ndg,zangu wana mwanza,napenda kuwapa pole na harakati za kuelekea leo saa 6;00 usiku kuzimiwa mitambo ya analogia na kuingia rasmi,digitali,swali langu kwenu,tunajua kuna kingamuzi kinaitwa digitek,ambacho ni ushirika wa makampuni 2,yaani saara midia na ipp midia,jina lake na contnento,kimekua kiki tangazwa sana na star tv na itv,kwamba kitakua hewani ivikaribuni mpaka tumechoka sasa kila siku hadithi njoo uongo njoo utamu kolea,je huo mwanza vimesha wekwa sokoni,na orodha za chaneli zake,na bei ni shlng ngapi,naomba mwenye ditels atujuze,hapa,asanteni,

Reply With Quote


Follow Us Here