapa taarifa ambazo ni za siri !kama huna wewe kaa mimya

  8. Nsuri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd October 2011
   Posts : 807
   Rep Power : 608
   Likes Received
   278
   Likes Given
   212

   Default Re: Waraka mpya wa mishahara Serikalini 2013

   Waraka najua unapelekewa waajiri ila co mfanyakazi. Mwajiri ndo anatakiwa awaambie wafanyakazi wake.
   " There is something beautiful in every person. If you can't see it or find it or feel it then you have a problem"

  9. ng'home's Avatar
   Member Array
   Join Date : 4th March 2013
   Posts : 23
   Rep Power : 377
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default

   kuna watu wengine akili zao na uwezo wa kufikiri ni mdogo kama walivyo viong ozi wengi wa ccm,huwezi kusema waraka wa mishahara ni siri wakati kuna mambo mengi ya siri huw tunayapata hapa kama hauna cha kusema
   bora unyamaze

  10. mizambwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th October 2008
   Posts : 1,967
   Rep Power : 1142
   Likes Received
   728
   Likes Given
   2477

   Default Re: Waraka mpya wa mishahara Serikalini 2013

   Quote By 7son View Post
   Heshima kwenu wakuu.....

   Kama kuna mtu anaweza kunisaidia waraka wa mishahara mpya 2013 naomba anijuze.

   Natanguliza shukrani za dhati kabisa
   Ndugu kwa upande wangu sidhani kama Serikali wameongeza mishahara isipokuwa ni kupunguza kodi kwa 1% kutoka 145 hadi 13%.

   Hivyo tegemea kupata kanyongeza kaduchu katika Salary yako. Hawajaongelea kuhusu mishahara mipya.
   Labda kama waliosikia kipya katika Salary.


   MIZAMBWA
   INANIUMA SANA!!!
   ENDAPO LIKIBORESHWA DAFTARI LA WAPIGA KURA, NDIO KIFO CHA CCM!!!!, TUANDAE KABURI LA KUIZIKA MWAKA 2015

  11. Twilumba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th December 2010
   Location : Kiseliani
   Posts : 3,879
   Rep Power : 1280
   Likes Received
   1141
   Likes Given
   254

   Default

   Quote By Santo View Post
   Hizi njaa zitatuua, waraka kama upo siutatolewa tu. Mbona kama hatuna imani na viongozi wetu..!
   Ni kweli hatuna Imani na hao viongozi wenu!
   Santo likes this.

  12. john tongo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2012
   Location : I.T room
   Posts : 551
   Rep Power : 531
   Likes Received
   66
   Likes Given
   16

   Default

   Quote By Santo View Post
   Hizi njaa zitatuua, waraka kama upo siutatolewa tu. Mbona kama hatuna imani na viongozi wetu..!
   mi mmojawapo nisiye na iman nao
   Santo likes this.

  13. john tongo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2012
   Location : I.T room
   Posts : 551
   Rep Power : 531
   Likes Received
   66
   Likes Given
   16

   Default

   Quote By Santo View Post
   Hizi njaa zitatuua, waraka kama upo siutatolewa tu. Mbona kama hatuna imani na viongozi wetu..!
   mi mmojawapo nisiye na iman nao hawa watawala na si viongozi
   Santo likes this.

  14. Mr Mtu's Avatar
   Member Array
   Join Date : 19th April 2013
   Posts : 78
   Rep Power : 1082342
   Likes Received
   17
   Likes Given
   0

   Default Re: Waraka mpya wa mishahara Serikalini 2013

   Waraka upo hata mimi nimeusoma na unakili kuwa kuna shida kwenye mishahara ya walimu(wanalipwa) kidogo na wanarukisha madaraja mawili au moja hvi ili kuwapa moyo waalimu na kuwafanya waipende idara hii ya utumishi,huu waraka si siri kwani kila mtu atajua analipwaje ili ajue namna ya kupata sitahiki zingine,ukianza kutekelezwa utajua mkuu usiwe shaka

  15. CHUAKACHARA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd June 2011
   Posts : 4,367
   Rep Power : 7972
   Likes Received
   1498
   Likes Given
   1147

   Default Re: Waraka mpya wa mishahara Serikalini 2013

   Quote By Santo View Post
   Hizi njaa zitatuua, waraka kama upo siutatolewa tu. Mbona kama hatuna imani na viongozi wetu..!
   Nakubalian na wewe, you just have to be patient! LAKINI kwa kuwa na imani na viongozi hiyo si sawa! Tuna kila sababu za kutokuwa na imani na viongozi wetu maana ni MAFISADI-MZEE WA VIJISENTI, MKAPA, MRAMBA NA TIMU YAKE, ETC, ETC,ETC to mention but a few!
   Santo likes this.

  16. mdeki's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th March 2011
   Posts : 2,825
   Rep Power : 1005
   Likes Received
   326
   Likes Given
   27

   Default Re: Waraka mpya wa mishahara Serikalini 2013

   Hawaaminiki mpaka uone salar slip

   "To know the enemy is half the victory"

  17. mandokwa's Avatar
   Member Array
   Join Date : 5th June 2013
   Posts : 61
   Rep Power : 372
   Likes Received
   26
   Likes Given
   2

   Default Re: Waraka mpya wa mishahara Serikalini 2013

   wakati unasubiri kupata waraka wa mishahara kumbuka kwa kuajiliwa ni aina ya utumwa and posho yake ni mshahara ambao kwetu sisi specialist wa rasilimali watu hautakiwi ukidhi mahitaji yako na nyongeza ili usikufanye uwe kiburi or uache ajira yako.
   Nakushauri wakati unawazia waraka anza kufikiria maisha bila mshahara itakufanya uwe huru zaidi. Nasikitika hata wale wenye phd's wanalilia waraka ... Hivi hamna mambo mengine ya maana???

   Pole but ujumbe wangu umefika kwa wenye mazingatio wananielewa!!!


  18. Mr Mtu's Avatar
   Member Array
   Join Date : 19th April 2013
   Posts : 78
   Rep Power : 1082342
   Likes Received
   17
   Likes Given
   0

   Default

   Kazi ipo! Mi nashukuru ni mvuvi wa migebuka!

  19. Santo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th December 2011
   Posts : 380
   Rep Power : 513
   Likes Received
   63
   Likes Given
   10

   Default Re: Waraka mpya wa mishahara Serikalini 2013

   Quote By Capt Tamar View Post
   Wewe unawaamini viongozi?
   Nawamini japo nimewaweka kwenye lile kundi la punda bila mjeledi haendi..!

  20. mbwiganyuki's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 3rd November 2012
   Posts : 104
   Rep Power : 410
   Likes Received
   61
   Likes Given
   21

   Default Re: Waraka mpya wa mishahara Serikalini 2013

   Jamaa alifakamia K, mayb alijua ni mshikaki vilee!

  21. Kansime

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...