Hakika bunge letu la tanzania limeshindwa kuonyesha wazi kwamba ni bunge lililotumwa na wananchi kuongelea wananchi kusaidia shida za wananchi lakini leo hii wacha bunge letu kujaza mafisadi bungeni
limekuwa halina tofauti na vikao vya harusi.....
Kila hoja zinzopangwa kufanyiwa kazi ama kwa nguvu za mafisadi
spika wanaamua kuahirisha mada zinazowahusu ama mafisadi ama maslahi ya watanzania...leo hii RICHMOND imekuwa ikiahirishwa hii ni mara ya 3 kama sikosei.....
Mh SPIKA bunge lako ulisema ni BUNGE lenye MENO
hakika watanzania hatutakuelewa kama utaamua kuendelea na system zenu za kuahirisha mijadala inayohusu MAFISADI wa CCM...USITISHIKE KUAMBIWA NA WAZIRI SIMBA.SOPHIA KWAMBA CCM HAKUNA ASIE FISADI...HII ISIKUARIBIE MUDI YA KUFA NAO KIDONDANI KAMA ULIVYOAPA MBELE YA WATU.......INASHANGAZA MAKAMBA KUONGEA VITUKO KWENYE VIKAO VYENU VYA MWINYI&CO LTD....HILI BUNGE SI LA CCM....BUNGE LA TANZANIA....