JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

  Report Post
  Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
  Results 21 to 40 of 78
  1. Kasimba G's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th January 2011
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 2,020
   Rep Power : 95446
   Likes Received
   654
   Likes Given
   918

   Default Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

   Imetokea bahati mbaya saana asilimia kubwa ya wahusika wa utekwaji na uteswaji hata kuuliwa ni watu wa origin ya Mbeya. Kihistoria watu wa Mbeya haswa wanyakyusa na wandali hawakutawaliwa na wakoloni kama ilivyo kwa wamasai, wachaga, nk. Sababu kubwa ni kwamba wazungu walikuwa wanaogopa makabila ya watu wakali, wakorofi, waelevu na wenye hasira saana, ndio maana kuna baadhi ya nchi kama ethiopia ilishindikana kutawaliwa na wakoloni!

   Kwa huku kwetu Tanzania kama nchi kuna baadhi ya sehemu walizo tawaliwa na kuwanyenyekea wazungu na waarabu, lakini sehemu nyingine ilikuwa ngumu kwa sababu ya misimamo hasi ya jumuia husika.

   Kwa wanaofuatilia mambo ya nchi yetu, wakati wa uhuru, na mala tuu baada ya uhuru, matukio mbalimbali yalishawahi kuwakuta haswa wanyakyusa, kama kihistoria inajulikana wasomi wakati wa uhuru walikuwa wachache na walikuwa kama tunu ya taifa, lakini, kuna ukoo wa Mwanjisi waliwapoteza wapendwa wao wakati huo, mpaka leo hii haijurikani waliko tangu miaka hiyo ya sitini!

   Bahati mbaya pia imewafuatilia mpaka leo hii, matukio kama Mwakyembe, Mwandosya, Mwangosi, Ulimboka, Mwangosi na sasa la Kibanda, Woote hao ni wa asili ya mbeya na bahati mbaya wa kutoka kabila hilohilo la mwanyakyusa "watata wa wakolomi" je ni kwa bahati mbaya au historia inalifuatilia kabila hili ambalo wazungu waliamini kuwa wanajifanya waelevu na wakorofi? Au mamlaka wanalijua hili na wanafuata mkondo wa imani ya wakoloni? Je ni kweli watu wa jamii hii ni wakorofi?

   Kistoria pia wanyakyusa walikuwa wajanja wasiopenda vita, mfano mkubwa ni vita kati ya mwanyakyusa na wamalila, waliamua kumuoza binti yao kwa wamalila ili mradi wasipigane vita! Kiufupi walikuwa waelevu kama wazungu walivyowachukulia.

   Je serikali wana siri gani na watu wa jaaamii hii? au ni bahati mbaya?

  2. Tabby's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2008
   Posts : 5,818
   Rep Power : 429498304
   Likes Received
   3221
   Likes Given
   3615

   Default Re: Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

   Quote By DURACEF View Post
   wivu umekujaa kama mwanamke
   a

   Hakuna mwenye wivu kama mnyakyusa awe mwanamke ama mwanamke. Mka bandu! Finyamana fivo!

  3. buluwaya's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 15th February 2013
   Posts : 205
   Rep Power : 486
   Likes Received
   45
   Likes Given
   40

   Default Re: Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

   mkoa wa mbeya una bahati kubwa sana katika taifa tanzania kwa kuwa na makabila mengi sana, lakini ambayo yanaishi kwa maelewano makubwa isivyo kawaida. na manelewano haya yanaanzia ufipa ya lake tanganyika hadi ngonde ya lake nyasa.

   Wanaitana majina ya kebehi lakini wanaelewana sana. Ni wakinga na wasangu tu ambao kidogo sina ushahidi wa urafiki na makabila yaliyo mengi katika mkoa huu. Wanaoleana, wanahama na kuhamia wanakokupenda pasipo shida kubwa sana, na hii ndiyo sababu majina yanayoanzia Mwa haiwezi kuwa kigezo cha kumuita mtu kutoka Mbeya kuwa ni kabila fulani. Unaweza kukuta kabila unalolihisi silo katika jina hilo. Na ni kwa sababu hiyo ukimkosea mmoja uwezekano unakuwa mkubwa unakuwa umewauzi kwa ujumla wao: hasa wakiwa mbali na mkoani kwao.

   Zamani tunaambiwa walikwenda wengi sana kama manamaba Jo'burg Afrika ya kusini. na Kule walipenwa kabila moja na Watanganyika--wachapa kazi kupita kiasi katika kila nyanja. hata walipokutana na Amazulu wa kike.

   Lakini kuhusu tabia binafsi za kila kabila, wanyakyusa ni kabila la watu wasiopenda shari; ni kabila la starehe na amani. Mjerumani alipofika Rungwe na Kyela alitambua wakorofi akawa ananyonga mmoja mmoja kwenye kimti fulani karibu na boma la Mkoloni Tukuyu. Historia inazo dalili kwamba machifu wa kinyakyusa walipotambua kuwa mkoloni alikuwa na nguvu kuliko wenyeji, machifu walishauriana kutokumpinga katika mipango yake likawa kabila passive, yaani kabila la kukwepa shari. Mkoloni akatambua hilo na kujenga urafiki na kabila hili. Akaanza kusomesha watoto wa machifu. Ndo hao unaosikia wanyakyusa walipata elimu mapema sana.

   Makabila yenye ushari yalikuwa Mbeya Vijijini na Mbozi. Mkoloni aliwanyima elimu kule wakome ubishi...   Quote By Kasimba G View Post
   Imetokea bahati mbaya saana asilimia kubwa ya wahusika wa utekwaji na uteswaji hata kuuliwa ni watu wa origin ya Mbeya. Kihistoria watu wa Mbeya haswa wanyakyusa na wandali hawakutawaliwa na wakoloni kama ilivyo kwa wamasai, wachaga, nk. Sababu kubwa ni kwamba wazungu walikuwa wanaogopa makabila ya watu wakali, wakorofi, waelevu na wenye hasira saana, ndio maana kuna baadhi ya nchi kama ethiopia ilishindikana kutawaliwa na wakoloni!

   Kwa huku kwetu Tanzania kama nchi kuna baadhi ya sehemu walizo tawaliwa na kuwanyenyekea wazungu na waarabu, lakini sehemu nyingine ilikuwa ngumu kwa sababu ya misimamo hasi ya jumuia husika.

   Kwa wanaofuatilia mambo ya nchi yetu, wakati wa uhuru, na mala tuu baada ya uhuru, matukio mbalimbali yalishawahi kuwakuta haswa wanyakyusa, kama kihistoria inajulikana wasomi wakati wa uhuru walikuwa wachache na walikuwa kama tunu ya taifa, lakini, kuna ukoo wa Mwanjisi waliwapoteza wapendwa wao wakati huo, mpaka leo hii haijurikani waliko tangu miaka hiyo ya sitini!

   Bahati mbaya pia imewafuatilia mpaka leo hii, matukio kama Mwakyembe, Mwandosya, Mwangosi, Ulimboka, Mwangosi na sasa la Kibanda, Woote hao ni wa asili ya mbeya na bahati mbaya wa kutoka kabila hilohilo la mwanyakyusa "watata wa wakolomi" je ni kwa bahati mbaya au historia inalifuatilia kabila hili ambalo wazungu waliamini kuwa wanajifanya waelevu na wakorofi? Au mamlaka wanalijua hili na wanafuata mkondo wa imani ya wakoloni? Je ni kweli watu wa jamii hii ni wakorofi?

   Kistoria pia wanyakyusa walikuwa wajanja wasiopenda vita, mfano mkubwa ni vita kati ya mwanyakyusa na wamalila, waliamua kumuoza binti yao kwa wamalila ili mradi wasipigane vita! Kiufupi walikuwa waelevu kama wazungu walivyowachukulia.

   Je serikali wana siri gani na watu wa jaaamii hii? au ni bahati mbaya?

  4. Mjuni Lwambo's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 25th April 2012
   Location : Lyamidati-Shinyanga.
   Posts : 4,742
   Rep Power : 91272203
   Likes Received
   1533
   Likes Given
   1528

   Default Re: Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

   Quote By mathabane View Post
   Ni wazi kabisa mleta mada anatuletea ushahidi wa kihistoria ambayo haelewi undani wake. Pamoja na hayo kutekwa au ku-uawa hakuwakilishi u-radical wa mtu binafsi au kabila lake kama ulivo mtazamo wako. Tuseme nini basi juu ya watu kama kama Mtikila, Lissu, Lema, S.Kubenea, T.Ndemara na wengineo wangi wa aina hii?
   Hao uliotaja wewe hawatoki kabila moja kama waliotajwa na mleta mada, huoni kuwa utetezi wako unakosa mashiko?
   FAITH backed by ACTION towards fulfilling a definite major purpose is a form of wisdom, and THOUGHT concentration on a definite purpose is POWER!

  5. Tabby's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2008
   Posts : 5,818
   Rep Power : 429498304
   Likes Received
   3221
   Likes Given
   3615

   Default Re: Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

   Quote By buluwaya View Post
   mkoa wa mbeya una bahati kubwa sana katika taifa tanzania kwa kuwa na makabila mengi sana, lakini ambayo yanaishi kwa maelewano makubwa isivyo kawaida. na manelewano haya yanaanzia ufipa ya lake tanganyika hadi ngonde ya lake nyasa.

   Wanaitana majina ya kebehi lakini wanaelewana sana. Ni wakinga na wasangu tu ambao kidogo sina ushahidi wa urafiki na makabila yaliyo mengi katika mkoa huu. Wanaoleana, wanahama na kuhamia wanakokupenda pasipo shida kubwa sana, na hii ndiyo sababu majina yanayoanzia Mwa haiwezi kuwa kigezo cha kumuita mtu kutoka Mbeya kuwa ni kabila fulani. Unaweza kukuta kabila unalolihisi silo katika jina hilo. Na ni kwa sababu hiyo ukimkosea mmoja uwezekano unakuwa mkubwa unakuwa umewauzi kwa ujumla wao: hasa wakiwa mbali na mkoani kwao.

   Zamani tunaambiwa walikwenda wengi sana kama manamaba Jo'burg Afrika ya kusini. na Kule walipenwa kabila moja na Watanganyika--wachapa kazi kupita kiasi katika kila nyanja. hata walipokutana na Amazulu wa kike.

   Lakini kuhusu tabia binafsi za kila kabila, wanyakyusa ni kabila la watu wasiopenda shari; ni kabila la starehe na amani. Mjerumani alipofika Rungwe na Kyela alitambua wakorofi akawa ananyonga mmoja mmoja kwenye kimti fulani karibu na boma la Mkoloni Tukuyu. Historia inazo dalili kwamba machifu wa kinyakyusa walipotambua kuwa mkoloni alikuwa na nguvu kuliko wenyeji, machifu walishauriana kutokumpinga katika mipango yake likawa kabila passive, yaani kabila la kukwepa shari. Mkoloni akatambua hilo na kujenga urafiki na kabila hili. Akaanza kusomesha watoto wa machifu. Ndo hao unaosikia wanyakyusa walipata elimu mapema sana.

   Makabila yenye ushari yalikuwa Mbeya Vijijini na Mbozi. Mkoloni aliwanyima elimu kule wakome ubishi...
   Hiyo ndiyo sifa mnatamani isomeke.

   1. Tabia zenu na ukabila umedumaza mji wa mbeya japo mmelazimisha liitwe jiji. Mgekuwa watu wa ukweli, mngekuwa mbali sana maana mna uwezo wa kupata kila kitu kinachohitajika kwa maendeleo. Ila tabia zenu, du!.

   2. Migongano katiaka halmashauri za wanyakyusa ni kwa ajli ya ukabila. Kila asiye mnyakyusa mnampiga vita,majungu aondoke ama apate matatizo kwa kuwa hamtaki kuongozwa na asiye mnyakyusa.

   3. Usiwadanganye watu kwamba eti mnaishi kwa amani na makabila mengine wakati kila mtu anawakimbia. Watu wakija kwenu wanapewa semina kabisa kwamba huko kuna wanyakyusa. Kijana akitaka kuona mbeya wanauliza kabila la mchumba. Kama anaoa mnyakyusa hapewi hongera badala yake anapewa pole.

   4. Pengine wadanganye ambao hawajakaa Mbey. Mimi niliishi mbeya miaka mitatu. Mwanzoni nilidhani mnasingiziwa mlivyo kuwa wanafiki hadi nilipowashuhudia.

   5. Toa tafsiri na matumizi ya maneno "Mjanga" na "Mhesya".

   6. ACHENI UNAFIKI, MAJUNGU NA UMBEYA WANYAKYUSA. MTAMALIZWA MENO MIDOMONI. SHAURI LENU.

  6. Highlander's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th February 2012
   Posts : 3,150
   Rep Power : 1128
   Likes Received
   1060
   Likes Given
   1285

   Default Re: Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

   Nianze hivi. Kwamba mimi SI Mnyakyusa. Lakini nimefanya kazi katika wilaya za wanyakyusa kwa miaka mingi nikapendwa sana na watu hawa, wake kwa waume, vijana kwa wazee.

   Maelezo uliyoweka hapa ni maelezo ya wale wafanyakazi wa serikali wanaopewa kazi katika maeneo ya nchi hii bila hata chembe moja ya uwezo wa kuongoza watu. Unayoeleza ni matatizo ya kazi za kupewa kindugu bila hata kozi moja ya saikolojia ya eneo la kazi.

   Unapoingia kuongoza mahali unatakiwa kujua uongozi una vigezo viwili vya mamlaka: kuna kigezo cha mamlaka ya kiofisi, na kigezo cha mamlaka ya utu wako binafsi.

   Wewe na wengine mliochukiwa katika ardhi ya wanyakyusa mngeweza kuchukiwa mahali popote pengine, kwa sababu dalili zinaonesha mnatumia kigezo cha mamlaka ya ofisi zaidi kuongoza watu. Egemea zaidi kwenye personal authority badala ya positional authority utaheshimu walio chini yako ili wakurudishie heshima. Mimi nilifanikiwa kuishi na wanyakyusa kwa njia hiyo nikapewa hadi maeneo ya kujenga na mimi si mnyakyusa! Tatizo lenu wafanyakazi wa serikali mlio wengi ni vilaza katika masuala ya utawala na uongozi.

   Pili, umezungumzia Mji wa mbeya kulazimisha kuwa jiji. Sina hakina na uwezo wako wa kuchambua mambo. Kuna uzi humu ndani una picha za mji wa Mbeya miaka ya 1952. Kasimame vilima vya Uyole juu upige picha ya mji huu leo kisha ujiulize kama ---- tofauti. Utakuta Uyole inakaribia kushikana na Mbalizi. Hicho ni kigezo cha Saizi. Katafute takwimu za Sensa ya watu na makazi ya mwaka 1968 kwa mji wa Mbeya, linganisha idadi hiyo na idadi iliyopo leo uone kama haijazidi watu milioni.

   Umezungumzia suala ya migongano ya makabila pale Mbeya. Sijasikia makabila Mbeya kuchomeana nyumba kama ilivyotokea Kenya au Tarime. Weka pembeni kesi za mifugo iliyokatwa mapanga baada ya kula mazao kwenye mashamba yatu. Hili lilikuwa jinai inayoelezeka. Migogoro midogo midogo naiona kama ugomvi wa watoto katika nyumba yenye watoto wengi. Au hujawahi kusikia watoto wa baba mmoja na mama mmoja katika familia kubwa wakizozana?

   Mbeya ni mkoa mzuri sana katika hii Tanzania yetu ndugu. Tuache kama tulivyo....   Quote By Tabby View Post
   Hiyo ndiyo sifa mnatamani isomeke.

   1. Tabia zenu na ukabila umedumaza mji wa mbeya japo mmelazimisha liitwe jiji. Mgekuwa watu wa ukweli, mngekuwa mbali sana maana mna uwezo wa kupata kila kitu kinachohitajika kwa maendeleo. Ila tabia zenu, du!.

   2. Migongano katiaka halmashauri za wanyakyusa ni kwa ajli ya ukabila. Kila asiye mnyakyusa mnampiga vita,majungu aondoke ama apate matatizo kwa kuwa hamtaki kuongozwa na asiye mnyakyusa.

   3. Usiwadanganye watu kwamba eti mnaishi kwa amani na makabila mengine wakati kila mtu anawakimbia. Watu wakija kwenu wanapewa semina kabisa kwamba huko kuna wanyakyusa. Kijana akitaka kuona mbeya wanauliza kabila la mchumba. Kama anaoa mnyakyusa hapewi hongera badala yake anapewa pole.

   4. Pengine wadanganye ambao hawajakaa Mbey. Mimi niliishi mbeya miaka mitatu. Mwanzoni nilidhani mnasingiziwa mlivyo kuwa wanafiki hadi nilipowashuhudia.

   5. Toa tafsiri na matumizi ya maneno "Mjanga" na "Mhesya".

   6. ACHENI UNAFIKI, MAJUNGU NA UMBEYA WANYAKYUSA. MTAMALIZWA MENO MIDOMONI. SHAURI LENU.

  7. kwel2's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 30th December 2012
   Posts : 108
   Rep Power : 473
   Likes Received
   44
   Likes Given
   0

   Default Re: Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

   hakuna mtu mnafiki na mwenye wivu wa kijinga kama mnyakyusa ana wivu wakipumbafu hana cha uzalendo wala nini yeye akiona umepata anaumia sana na yupo radhi afanye lolote ulichonacho kipotee fuatilia utabaini yeye anataka awe yeye tu si mwingine.

  8. Tabby's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2008
   Posts : 5,818
   Rep Power : 429498304
   Likes Received
   3221
   Likes Given
   3615

   Default Re: Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

   Quote By Highlander View Post
   Nianze hivi. Kwamba mimi SI Mnyakyusa. Lakini nimefanya kazi katika wilaya za wanyakyusa kwa miaka mingi nikapendwa sana na watu hawa, wake kwa waume, vijana kwa wazee.

   Maelezo uliyoweka hapa ni maelezo ya wale wafanyakazi wa serikali wanaopewa kazi katika maeneo ya nchi hii bila hata chembe moja ya uwezo wa kuongoza watu. Unayoeleza ni matatizo ya kazi za kupewa kindugu bila hata kozi moja ya saikolojia ya eneo la kazi.

   Unapoingia kuongoza mahali unatakiwa kujua uongozi una vigezo viwili vya mamlaka: kuna kigezo cha mamlaka ya kiofisi, na kigezo cha mamlaka ya utu wako binafsi.

   Wewe na wengine mliochukiwa katika ardhi ya wanyakyusa mngeweza kuchukiwa mahali popote pengine, kwa sababu dalili zinaonesha mnatumia kigezo cha mamlaka ya ofisi zaidi kuongoza watu. Egemea zaidi kwenye personal authority badala ya positional authority utaheshimu walio chini yako ili wakurudishie heshima. Mimi nilifanikiwa kuishi na wanyakyusa kwa njia hiyo nikapewa hadi maeneo ya kujenga na mimi si mnyakyusa! Tatizo lenu wafanyakazi wa serikali mlio wengi ni vilaza katika masuala ya utawala na uongozi.

   Pili, umezungumzia Mji wa mbeya kulazimisha kuwa jiji. Sina hakina na uwezo wako wa kuchambua mambo. Kuna uzi humu ndani una picha za mji wa Mbeya miaka ya 1952. Kasimame vilima vya Uyole juu upige picha ya mji huu leo kisha ujiulize kama ---- tofauti. Utakuta Uyole inakaribia kushikana na Mbalizi. Hicho ni kigezo cha Saizi. Katafute takwimu za Sensa ya watu na makazi ya mwaka 1968 kwa mji wa Mbeya, linganisha idadi hiyo na idadi iliyopo leo uone kama haijazidi watu milioni.

   Umezungumzia suala ya migongano ya makabila pale Mbeya. Sijasikia makabila Mbeya kuchomeana nyumba kama ilivyotokea Kenya au Tarime. Weka pembeni kesi za mifugo iliyokatwa mapanga baada ya kula mazao kwenye mashamba yatu. Hili lilikuwa jinai inayoelezeka. Migogoro midogo midogo naiona kama ugomvi wa watoto katika nyumba yenye watoto wengi. Au hujawahi kusikia watoto wa baba mmoja na mama mmoja katika familia kubwa wakizozana?

   Mbeya ni mkoa mzuri sana katika hii Tanzania yetu ndugu. Tuache kama tulivyo....
   a
   i
   Hata hivyo bado huwezi kuubadili ukweli kwamba mko vile mlivyo!.

   Kulinganisha traits zenu na za makabila mengine critical kama ninyi na kuona zipi zina ahueni, hiyo ni agenda nyingine. LAKINI BADO HAITABADILI UKWEVLI WENU WANYAKYUSA!. MNA MATATIZO YA UNAFIKI, WIVU, MAJUNGU, UKABILA NA UBAGUZI WA HOVYO!. SASA KAMA UNAJUA MAKABILA MENGINE YENYE SIFA KAMA HIZI NA ZILE AMBAZO SIJAZISEMA KWA AJLI YA MAADILI, ANZISHA THREAD WATU WAFANYE HIYO ANALYSIS.

  9. Njowepo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2008
   Location : Santiago
   Posts : 8,564
   Rep Power : 22379
   Likes Received
   1249
   Likes Given
   1121

   Default Re: Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

   Quote By INGENJA View Post
   kama wewe ulivyo mnafiki,mshakunaku,mpambe,kihe lele...still Nyakyusa is Great Land,the strong symbol of a great Nation
   Wee mhanga nini maana umeponda nyuma ya pazia lazima itakuwa yamekukuta either uliwai ishi na mnyaki au akawa bosi wako akanyoka na wewe.
   Mnyaki full kujiamini na mtu anayejiamini ukichunguza ana vingi vya kujivunia.
   WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.

  10. Njowepo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2008
   Location : Santiago
   Posts : 8,564
   Rep Power : 22379
   Likes Received
   1249
   Likes Given
   1121

   Default Re: Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

   Quote By Tabby View Post
   You can say whatever you like but words shall never change your real rangi. Wanyakyusa ni watu wanafiki hujawahi kuona, wamejaa chuki na wivu kwa wageni na wajajidaji kujua vitu vyote kama unavyoonyesha hapa.

   HAKUNA MTU ALIYEFIKA MBEYA ASIYEWAFAHAMU RANGI YENU HALISI NA UNAFIKI WENU MKIWA UGENINI. UKWELI UNAUMA LAKINI NDIVYO MLIVYO!
   Ndo maana Mbeya imejaa wafanyabaishara wa Kikinga sijui nao ni wanyakyusa?Tena ata Mbunge wa mbeya mjini Mkinga
   Tumia akili yako to think and analyse issue properly.
   Nina shaka na wanaowaponda wanyaki humu na makabila watokako.Mfano iyo comement ikitoka kwa ------ au Mzalamo itakuwa correct bse Mnyaki na hao watu ni kama paka na panya wakati mmoja anaenda shamba uyu mwengine yuko kwenye bao,while mwengine yuko serious on issues uyu mwengine anamwita mwenzake mnoko
   Mbingu na ardhi......................... .......
   WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.

  11. IGWE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2011
   Location : Blue Plaza Building-Arusha
   Posts : 6,721
   Rep Power : 3716
   Likes Received
   2021
   Likes Given
   1906

   Default Re: Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

   Quote By Njowepo View Post

   well said...
   "We should learn to help others,not only in our prayer but also in daily life,if we cannot help them_then,the least thing we can do is to desist from harming them"

  12. Highlander's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th February 2012
   Posts : 3,150
   Rep Power : 1128
   Likes Received
   1060
   Likes Given
   1285

   Default Re: Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

   Ndugu, natoka Mbeya lakini si Mnyakyusa.
   Kuna makabila zaidi ya 10 kule. Kwa hiyo hizo alama ulizoweka katika nukuu yako zipo irrelevant.

   Unapotaja hulka ya wivu, majungu, unafiki na ukabila kama traits za Wanyakyusa peke yao kama kabila unatangaza ufinyu wako wa elimu.

   Ukisoma vitabu vya Shakespear, haya yote unakuta ndiyo kigezo kikubwa cha plot ya stori zile. Sinema zote duniani zinatengenezwa kuzunguka hulka hizi za mwanadamu kwa ujumla wake. Kule amerika kuna chama cha kikabila kinaitwa Ku Klux Klan (KKK). Wanyakyusa hawajaanzisha chama cha Wanyakyusa kama hicho cha KKK au hata kama chama cha Wachaga kama ilivyowahi kutokea Kilimanjaro miaka ya nyuma.

   Hulka ya wivu, majungu, unafiki na ukabila ni kasoro zilizopo katika viumbe wote wanaitwa binadamu. Na hii ni moja ya sababu why ni lazima katiba na sheria zote duniani na vitabu vya dini vyote zinaelekeza nguvu kupinga haya kwa sababu ni udhaifu unaopatikana katika dunia nzima.

   Ila nitakuelea ukisema kuna watu hapa Tanzania wana chuki binafsi na Wanyakyusa--and in fact ni chuki binafsi na mkoa wa Mbeya. Tatizo la hiyo chuki binafsi katika Serikali iliyopo madarakani ni kwamba itazaa matunda muda siyo mrefu. Itaanzia kwenye matokeo ya uchaguzi 2015 na kuendelea.

   Tuacheni kama tulivyo...

   Quote By Tabby View Post
   a
   i
   Hata hivyo bado huwezi kuubadili ukweli kwamba mko vile mlivyo!.

   Kulinganisha traits zenu na za makabila mengine critical kama ninyi na kuona zipi zina ahueni, hiyo ni agenda nyingine. LAKINI BADO HAITABADILI UKWEVLI WENU WANYAKYUSA!. MNA MATATIZO YA UNAFIKI, WIVU, MAJUNGU, UKABILA NA UBAGUZI WA HOVYO!. SASA KAMA UNAJUA MAKABILA MENGINE YENYE SIFA KAMA HIZI NA ZILE AMBAZO SIJAZISEMA KWA AJLI YA MAADILI, ANZISHA THREAD WATU WAFANYE HIYO ANALYSIS.

  13. Njowepo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2008
   Location : Santiago
   Posts : 8,564
   Rep Power : 22379
   Likes Received
   1249
   Likes Given
   1121

   Default Re: Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

   Unajua ata darasani vipanga hujitenga na vilaza na ata kwenye makabila ni ivyo ivyo.
   Take Wanyakyusa as your role model hasa katika yale unayoisi ni mazuri na faida kwako utafanikiwa.
   WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.

  14. Gulaya's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th February 2012
   Location : Mziragembei
   Posts : 602
   Rep Power : 616
   Likes Received
   160
   Likes Given
   64

   Default

   Quote By Kitaja View Post
   Mundende kule malawi maana yake ni gerezani,hebu tuambie wewe unatoka malawi au umeiga tu hilo jina
   kitaja njoo kinondoni afu uulizie maana ya mundende utajua maana yake tu.

  15. Wiyelele's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th November 2012
   Location : Here at JF
   Posts : 1,071
   Rep Power : 673
   Likes Received
   348
   Likes Given
   1159

   Default Re: Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

   Nyie mnaowatukana Wanyakyusa ni wapumbaf kabisa! Mchaga, Mhaya, Mnyakyusa ndo wajanja wa nchi hii kuongoza kielimu. Hata kwa vyuo wanaongoza! Sasa wewe wa Lindi, Mtwara, Kigoma na Phwani unathubutu kuwasema wanyakyusa? Nyamaza wewe!

  16. Mapolomoko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th February 2013
   Posts : 1,754
   Rep Power : 0
   Likes Received
   392
   Likes Given
   4

   Default Re: Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

   Umapigwa badara ya kujibu unatoa binti akaolewe? ha ha ha ha ha,kye kye kye kyeeeeee

  17. Tabby's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2008
   Posts : 5,818
   Rep Power : 429498304
   Likes Received
   3221
   Likes Given
   3615

   Default Re: Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

   Quote By Highlander View Post
   Ndugu, natoka Mbeya lakini si Mnyakyusa.
   Kuna makabila zaidi ya 10 kule. Kwa hiyo hizo alama ulizoweka katika nukuu yako zipo irrelevant.

   Unapotaja hulka ya wivu, majungu, unafiki na ukabila kama traits za Wanyakyusa peke yao kama kabila unatangaza ufinyu wako wa elimu.

   Ukisoma vitabu vya Shakespear, haya yote unakuta ndiyo kigezo kikubwa cha plot ya stori zile. Sinema zote duniani zinatengenezwa kuzunguka hulka hizi za mwanadamu kwa ujumla wake. Kule amerika kuna chama cha kikabila kinaitwa Ku Klux Klan (KKK). Wanyakyusa hawajaanzisha chama cha Wanyakyusa kama hicho cha KKK au hata kama chama cha Wachaga kama ilivyowahi kutokea Kilimanjaro miaka ya nyuma.

   Hulka ya wivu, majungu, unafiki na ukabila ni kasoro zilizopo katika viumbe wote wanaitwa binadamu. Na hii ni moja ya sababu why ni lazima katiba na sheria zote duniani na vitabu vya dini vyote zinaelekeza nguvu kupinga haya kwa sababu ni udhaifu unaopatikana katika dunia nzima.

   Ila nitakuelea ukisema kuna watu hapa Tanzania wana chuki binafsi na Wanyakyusa--and in fact ni chuki binafsi na mkoa wa Mbeya. Tatizo la hiyo chuki binafsi katika Serikali iliyopo madarakani ni kwamba itazaa matunda muda siyo mrefu. Itaanzia kwenye matokeo ya uchaguzi 2015 na kuendelea.

   Tuacheni kama tulivyo...

   Wanyakyusa mnajulikana hata mkikataa. Sasa hivi kila anayeandika hapa anajitetea kwa mapovu huku akisema yeye si mnyakyusa. Mwenye elimu hakatai kabila lake eti kwa sababu atadhalilika. Unatakiwa kutetea tabia zenu za uf--ka na hayo hapo juu ili uieliimishe jamii kwamba siyo mabaya.

   Mtoa mada kaandika anayoyasikia kuhusu wanyakyusa. Wakinga hamuwawezi kwa sababu wao ni watu wa kazi si majungu kama ninyi. Sugu mlimpa kura kwa sababu wakinga walimsimamia na kufacilitate kwa ma milioni yao wala usiidanganye dunia kwamba Sugu kawekwa na ninyi wenye wivu.

   Mbeya mjini hamtakiwi na ukabila wenu unakwama kwa sababu hata wa Safwa hawawataki kwa ajili ya uozo wenu. Na isiitoshe mjini ni kwa wasafwa siyo kwenu ndiyo maana mnaishia kupiga majungu lakini pana wawia vigumu ku-dominate kwa asilimia kubwa.

   Bahati nzuri sijawahi kufanya kazi ya kuajiriwa. POLENI WENYE KUFANYA KAZI OFISI MOJA NA WANYAKYUSA. MIJITETEE SANA. HAKUNA MTU ALIYESEMA KWAMBA TABIA ZENU ZA MAJUNGU, FITINA, UWONGO, UF..SKA, WIVU UNAFIKI NI MBAYA. NI NZURI TU ZINAPENDEZA SAAAANA!. MSIONE HAYA HADI MNAANZA KUKATAA KABILA LENU.

   VIVA WASOKILEE!

  18. IGWE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2011
   Location : Blue Plaza Building-Arusha
   Posts : 6,721
   Rep Power : 3716
   Likes Received
   2021
   Likes Given
   1906

   Default Re: Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

   Quote By Tabby View Post
   Wanyakyusa mnajulikana hata mkikataa. Sasa hivi kila anayeandika hapa anajitetea kwa mapovu huku akisema yeye si mnyakyusa. Mwenye elimu hakatai kabila lake eti kwa sababu atadhalilika. Unatakiwa kutetea tabia zenu za uf--ka na hayo hapo juu ili uieliimishe jamii kwamba siyo mabaya.

   Mtoa mada kaandika anayoyasikia kuhusu wanyakyusa. Wakinga hamuwawezi kwa sababu wao ni watu wa kazi si majungu kama ninyi. Sugu mlimpa kura kwa sababu wakinga walimsimamia na kufacilitate kwa ma milioni yao wala usiidanganye dunia kwamba Sugu kawekwa na ninyi wenye wivu.

   Mbeya mjini hamtakiwi na ukabila wenu unakwama kwa sababu hata wa Safwa hawawataki kwa ajili ya uozo wenu. Na isiitoshe mjini ni kwa wasafwa siyo kwenu ndiyo maana mnaishia kupiga majungu lakini pana wawia vigumu ku-dominate kwa asilimia kubwa.

   Bahati nzuri sijawahi kufanya kazi ya kuajiriwa. POLENI WENYE KUFANYA KAZI OFISI MOJA NA WANYAKYUSA. MIJITETEE SANA. HAKUNA MTU ALIYESEMA KWAMBA TABIA ZENU ZA MAJUNGU, FITINA, UWONGO, UF..SKA, WIVU UNAFIKI NI MBAYA. NI NZURI TU ZINAPENDEZA SAAAANA!. MSIONE HAYA HADI MNAANZA KUKATAA KABILA LENU.

   VIVA WASOKILEE!
   Wewe ni mjinga ni wa kupuuzwa.
   "We should learn to help others,not only in our prayer but also in daily life,if we cannot help them_then,the least thing we can do is to desist from harming them"

  19. Tabby's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2008
   Posts : 5,818
   Rep Power : 429498304
   Likes Received
   3221
   Likes Given
   3615

   Default Re: Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

   Quote By IGWE View Post
   Wewe ni mjinga ni wa kupuuzwa.
   Wanyakyusa eti "Kilio kilinoga.." tangul lini kilio kikanoga kana siyo laana? "Gwali gwa mbobo... mbombo migombani hata siku za mazishi!" Loooooooh, mtamdanganya nani? Fiki gwa myitu? ACHENI UNAFIKI, UF...KA, MAJUNGU NA WIVU.

   KAMA NI MAZURI KWA NINI MNAONA HAYA HADI MNAANZA KUSEMA ETI SI WANYAKYUSA. POLENI ZENU!. NASIKIA SASA HIVI ETI MNATAKA RAISI LAZIMA 2015 ATOKE MBEYA!. NANI AWAPE NCHI WATU WAGUMU NA WANAFIKI WABAGUZI NA WA BINAFSI KAMA WANYAKYUSA? LABDA KABILA LINGINE LAKINI SIYO NINYI WATU.

   ENDELEENI KUWADANGANYA WALE WASIOWANYAKYUSA NA AMBAO HAWAJAFIKA KWENU. UNAFIKI WENU UNAWASAIDIA KWA MUDA UGENINI. TAHADHARI SANA KWA WALE WENYE JIRANI ZAO WANYAKYUSA. USIMWAMINI MNYAKYUSA KWA KITU CHOCHOTE. SI WATU HAWA!

   ILA SINA MAANA MUWACHUKIE NA KUENDELEA KUWANG'OA MENO NA KUCHA. HAPANA. ILA MSIWAONEEE HAYA. HAWANA MAANA HAWA!.

   UNE NSUMWIKE KU LUKOMANO!.

  20. Tabby's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2008
   Posts : 5,818
   Rep Power : 429498304
   Likes Received
   3221
   Likes Given
   3615

   Default Re: Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

   Quote By Wiyelele View Post
   Nyie mnaowatukana Wanyakyusa ni wapumbaf kabisa! Mchaga, Mhaya, Mnyakyusa ndo wajanja wa nchi hii kuongoza kielimu. Hata kwa vyuo wanaongoza! Sasa wewe wa Lindi, Mtwara, Kigoma na Phwani unathubutu kuwasema wanyakyusa? Nyamaza wewe!

   Siku zote mtu mnafiki hapendi ajulikane ili aendelee kuwatafuna watu ndani kwa ndani. Najua unaumia kwa kuumbuka. Lakini tunawaambia watu ukweli wenu ili wawafahamu kusudi msiendelee kuwaangamiza kwa wivu na majungu yenu ya uwongo!. Ni lazima kila alipo mnyakyusa jamii ichukue tahadhari. Vinginevyo mtagongana na kumalizana lakini kikulacho ni hao wanyakyusa wasiomtakia mtu yeyote mema.

   Kwa herini.

  21. IGWE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2011
   Location : Blue Plaza Building-Arusha
   Posts : 6,721
   Rep Power : 3716
   Likes Received
   2021
   Likes Given
   1906

   Default Re: Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

   Quote By Tabby View Post
   Wanyakyusa eti "Kilio kilinoga.." tangul lini kilio kikanoga kana siyo laana? "Gwali gwa mbobo... mbombo migombani hata siku za mazishi!" Loooooooh, mtamdanganya nani? Fiki gwa myitu? ACHENI UNAFIKI, UF...KA, MAJUNGU NA WIVU.

   KAMA NI MAZURI KWA NINI MNAONA HAYA HADI MNAANZA KUSEMA ETI SI WANYAKYUSA. POLENI ZENU!. NASIKIA SASA HIVI ETI MNATAKA RAISI LAZIMA 2015 ATOKE MBEYA!. NANI AWAPE NCHI WATU WAGUMU NA WANAFIKI WABAGUZI NA WA BINAFSI KAMA WANYAKYUSA? LABDA KABILA LINGINE LAKINI SIYO NINYI WATU.

   ENDELEENI KUWADANGANYA WALE WASIOWANYAKYUSA NA AMBAO HAWAJAFIKA KWENU. UNAFIKI WENU UNAWASAIDIA KWA MUDA UGENINI. TAHADHARI SANA KWA WALE WENYE JIRANI ZAO WANYAKYUSA. USIMWAMINI MNYAKYUSA KWA KITU CHOCHOTE. SI WATU HAWA!

   ILA SINA MAANA MUWACHUKIE NA KUENDELEA KUWANG'OA MENO NA KUCHA. HAPANA. ILA MSIWAONEEE HAYA. HAWANA MAANA HAWA!.

   UNE NSUMWIKE KU LUKOMANO!.
   Yaani wewe jamaa una chuki na sisi hamna mfano,.....duuuh

   Nngusulumanyia fijo bamiutu
   "We should learn to help others,not only in our prayer but also in daily life,if we cannot help them_then,the least thing we can do is to desist from harming them"

  Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...