JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Moshi: Padri afumaniwa live na mke wa mtu akiwa uchi wa mnyama

  Report Post
  Page 6 of 6 FirstFirst ... 456
  Results 101 to 107 of 107
  1. Nivea's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st May 2012
   Posts : 7,416
   Rep Power : 156372165
   Likes Received
   4558
   Likes Given
   5413

   Default Moshi: Padri afumaniwa live na mke wa mtu akiwa uchi wa mnyama

   KANISA Katoliki Jimbo la Moshi limeingia katika kashfa nzito baada ya padri wake, Father Urbanus Ngowi wa moja ya parokia zake kudaiwa kufumaniwa na mwanamke anayesemekana ni mke wa mtu


   Father Ngowi akiwa ameduwaa baada ya kufumaniwa akiwa na mke wa mtu aliyejulikana kwa jina la kijamii la Mama P.
   Sakata la fumanizi hilo linadaiwa kutokea Jumatatu ya wiki iliyopita chumbani kwa padri huyo, Marangu Wilaya ya Moshi Vijijini ambako Father Ngowi inasemekana alikutwa ‘laivu’ akiwa na mwanamke huyo aliyejulikana kwa jina la kijamii la Mama P.

   Pamoja na kunaswa huko, vyanzo havijaeleza humo chumbani wawili hao walikuwa wakifanya nini!

   Habari zinadai siku ya tukio, mwanamke huyo aliingia nyumbani kwa padri huyo ambapo baadhi ya ndugu wa mumewe walikuwa wakimfuatilia baada ya madai yaliyokuwepo kwamba ana ukaribu wenye maswali mengi na mtumishi huyo wa Mungu.

   “Unajua siku nyingi ilivuma kwamba Mama P na Father Ngowi wana ukaribu wenye maswali mengi, mume wake alifuatilia na kubaini ni kweli lakini akashindwa kuutenganisha ukaribu wao,” kilidai chanzo.


   Father Ngowi akijaribu kuomba samahani baada ya kufumaniwa.
   Chanzo kikaendelea kudai kwamba baada ya kuona mkewe amejikita kwa mtumishi wa Mungu, mumewe alinyoosha mikono juu na kumwachia Mungu.

   Chanzo: Sasa siku hiyo baada ya ndugu wa mume kumfuatilia mpaka anaingia kwa Father Ngowi, wakaona ni bora watafute mpigapicha ili kupata picha za tukio ambazo zitakuwa ushahidi siku za mbele.

   “Walipompata wakazama ndani, sekeseke likaanzia hapo. Walimkuta mwanamke huyo na mtumishi wa Mungu wapo kitandani.”


   Father Ngowi na Mama P wakivaa nguo zao kwa aibu baada ya kufumaniwa.

   Habari zinadai kwamba kufuatia tukio hilo, tayari Kanisa Katoliki limemweka kitimoto padri huyo ambaye alikuwa akihudumu katika Parokia ya Korongoni, Moshi Vijijini kabla ya kuhamishwa na kupelekwa Parokia ya Makomu, Marangu ambako inadaiwa ameshushwa cheo.

   Inadaiwa kuwa baada ya tukio hilo, Father Ngowi alikana kukutwa na mke wa mtu chumbani kwake lakini alipobanwa sana na mabosi wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki Moshi, alikiri na kudai ibilisi alimpitia na kuomba kanisa limsamehe na kutompa adhabu kali ambayo itamuathiri kisaikolojia.

   Hili ni tukio kubwa na la aina yake kuwahi kulikumba Kanisa Katoliki nchini kwa padri wake kudaiwa kukutwa na mke wa mtu chumbani
   Father Ngowi na Mama P wakiwa na nyuso za aibu baada ya tukio hilo.
   Kuna madai kwamba mwaka jana (2012), Father Ngowi, mbele ya waumini wake alisoma barua yenye kukana shutuma zote zilizoelekezwa kwake kwamba amekuwa na ukaribu wenye maswali mengi na wake za watu.

   Taarifa zilidai kuwa padri huyo aliweka wazi akisema si kweli kwamba amekuwa na ukaribu unaotajwa, akawataka waumini wake wapuuze tuhuma hizo alizosema zina mwelekeo wa kuchafua sifa yake na taswira ya Kanisa Katoliki kwa jumla.

   Hayo ni madai ya vyanzo vyetu ambavyo viliambatanisha na picha mbalimbali za tukio hilo lenye kushtua waumini sambamba na namba za simu za padri huyo kwa ajili ya mawasiliano ili kujiridhisha.

   Father Ngowi akipatiwa suruali yake.

   poleni sana mtakao ghafilika ni taarifa tu wandugu.myie wanaume mnamuona mwenzenu? itikadi za kidini weka pembeni tuzungumze fumanizzzzzzzz
   sourse :mnaiona hapo

  2. Type's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 10th April 2012
   Posts : 201
   Rep Power : 523
   Likes Received
   16
   Likes Given
   9

   Default Re: Aibu: Padri wa kanisa katoliki huko moshi afumaniwa live na mke wa mtu wakila uroda wakiwa uchi

   Chezea utamu wewe

  3. mfarisayo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd November 2010
   Location : tanganyika
   Posts : 4,719
   Rep Power : 1503
   Likes Received
   1305
   Likes Given
   1515

   Default Re: Aibu: Padri wa kanisa katoliki huko moshi afumaniwa live na mke wa mtu wakila uroda wakiwa uchi

   Ni sula la muda tu wengi wanakula uroda na wake/waume za watu sema tu hawajafumaniwa. Na kitendo cha kufumaniwa na mke wa mtu kinathibitisha kuwa kuwa na ndoa sio hoja kwani hata walio na ndoa wanatoka nje.
   Pesa ni Mshenga Mzuri

  4. Watu8's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2010
   Location : Juu ya Tukutuku
   Posts : 44,945
   Rep Power : 429506012
   Likes Received
   27408
   Likes Given
   28677

   Default Re: Aibu: Padri wa kanisa katoliki huko moshi afumaniwa live na mke wa mtu wakila uroda wakiwa uchi

   Quote By Mvaa Tai View Post
   Kuna habari kama hii inaendelea kujadiliwa mkuu
   Imefungwa mkuu...si unaona ile mipicha, naona mods washaisweka lupango
   "Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU"  5. Kibulu's Avatar
   Member Array
   Join Date : 17th August 2012
   Posts : 58
   Rep Power : 475
   Likes Received
   15
   Likes Given
   1

   Default Jimbo katoliki la moshi laingia katika kashfa nzito ya ngono

   Wakili Paroko wa Parokia ya Makomu iliyopo Marangu Moshi Vijijini, Padri Urubanusi Ngowi ambaye pia ni Mzawa wa Marangu, yawezekana akapoteza nafasi hiyo ya Upadri aliyonayo baada ya kufamaniwa Live na mke wa Mtu wakiwa uchi wa Mnyama chumbani kwake. Padri huyo ambaye miezi ya hivi karibuni alionekana kungara sana katika parokia ya MAUA kwa harakati zake za kusaka na kukomesha biashara haramu aina ya gongo na pia kufungasha ndoa nyingi za vijana ambao hawakuwa wanandoa[masuria] na pia alionyesha ushupavu wake zaidi alipokua akiongoza harakat hizo kwa kushirik mwenyewe akiwa na jez za kikamanda zaidi. Hata katka harakat hzo alipata kashifa kadhaa za kutembea na wake za watu lakini kutokana na ubabe aliokuwa nao kwa kupata nguvu ya kijiji na OCS wa kituo cha Himo ambaye alikuwa akimtumia askari mara kwa mara alipokuwa akilizua. Padri huyu kalichafua kanisa katoliki sio jimbo la moshi tu bali ni wakatoliki wote Duniani, nitoe tu Rai kwa viongozi wengine wa dini[mapadri] wapo wengi sana wenye tabia kama za Padri huyu mpenda wake za watu, kuliko muendelee kufanya mambo yenu kwa siri ni bora mkamuiga Dr. Wilbrod Slaa ambaye alioana kuliko kumdanganya mungu ni bora kujitoa na kufanya mambo hadharani. Wapo wanaowatumia wajane,wake za watu, wanafunzi n.k. Pia Padri huyu uongozi wa jimbo umchukulie hatua kali kwa mujibu wa taratibu za kidini.

  6. idawa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th January 2012
   Location : karibu na nyumbani.
   Posts : 11,694
   Rep Power : 321378964
   Likes Received
   4784
   Likes Given
   2703

   Default Re: Jimbo katoliki la moshi laingia katika kashfa nzito ya ngono

   Modos ule wa kwanza ulinyofolewa toeni na huu.!!


  7. Kibulu's Avatar
   Member Array
   Join Date : 17th August 2012
   Posts : 58
   Rep Power : 475
   Likes Received
   15
   Likes Given
   1

   Default Re: Jimbo katoliki la moshi laingia katika kashfa nzito ya ngono

   Ni aibu kubwa thats why wanaunyofoa

  8. mtzmweusi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th April 2013
   Location : Tegeta
   Posts : 1,197
   Rep Power : 92284187
   Likes Received
   489
   Likes Given
   1031

   Default Re: Jimbo katoliki la moshi laingia katika kashfa nzito ya ngono

   mkuu unauhakika na hizi habari?source?


  Page 6 of 6 FirstFirst ... 456

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...