JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 33
  1. R.B's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th May 2012
   Posts : 2,240
   Rep Power : 10215
   Likes Received
   719
   Likes Given
   336

   Default Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani

   1. Mtanzania aliyefungwa guantanamo cuba haki yake itapatikana lini??


  2. nngu007's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2010
   Posts : 14,817
   Rep Power : 840624
   Likes Received
   4724
   Likes Given
   585

   Default re: Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani

   Quote By R.B View Post
   1. Mtanzania aliyefungwa guantanamo cuba haki yake itapatikana lini??

   Tusijidanganye hakuna MWANDISHI wetu wa HABARI yoyote MWENYE UBAVU na UPEO wa kumwuliza Rais OBAMA Swali kuhusu Sera za Nje za Marekani au Sera za Tanzania kuhusu UPINZANI NCHINI...

   Matatizo ni Mengi ila Waandishi wetu ni wale wenye MRENGO wa ISSA MICHUZI ndio baba ndio baba; Hawafanyi kazi hiyo ya UANDISHI KUNUSURU na KUJENGA SECTA ya MAWASILIANO NCHINI ila Wanaitumia kama KITEGA UCHUMI CHAO kuwa MATAJIRI kwa KUSIFIA UONGOZI; KUFICHA MAKOSA ya VIONGOZI ili tu kupata VIPODOZI wakipata SAFARI ZA NJE...

   *** Ukiangalia TRIP ya RAIS OBAMA atakuwa na Waandishi wa Habari SIO YEYE atakayewachagua au OFISI yake bali ni CHOMBO HURU CHA WAANDISHI wa HABARI AMBACHO kitateua waandishi watakao kuwe EMBEDED WITH Mr. PRESIDENT

   Watakuwa Wapinzani wa Pande zote Central; Left; Right; Supporters wa Pande zote Central; Left; Right

   Kila Mmarekani wapatao 300Million watapata habari Transparent na isiyo na uzito wa Upande Mmoja...

   --- Sisi tunapewa Michuzi ndie Mpinga Picha na pia Mleta habari... tunalundikiziwa UJINGA tunazidi kubaki na UJINGA Unable to Question; Unable to differentiate....
   iTech likes this.

  3. Kiyoya's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd April 2012
   Location : Murutsi
   Posts : 544
   Rep Power : 530
   Likes Received
   89
   Likes Given
   53

   Default re: Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani

   mheshimiwa rais tunashukuru kwa ujio wako tz pia kwa misaada mingi ya nchi yako hasa ktk sekta ya afya-swali langu ni hil hivi ile memorundum 2000 on Depopulation of third world countries ya mwaka 74/75 iliyosainiwa na bwana Kisinger imefutwa?maana ufadhiri wenu katika uzaz wa mpango na ukimwi unatutisha
   Last edited by Kiyoya; 26th June 2013 at 11:21.
   Kamaka likes this.

  4. chongchung's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd June 2013
   Posts : 521
   Rep Power : 462
   Likes Received
   130
   Likes Given
   72

   Default re: Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani

   kwa nini unatetea ushoga na wewe unapumuliwa kisogoni nini?
   if its yes, who then do it?

  5. believer's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd December 2012
   Posts : 566
   Rep Power : 497
   Likes Received
   97
   Likes Given
   0

   Default Re: Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani

   If i would i could.....Suala la malaria,kupitia USAID,je ni sahihi kushupalia matumizi sahihi ya vyandalua,au kuzuia mazalia ya mbu??

  6. Kansime

  7. Mamndenyi's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 11th April 2011
   Location : Mafinga
   Posts : 22,397
   Rep Power : 429501381
   Likes Received
   12268
   Likes Given
   28372

   Default Re: Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani

   Hivi obama na wewe unataka kuwekeza kigamboni?
   SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA

  8. bily's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th April 2012
   Location : SCANDINAVIA.
   Posts : 4,724
   Rep Power : 29883402
   Likes Received
   909
   Likes Given
   249

   Default Re: Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani

   swali la kwanza ni linini nchi yako itaacha kuegemea upande wa israel na kusaidia wapalestina kupata taifa huru, ni kwann marekani inaingilia kwenye mambo ya nchi za kiarabu? na kwanini umechagua tanzania na si kenya katika ziara yako?

  9. chief_mtemi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd June 2013
   Posts : 529
   Rep Power : 463
   Likes Received
   112
   Likes Given
   0

   Default Re: Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani

   kwanini anahis anamaadui weng kiasi cha kutembea na ulinz mkali kama FARAO.kwanin wanamtenga urus ktk G8 meetings

  10. GREATTHINKERMAN's Avatar
   Member Array
   Join Date : 25th February 2011
   Posts : 52
   Rep Power : 490
   Likes Received
   9
   Likes Given
   4

   Default Re: Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani

   1.Rais Obama kwanini hujaenda Kenya na ukaamua kutembelea Nchi ya Tanzania?
   2. Nini siri ya safari yako Tanzania

  11. Polite's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2011
   Location : Tanganyika
   Posts : 1,683
   Rep Power : 809
   Likes Received
   389
   Likes Given
   200

   Default Re: Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani

   prez obama unampango gani na madini yatu ya uranium ukizingatia nchi yako inatolea macho hayo madini kokote yalipo duniani

  12. Siku za ajabu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd December 2012
   Posts : 254
   Rep Power : 434
   Likes Received
   55
   Likes Given
   0

   Default Re: Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani

   Umefuata nini Tanzania,?umeruka dunia ya kwanza,ya pili mpaka dunia ya tatu kunani hapa tz?naomba useme ukeli Mungu anakuona.
   Kamaka likes this.

  13. Baraka Roman's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th February 2013
   Posts : 693
   Rep Power : 514
   Likes Received
   243
   Likes Given
   8

   Default Re: Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani

   Selekali ya malekani inatumia hela nyingi sana kutoa misaada katika nchi zinazoendelea.Je selekali yako inampango gani kuwasaidia wananchi wamalekani wasio na makazi maalumu na wanaish katika umaskin au unauchungu na Dunia ya tatu sana kuliko wanachi wamalekani?

   Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

  14. charger's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st November 2010
   Location : Ukutani
   Posts : 2,259
   Rep Power : 537740
   Likes Received
   1250
   Likes Given
   285

   Default Re: Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani

   Mr. President tumeishiwa tembo labda tukupe fisi

  15. butogwa's Avatar
   Member Array
   Join Date : 22nd June 2011
   Posts : 34
   Rep Power : 469
   Likes Received
   4
   Likes Given
   1

   Default

   Muheshimiwa rais ninafuraha kubwa kuchagua kuja Tanzania karibu sana.Je katika miradi ya nchi yako iliyopo tanzania ni kiwango gani cha wanawake Wa kitanzania waliopata ajira na kunufaika na miradi hiyo, na unamuahidi nini mwanamke wa tanzania kuondokana na hali duni ya maisha na huduma za kijamii kama vile afya, maji, elimu na nk inayomkabiri akiwa mmbeba mzigo mzito wa familia? Na je nchi yako inampango gani na wa muda gani kwa kijana wa kitanzania nchi ambayo ina utajiri mwingi katika nchi chache dunianini iliaweze kuwa na uhakika wa Elimu bora, ajira nzuri, makazi bora na heshima duniani kama walivyo vijana katika nchi yako?

  16. aikaruwa1983's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th May 2011
   Location : MABWEPANDE
   Posts : 428
   Rep Power : 554
   Likes Received
   86
   Likes Given
   59

   Default Re: Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani

   prezoo obama! mwanao wa kwanza nimempenda kuliko nchi yangu!!!
   Kamaka likes this.
   ONLY THE DEAD HAVE SEEN THE END OF WAR - PLATO

  17. Mwananchi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th October 2012
   Posts : 978
   Rep Power : 591
   Likes Received
   270
   Likes Given
   330

   Default Re: Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani

   swali la kwanza ni linini nchi yako itaacha kuegemea upande wa israel na kusaidia wapalestina kupata taifa huru, ni kwann marekani inaingilia kwenye mambo ya nchi za kiarabu? Je wakati unaingia madarakani mara ya kwanza na hasa mkutano wako uliofanya Ujerumani ulisema amani inapatikana si kwa njia ya vita bali maongezi mbona sioku hizi wewe ndiye unapenda vita na sasa Waziri wako wa mambo ya nje amekomalia kuwasaidia waasi wa Syria kuingamiza nchi bila kujali vifo vya watoto na akina mama?   Quote By bily View Post
   swali la kwanza ni linini nchi yako itaacha kuegemea upande wa israel na kusaidia wapalestina kupata taifa huru, ni kwann marekani inaingilia kwenye mambo ya nchi za kiarabu? na kwanini umechagua tanzania na si kenya katika ziara yako?

  18. Msarendo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th January 2011
   Location : Rich Forever.
   Posts : 3,141
   Rep Power : 97426
   Likes Received
   429
   Likes Given
   7

   Default Re: Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani

   kwa nini anaruhusu ushoga.

  19. Mwananchi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th October 2012
   Posts : 978
   Rep Power : 591
   Likes Received
   270
   Likes Given
   330

   Default Re: Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani

   "Mr. President tumeishiwa tembo labda tukupe fisi" Sometimes ukiwa na stress njoo JF. hii nimeipenda maana Kinana kafyeka wote
   Quote By charger View Post
   Mr. President tumeishiwa tembo labda tukupe fisi
   Kamaka likes this.

  20. nngu007's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2010
   Posts : 14,817
   Rep Power : 840624
   Likes Received
   4724
   Likes Given
   585

   Default Re: Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani

   Quote By chongchung View Post
   kwa nini unatetea ushoga na wewe unapumuliwa kisogoni nini?
   if its yes, who then do it?

   Kutetea Mashoga kwao ni HAKI kama vile tunavyotetea NDOA ya zaidi ya MKE MMOJA aa Baadhi ya Wanawake wetu kuvaa nguo kufunika Nywele zao...

  21. nngu007's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2010
   Posts : 14,817
   Rep Power : 840624
   Likes Received
   4724
   Likes Given
   585

   Default Re: Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani

   Quote By Msarendo View Post
   kwa nini anaruhusu ushoga.

   Haruhusu Mashoga... Kwani Hapa ni Tanzania Tunaruhusu NDOA ya MKE zaidi ya MMOJA??

  22. Clean9

  Page 1 of 2 12 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...