JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Mazishi ya Nyaga Mawala kufanyika Nairobi

  Report Post
  Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
  Results 21 to 40 of 67
  1. majany's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th September 2008
   Location : IKULU
   Posts : 1,189
   Rep Power : 1857
   Likes Received
   483
   Likes Given
   941

   Default Mazishi ya Nyaga Mawala kufanyika Nairobi

   Napenda kuwafahamisha kwamba mazishi ya Mpendwa Wetu Nyaga Paul Mawalla yatafanyika Jumatano, tarehe 3/4/2013 jijini Nairobi, Kenya kwenye makaburi ya Lang'ata. Nafahamu kumekuwa na maswali mengi kuhusiana na mazishi lakini Wosia wa marehemu ndio umefuatwa. Naomba tushirikiane na familia katika safari ya kumpumzisha Ndugu yetu Nyaga. Daima tutamkumbuka na kumuenzi kwa mema yote aliyoyafanya.
   Hii ni status ya msando Albert kule Fb..
   Last edited by majany; 30th March 2013 at 15:57.


  2. pilau's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th August 2012
   Posts : 1,475
   Rep Power : 767
   Likes Received
   351
   Likes Given
   96

   Default Re: Mazishi ya Nyaga Mawala kufanyika Nairobi

   ..........Ni simanzi ... Hakuna jinsi ....

  3. IGWE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2011
   Location : Blue Plaza Building-Arusha
   Posts : 6,722
   Rep Power : 3717
   Likes Received
   2022
   Likes Given
   1906

   Default

   Quote By Easymutant View Post
   I'm not very sure,but! Inasemekana mawalla (marehemu) alikuwa na tatizo la kupata usingizi kwa takribani miezi sita na alikuwa akilitatua kwa kutumia dawa za usingizi ambazo zilidevelop tatizo kwenye ubongo wake akawa kama (chizi fresh) na aliwekewa walizi kwa ajili ya kumchunga asijiue maana kwa muda alikuwa akisema atajiua, so nadhani walinzi wake walijisahau na akapata mwanya wa kufanya alichofanya, R.I.P Mawalla
   Real.......?.....oooh no_uchunguzi wa kina unatakiwa hapa mkuu

  4. Mponjori's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st February 2011
   Location : ukarawa
   Posts : 2,213
   Rep Power : 1057
   Likes Received
   530
   Likes Given
   21

   Default

   Quote By SN.BARRY View Post
   kweli mkuu tena jamaa alikuwa bado kijana sana masuala ya kuanza kuandika wosia ni kujitabiria au kujua soon you will die.
   kuandika wosia ni mtihani! Japo ni muhimu

  5. bucho's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th July 2010
   Location : kandahar
   Posts : 4,305
   Rep Power : 18415941
   Likes Received
   1207
   Likes Given
   857

   Default Re: Mazishi ya Nyaga Mawala kufanyika Nairobi

   Hivi msando albert alikuwa bado anafanya kazi kwa mawala au ni upambe tu wa hapa na pale . Maaana kazi kweli kweli .

  6. Iris's Avatar
   Member Array
   Join Date : 9th November 2011
   Posts : 41
   Rep Power : 520
   Likes Received
   6
   Likes Given
   3

   Default

   Quote By Easymutant View Post
   I'm not very sure,but! Inasemekana mawalla (marehemu) alikuwa na tatizo la kutopata usingizi kwa takribani miezi sita na alikuwa akilitatua kwa kutumia dawa za usingizi ambazo zilidevelop tatizo kwenye ubongo wake akawa kama (chizi fresh) na aliwekewa walizi kwa ajili ya kumchunga asijiue maana kwa muda alikuwa akisema atajiua, so nadhani walinzi wake walijisahau na akapata mwanya wa kufanya alichofanya, R.I.P Mawalla
   Alifanyaje?mimi simjui ila napenda kujua sababu ya kifo chake,inaelekea alikuwa ni mtu mwema na maarufu sana, naomba anayejua alivyokufa anijuze,tunajifunza kwa kuona na kusikia.


  7. BASIASI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th September 2010
   Posts : 2,373
   Rep Power : 1168
   Likes Received
   481
   Likes Given
   334

   Default

   Quote By Janjaweed View Post
   Yes BHT ndio huohuo

   naangalia jinsi baadhi ya mrafiki wa karibu walivyovalia njuga mazishi hata kuwa juu ya familia, wakati abotu 3 years ago, hawakua tena kwenye front page ya jamaa

   naumia sana
   haaaahaaa MKuu hao ndio alikuwa anawaweka mjini bwana wao amekufa watajulikanaje

  8. BASIASI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th September 2010
   Posts : 2,373
   Rep Power : 1168
   Likes Received
   481
   Likes Given
   334

   Default

   Quote By Iris View Post
   Alifanyaje?mimi simjui ila napenda kujua sababu ya kifo chake,inaelekea alikuwa ni mtu mwema na maarufu sana, naomba anayejua alivyokufa anijuze,tunajifunza kwa kuona na kusikia.
   aisee thread zote ujajua amekufaje anyway kafa

  9. Mropokaji mkweli's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 30th March 2013
   Posts : 3
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Moony View Post
   Nadhani kuna mtu alimsukuma
   ngoja atokeze mwingne aseme nikazikwe Yerusalem au maka

  10. ngoshwe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st March 2009
   Location : everywhere
   Posts : 4,065
   Rep Power : 1563
   Likes Received
   725
   Likes Given
   1044

   Default Nyaga Mawalla kuzikwa Kenya "Lang’ata Cemetry Nairobi"

   Taarifa hapo chini inajieleza kuhusu mazishi ya wakili Paul Nyaga Mawalla. Baada ya mvutano mrefu imeamuliwa mwili uzikwe ughaibuni kwa Wakikuyu na Wa Luo.Tanzania ni zaidi muijuavyo.
   -----

   Dear valued member,

   It is with humble acceptance of God’s Will that we announce the passing of
   our beloved, Advocate Nyaga Paul Mawalla, chairman and founder of the
   Mawalla Group of Companies which occurred on the 22nd day of March 2013 at
   Nairobi Hospital, Kenya. He was a loving father to Sherlyne Mawalla and
   Magrate Mawalla, Son of Advocate Juma Sawaya Mawalla and Magrate Juma
   Mawalla, a leader, a visionary and a friend to many.

   Body viewing and paying last respect shall be held at the Uhuru Highway
   Lutheran Church, Nairobi on the 3rd day of April 2013 from 09:00am and
   thereafter the Funeral service shall be held at the Church from 11:00am.

   The body shall be laid to rest at the Lang’ata Cemetry in Nairobi Kenya at
   2:00pm.

   A memorial mass in loving memory of our beloved Nyaga Paul Mawalla shall
   be held at his father’s residence at Nkomo Avenue, YMCA area in Moshi,
   Killimanjaro on the 4th day of April 2013 from 10:00AM to 2:00PM.

   In God’s hands you rest, in our hearts you will live forever. Amen.HJHJ,

   Attached is the photo of the late advocate Nyaga P. Mawalla.

   Sent on behalf of Mawalla Advocates

  11. Amoeba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th August 2009
   Posts : 3,333
   Rep Power : 1308
   Likes Received
   558
   Likes Given
   725

   Default Re: Nyaga Mawalla kuzikwa Kenya "Lang’ata Cemetry Nairobi"

   Mkuu ngoshwe, una maana gani kusema "Tanzania ni zaidi muijuavyo"?

  12. isotope's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2012
   Posts : 2,408
   Rep Power : 972
   Likes Received
   794
   Likes Given
   622

   Default Re: Nyaga Mawalla kuzikwa Kenya "Lang’ata Cemetry Nairobi"

   Quote By Amoeba View Post
   Mkuu ngoshwe, una maana gani kusema "Tanzania ni zaidi muijuavyo"?
   Yeah, hiyo issue siyo ya Tanzania ila ni ya mtu binafsi., hata hiyo niungane naye ''wanasheria ni zaidi ya tuwajuavyo''. ref: Chenge, Mkono, Nyaga, Mwale n.k

  13. yegella's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th November 2010
   Location : Jalalani
   Posts : 2,908
   Rep Power : 256472
   Likes Received
   949
   Likes Given
   735

   Default Re: Nyaga Mawalla kuzikwa Kenya "Lang’ata Cemetry Nairobi"

   Quote By isotope View Post
   Yeah, hiyo issue siyo ya Tanzania ila ni ya mtu binafsi., hata hiyo niungane naye ''wanasheria ni zaidi ya tuwajuavyo''. ref: Chenge, Mkono, Nyaga, Mwale n.k
   mbona mnamumunya maneno...

  14. KIM KARDASH's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st September 2011
   Posts : 5,060
   Rep Power : 0
   Likes Received
   958
   Likes Given
   100

   Default Re: Mazishi ya Nyaga Mawala kufanyika Nairobi

   Quote By Janjaweed View Post
   ni kweli, alikufa mwenzao enzi za late 70s au early 80s pale ukumbi wa dansi wa mpakani (siku hizi silent inn) ndio wakaweka hiyo toleo
   kwanini ulitaka kupotosha mwanzo kwa kuitaja bendi yako na sio marquizdu zaire?nini kilikusukuma labda?

  15. KIM KARDASH's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st September 2011
   Posts : 5,060
   Rep Power : 0
   Likes Received
   958
   Likes Given
   100

   Default Re: Mazishi ya Nyaga Mawala kufanyika Nairobi

   Quote By Ngisibara View Post
   Sina hakika sana lakini nafikiri ilikuwa Safari Resort pale Kimara..silent inn ya juzi juzi kwani ilifuatia nyuma kabisa
   amesema mpakani kama sikosei nowadays amedai ndio inaitwa silent inn japo sidhani kama bado inaitwa hivyo kwani last time lilikua ni kanisa la walokole fulani hivi but all in all when yuou talk about marquis original uwanja wa nyumbani ulikua safari resort kimara sio mwenge kama jamaa alivyotaka kupotosha pengine kwa kutojua ama makusudi maana alifanya jaribio pia la kutaka kupora wimbo wa marquis na kuipa bendi gani sijui ya kwao!

  16. KIM KARDASH's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st September 2011
   Posts : 5,060
   Rep Power : 0
   Likes Received
   958
   Likes Given
   100

   Default Re: Mazishi ya Nyaga Mawala kufanyika Nairobi

   Quote By Easymutant View Post
   I'm not very sure,but! Inasemekana mawalla (marehemu) alikuwa na tatizo la kutopata usingizi kwa takribani miezi sita na alikuwa akilitatua kwa kutumia dawa za usingizi ambazo zilidevelop tatizo kwenye ubongo wake akawa kama (chizi fresh) na aliwekewa walizi kwa ajili ya kumchunga asijiue maana kwa muda alikuwa akisema atajiua, so nadhani walinzi wake walijisahau na akapata mwanya wa kufanya alichofanya, R.I.P Mawalla
   chanzo cha kujiua kimeelezwa ni nini hasa?

  17. Zion Daughter's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th July 2009
   Location : Mlimani
   Posts : 8,934
   Rep Power : 28554457
   Likes Received
   4115
   Likes Given
   2167

   Default

   Quote By majany View Post
   Napenda kuwafahamisha kwamba mazishi ya Mpendwa Wetu Nyaga Paul Mawalla yatafanyika Jumatano, tarehe 3/4/2013 jijini Nairobi, Kenya kwenye makaburi ya Lang'ata. Nafahamu kumekuwa na maswali mengi kuhusiana na mazishi lakini Wosia wa marehemu ndio umefuatwa. Naomba tushirikiane na familia katika safari ya kumpumzisha Ndugu yetu Nyaga. Daima tutamkumbuka na kumuenzi kwa mema yote aliyoyafanya.
   Hii ni status ya msando Albert kule Fb..
   Asante kwa taarifa majany

  18. Zion Daughter's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th July 2009
   Location : Mlimani
   Posts : 8,934
   Rep Power : 28554457
   Likes Received
   4115
   Likes Given
   2167

   Default

   Quote By KIM KARDASH View Post
   chanzo cha kujiua kimeelezwa ni nini hasa?
   Kuna thread ina mambo mengi na zinazosemekana sababu ya kujiua .Ukizipitia unaweza pata kitu

  19. Mzawa Halisi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th February 2009
   Posts : 484
   Rep Power : 749
   Likes Received
   149
   Likes Given
   356

   Default Re: Mazishi ya Nyaga Mawala kufanyika Nairobi

   Quote By KIM KARDASH View Post
   marquis original uwanja wa nyumbani ulikua safari resort kimara
   Mkuu,

   Nafikiri Safari Resort iilikuwa OSS aka wana ndekule. Marquiz wao walikuwa ubungo Kibo, jina la ukumbi ni white (sikumbuki ni white nini)

   Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

  20. Janjaweed's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th January 2010
   Posts : 8,576
   Rep Power : 399135374
   Likes Received
   4580
   Likes Given
   6019

   Default Re: Mazishi ya Nyaga Mawala kufanyika Nairobi

   Quote By KIM KARDASH View Post
   kwanini ulitaka kupotosha mwanzo kwa kuitaja bendi yako na sio marquizdu zaire?nini kilikusukuma labda?
   kwi kwi kwiiii.... ligi hadi msibani, tunalo mwaka huu........... ina maana hadi leo hujajua mimi ni mpotoshaji tu humu jukwaani???
   Kama Vipi nipotezee tu; ntakuboa....

  21. Ukwaju's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 19th October 2010
   Location : Dodoma
   Posts : 7,083
   Rep Power : 91426404
   Likes Received
   1730
   Likes Given
   2497

   Default Re: Mazishi ya Nyaga Mawala kufanyika Nairobi

   Quote By KIM KARDASH View Post
   chanzo cha kujiua kimeelezwa ni nini hasa?
   Du ni mengi na tutazidi kuyasikia na haya ni TETESI ZAKE

   • alisukumwa toka ghorofa ya kwanza ya Hospital hiyo
   • alikutwa kaangukia kichwa na mfuniko wa Septic Chamber (au Sewarage) ukiwa wazi yaani anguko lake lilifunua mfuniko huo lakini hakuumia popote kichwani (sasa jiulize walitaka kumfanyeje kwenye hilo shimo wakati alishakufa)
   • Huenda aliuwawa wodini kwake kwani alishapona na kuzungumza na nduguze kwa ajili ya kurudi
   • Alikuwa naMadeni nan mabenki ya arusha kwa kuwadhamini makampuni ya kigeni hivyo madeni kumuangukia
   • alichonganisha wawekezaji kwa kuwa kila upande mmojawapo akiwa yule Bilionea wa USA wa Mugumu Serengeti
   • POLISI wa KENYA wanachunguza kisa cha kuuawa na watatoa majibu

   MUNGU ailaze ROHO ya Marehemu mahali pema peponi na ninampa Bw Albert Msando pole sana kwa ki

   Hii ni taarifa yake Msando kwenye F/B

   TANGAZO LA KIFO NA MAZISHI

   Familia ya Advocate Juma Sawaya Mawalla wanasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao mpenda, Advocate Nyaga Paul Mawalla kilichotokea siku ya ijumaa, tarehe 22 mwezi march, 2013 katika hospitali ya Nairobi nchini Kenya.
   Taratibu za kuaga mwili wa marehemu zitaanza saa tatu kamili asubuhi siku ya jumatano, tarehe 3 mwezi Aprili katika kanisa la Uhuru Highway Lutheran Church mjini Nairobi, ikifwatiwa na ibada ya mazishi kanisani hapo.
   Mazishi ya marehemu Nyaga Paul Mawalla yanatarajiwa kufanyika saa nane mchana, siku hiyo ya jumatano, tarehe 3 mwezi April katika makaburi ya Lang'ata jijini Nairobi, kenya.
   Taarifa hii iwafikie ndugu jamaa na marafiki wote popote walipo. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, amen.


  Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...