JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Mwenge: Majambazi wawapora mzigo mzito (Mamillioni) Wachina kwenye foleni...

  Report Post
  Page 1 of 4 123 ... LastLast
  Results 1 to 20 of 70
  1. lara 1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th June 2012
   Posts : 9,721
   Rep Power : 172138474
   Likes Received
   11601
   Likes Given
   5624

   Default Mwenge: Majambazi wawapora mzigo mzito (Mamillioni) Wachina kwenye foleni...

   Vijana wa kazi wakiwa juu ya boda boda na silaha za kivita wavamia Noah ya wachina, na kuitoboa toboa na risasi kidogo kisha kunyakua mamillion ya wachina hao na kutokomea nayo kusiko julikana na kuwaacha wachina wamepagawa!

   Wachina waonekana wakihaha na kuchanganyikiwa. Yote hayo yamejiri mwenge jioni hii.

   Ukisafirisha hela usimnong'oneze hata mkeo, watu washajichokea maisha mda huu, wanakwapua chochote kilicho mbele yao.
   KIM JONG UNG THE SECOND!
  2. Zamaulid's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2009
   Location : PANDAGI CHIZA
   Posts : 5,576
   Rep Power : 1751
   Likes Received
   1534
   Likes Given
   921

   Default Re: Majambazi kwenye bodaboda wapora mzigo mzito (Mamillioni) kwa Wachin kwenye foleni Mwenge mda hu

   mamilioni ya wachina!!

  3. zumbemkuu's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 11th September 2010
   Location : street dweller
   Posts : 7,496
   Rep Power : 11616507
   Likes Received
   3220
   Likes Given
   10717

   Default Re: Majambazi kwenye bodaboda wapora mzigo mzito (Mamillioni) kwa Wachin kwenye foleni Mwenge mda hu

   bora, manake huo mzigo ulikuwa wa kwenda kuhamisha watu, nusu ya ardhi ya dsm na pwani nahisi imenunuliwa na wachina na wahindi.
   ''Overcome the devils with a thing called love'' bob marley

  4. Chimunguru's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd May 2009
   Posts : 8,917
   Rep Power : 2440
   Likes Received
   1630
   Likes Given
   897

   Default Re: Majambazi kwenye bodaboda wapora mzigo mzito (Mamillioni) kwa Wachin kwenye foleni Mwenge mda hu

   duh hao wachina watajuta kuifahamu bongo

  5. #5
   Yegoo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th November 2012
   Posts : 1,188
   Rep Power : 631
   Likes Received
   312
   Likes Given
   195

   Default Re: Majambazi kwenye bodaboda wapora mzigo mzito (Mamillioni) kwa Wachin kwenye foleni Mwenge mda hu

   Du! Napunguza marafiki kuanzia sasa!

  6. Clean9

  7. lara 1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th June 2012
   Posts : 9,721
   Rep Power : 172138474
   Likes Received
   11601
   Likes Given
   5624

   Default Re: Majambazi kwenye bodaboda wapora mzigo mzito (Mamillioni) kwa Wachin kwenye foleni Mwenge mda hu

   Quote By Zamaulid View Post
   mamilioni ya wachina!!
   Mamillion ya wachina HAO!!!!!!!! Usijifanye hao hukuiona!
   KIM JONG UNG THE SECOND!  8. Zamaulid's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2009
   Location : PANDAGI CHIZA
   Posts : 5,576
   Rep Power : 1751
   Likes Received
   1534
   Likes Given
   921

   Default Re: Majambazi kwenye bodaboda wapora mzigo mzito (Mamillioni) kwa Wachin kwenye foleni Mwenge mda hu

   Quote By lara 1 View Post
   Mamillion ya wachina HAO!!!!!!!! Usijifanye hao hukuiona!
   kujifanya tena!!!!

  9. Kyoombe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd September 2011
   Posts : 465
   Rep Power : 547
   Likes Received
   83
   Likes Given
   0

   Default Re: Majambazi kwenye bodaboda wapora mzigo mzito (Mamillioni) kwa Wachin kwenye foleni Mwenge mda hu

   mamimilioni ya pesa au mamilioni ya wachina?
   Zamaulid likes this.

  10. magohe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st May 2011
   Posts : 670
   Rep Power : 606
   Likes Received
   133
   Likes Given
   23

   Default Re: Majambazi kwenye bodaboda wapora mzigo mzito (Mamillioni) kwa Wachin kwenye foleni Mwenge mda hu

   An armed bandits at work!!!

  11. Petro E. Mselewa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th December 2012
   Posts : 2,370
   Rep Power : 862
   Likes Received
   1850
   Likes Given
   384

   Default Re: Majambazi kwenye bodaboda wapora mzigo mzito (Mamillioni) kwa Wachin kwenye foleni Mwenge mda hu

   Habari hii ni kweli ikizingatiwa kuwa lara 1 hajawahi kupost chochote hapa. Poleni sana wachina.
   "In other words freedom of association implies freedom to associate and freedom not to associate." African Court in Human and People Rights

  12. Zamaulid's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2009
   Location : PANDAGI CHIZA
   Posts : 5,576
   Rep Power : 1751
   Likes Received
   1534
   Likes Given
   921

   Default Re: Majambazi kwenye bodaboda wapora mzigo mzito (Mamillioni) kwa Wachin kwenye foleni Mwenge mda hu

   Quote By Kyoombe View Post
   mamimilioni ya pesa au mamilioni ya wachina?
   safi sana Kyoombe!!huyu anatuharibia kiswahili chetu!

  13. Zamaulid's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2009
   Location : PANDAGI CHIZA
   Posts : 5,576
   Rep Power : 1751
   Likes Received
   1534
   Likes Given
   921

   Default Re: Majambazi kwenye bodaboda wapora mzigo mzito (Mamillioni) kwa Wachin kwenye foleni Mwenge mda hu

   Quote By Petro E. Mselewa View Post
   Habari hii ni kweli ikizingatiwa kuwa lara 1 hajawahi kupost chochote hapa.
   hiyo siyo justification ya authentic ya information!!!!
   TUJITEGEMEE likes this.

  14. measkron's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2011
   Posts : 2,909
   Rep Power : 14567843
   Likes Received
   1536
   Likes Given
   3195

   Default Re: Majambazi kwenye bodaboda wapora mzigo mzito (Mamillioni) kwa Wachin kwenye foleni Mwenge mda hu

   Quote By lara 1 View Post
   Mamillion ya wachina HAO!!!!!!!! Usijifanye hao hukuiona!
   lara 1, huyu atakuwa kazoea wachina na vitu feki anadhani hata pesa zao zitakuwa feki.......ha ha haaaa!

  15. Manyi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th December 2011
   Posts : 3,202
   Rep Power : 1083
   Likes Received
   575
   Likes Given
   376

   Default Re: Mwenge: Majambazi wawapora mzigo mzito (Mamillioni) Wachina kwenye foleni...

   Wapuuzi acha waibiwe tu, kuna watu wanafanya kazi za kusafirisha fedha, CIT, malipo kidogo tu na fedha zinakuwa salama, wakiibiwa CIT, unalipwa.

  16. Nivea's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st May 2012
   Posts : 7,270
   Rep Power : 86133196
   Likes Received
   4413
   Likes Given
   5298

   Default Re: Mwenge: Majambazi wawapora mzigo mzito (Mamillioni) Wachina kwenye foleni...

   Safi sana wangewaua kabisa

  17. Mshumaaa's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 26th September 2012
   Posts : 147
   Rep Power : 430
   Likes Received
   8
   Likes Given
   6

   Default Re: Mwenge: Majambazi wawapora mzigo mzito (Mamillioni) Wachina kwenye foleni...

   Mamilioni yenyewe yatakuwa ya kichina chezea wachina weye
   Lokissa likes this.

  18. myhem's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st November 2010
   Posts : 882
   Rep Power : 646
   Likes Received
   297
   Likes Given
   79

   Default Re: Mwenge: Majambazi wawapora mzigo mzito (Mamillioni) Wachina kwenye foleni...

   Mbona wengi mnaochangia huu uzi pamoja na mtoa mada mnaonekana kama vile mmefurahia watu kukwapua hayo mamilioni ya kichina
   MSUMALI and Bukyanagandi like this.

  19. master peace's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th December 2012
   Posts : 1,455
   Rep Power : 680
   Likes Received
   439
   Likes Given
   390

   Default Re: Mwenge: Majambazi wawapora mzigo mzito (Mamillioni) Wachina kwenye foleni...

   Thanks huo ndo mgawanyo wa rasilimali za wadanganyika.

  20. Mr. President's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th November 2010
   Location : Black House
   Posts : 2,387
   Rep Power : 976
   Likes Received
   615
   Likes Given
   11

   Default

   Quote By Petro E. Mselewa View Post
   Habari hii ni kweli ikizingatiwa kuwa lara 1 hajawahi kupost chochote hapa. Poleni sana wachina.

   Poorest reasoning ability.........!!!!

  21. Manyi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th December 2011
   Posts : 3,202
   Rep Power : 1083
   Likes Received
   575
   Likes Given
   376

   Default

   Quote By myhem View Post
   Mbona wengi mnaochangia huu uzi pamoja na mtoa mada mnaonekana kama vile mmefurahia watu kukwapua hayo mamilioni ya kichina
   Kwasababu ya ubahiri wao hao Wachina

  Page 1 of 4 123 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...