JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Mtwara: Gari la 'Afisa Usalama' lapondwa mawe Msimbati

  Report Post
  Page 1 of 9 123 ... LastLast
  Results 1 to 20 of 179
  1. Chasoda's Avatar
   Member Array
   Join Date : 26th December 2012
   Posts : 66
   Rep Power : 466
   Likes Received
   31
   Likes Given
   0

   Default Mtwara: Gari la 'Afisa Usalama' lapondwa mawe Msimbati

   Habari za uhakika nilizozipata sasa hivi toka Msimbati zinasema kuwa kuna gari ya afisa usalama wa taifa mmoja toka Dar linapondwa kwa mawe na wananchi wenye hasira.

   Afisa usalama huyo inadaiwa ametumwa na viongozi wa juu wa serkali ili aje amshawishi bibi mmoja anaedaiwa kuwa na uwezo wa kuizuia gesi isitoke kwenda Dar kwa njia ya bomba.

   Bibi huyo inasemekana ndio mwenye kijiji hicho alishasema wazi kuwa gesi HAITOKI Mtwara kauli iliyowafanya hata viongozi kupata wasiwasi ivo kumtuma mtu huyo ili amshawishi gas itoke.

   Wakati akiongea na bibi huyo aliwaita wajukuu zake ili wamsikilize. NDIPO Vurugu kubwa ikaibuka na mwanausalama akatimua mbio na kuliacha gari yake maana watu walikuwa wengi.

   Na habari zilizonifikia sasa ni kwamba gari hiyo imechomwa moto.


  2. muonamambo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd September 2010
   Posts : 748
   Rep Power : 723
   Likes Received
   314
   Likes Given
   2483

   Default re: Mtwara: Gari la 'Afisa Usalama' lapondwa mawe Msimbati

   JF.............

  3. dada jane's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th December 2011
   Posts : 566
   Rep Power : 621
   Likes Received
   113
   Likes Given
   19

   Default re: Mtwara: Gari la 'Afisa Usalama' lapondwa mawe Msimbati

   Mmh Tanzania sasa imekosa mwelekeo.

  4. #4
   TIQO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2011
   Posts : 13,875
   Rep Power : 8840
   Likes Received
   1923
   Likes Given
   220

   Default re: Mtwara: Gari la 'Afisa Usalama' lapondwa mawe Msimbati

   Let me stay tuned

  5. NEPTUNE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2013
   Posts : 354
   Rep Power : 521
   Likes Received
   70
   Likes Given
   142

   Default re: Mtwara: Gari la 'Afisa Usalama' lapondwa mawe Msimbati

   Nasubiri kuona gesi ikizuiwa na Bibi kufika Dar.


  6. Ndahani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd June 2008
   Location : Somewhere
   Posts : 11,261
   Rep Power : 4470
   Likes Received
   3568
   Likes Given
   6900

   Default re: Mtwara: Gari la 'Afisa Usalama' lapondwa mawe Msimbati

   Nchi hii kuna watu wanaamini kiasi hiki ushirikina?

  7. Mzee Mwanakijiji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th March 2006
   Location : Kijijini
   Posts : 32,118
   Rep Power : 87995664
   Likes Received
   24672
   Likes Given
   13382

   Default re: Mtwara: Gari la 'Afisa Usalama' lapondwa mawe Msimbati

   Lazima awe na undugu na Kibibi Gula wa "Usiku wa Manane" akilindwa na kina mzee Ole.
   [email protected]
   The Best of Tanzanian Socio-Political Blogging - http://www.mwanakijiji.com

  8. #8
   Domy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th December 2011
   Location : EARTH
   Posts : 4,710
   Rep Power : 2151
   Likes Received
   1059
   Likes Given
   78

   Default

   Quote By Ndahani View Post
   Nchi hii kuna watu wanaamini kiasi hiki ushirikina?
   Gesi kutofika dar ni ushirikina?

  9. kinakirefu's Avatar
   Member Array
   Join Date : 20th January 2013
   Posts : 75
   Rep Power : 465
   Likes Received
   13
   Likes Given
   4

   Default re: Mtwara: Gari la 'Afisa Usalama' lapondwa mawe Msimbati

   bibi kaza buti

  10. MR. ABLE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th April 2012
   Posts : 1,479
   Rep Power : 786
   Likes Received
   799
   Likes Given
   1471

   Default re: Mtwara: Gari la 'Afisa Usalama' lapondwa mawe Msimbati

   Mpaka bibi ameichoka serikali ya chama cha mapinduzi na ahadi zao hewa na sasa kakataa kudanganyika, basi ujue 2015 ccm inazikwa mazima.

   Nakupa Hongera sana bibi yetu kazia hapohapo gesi isitike Mtwara, nasi tupo nyuma yako.
   Wale ambao wameazimia kuwa matajiri, huanguka ktk jaribu na mtego na tamaa nyingi za kijinga na zenye kudhuru. 1TIMOTHEO 6:9

  11. Kalitike's Avatar
   Member Array
   Join Date : 3rd January 2013
   Posts : 88
   Rep Power : 469
   Likes Received
   30
   Likes Given
   0

   Default re: Mtwara: Gari la 'Afisa Usalama' lapondwa mawe Msimbati

   Serikali ya kichawi bwana, usikute walimtuma huyo mwanausalama akammalize bibi wa watu

  12. Bahati furaha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th July 2012
   Location : Tanganyika
   Posts : 925
   Rep Power : 662
   Likes Received
   181
   Likes Given
   112

   Default re: Mtwara: Gari la 'Afisa Usalama' lapondwa mawe Msimbati

   Hebu tufafanulie kidogo:- Huyo bibi kamilikishwa hicho kijiji kiserikali au anakimiliki kimila?- Bibi huyo ana ushawishi kiasi gani kwa wanakijiji?- Tittle yake hapo kijijini ni nani?- Je, anatumia ushawishi wa hoja au anayo njia nyingine!NB: Isijekuwa 'muungwan' aliwatengenezea viongozi wetu madaraka sasa wanajua akiaribu nao wamearibikiwa!!!

  13. TEMILUGODA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th February 2012
   Posts : 1,368
   Rep Power : 73144097
   Likes Received
   239
   Likes Given
   1

   Default

   Quote By dada jane View Post
   Mmh Tanzania sasa imekosa mwelekeo.
   Nyumba inavuja!

  14. twatwatwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th September 2011
   Location : morogoro
   Posts : 1,884
   Rep Power : 896
   Likes Received
   307
   Likes Given
   3

   Default re: Mtwara: Gari la 'Afisa Usalama' lapondwa mawe Msimbati

   mambo ya kaburi ia kiyeyeu haya au kakobe na umeme wa ngereja ?

  15. Idimi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th March 2007
   Location : Ikwiriri
   Posts : 7,549
   Rep Power : 85915144
   Likes Received
   2004
   Likes Given
   1026

   Default

   Quote By Ndahani View Post
   Nchi hii kuna watu wanaamini kiasi hiki ushirikina?
   Sio ushirikina, ni uhujumu wa miundombinu ya gesi (sabotage). Vikongwe wa namna hiyo wana ushawishi mkubwa na wanaheshimika!

  16. my web's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd December 2012
   Posts : 1,604
   Rep Power : 774
   Likes Received
   232
   Likes Given
   1

   Default re: Mtwara: Gari la 'Afisa Usalama' lapondwa mawe Msimbati

   kama bb anaweza kwa nn mliandamana

  17. Bigirita's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th February 2007
   Location : 3.0758° S, 37.3533° E
   Posts : 13,157
   Rep Power : 171804296
   Likes Received
   4129
   Likes Given
   5895

   Default re: Mtwara: Gari la 'Afisa Usalama' lapondwa mawe Msimbati

   Quote By MR. ABLE View Post
   Mpaka bibi ameichoka serikali ya chama cha mapinduzi na ahadi zao hewa na sasa kakataa kudanganyika, basi ujue 2015 ccm inazikwa mazima.

   Nakupa Hongera sana bibi yetu kazia hapohapo gesi isitike Mtwara, nasi tupo nyuma yako.
   Kumbuka huyu ni bibi asiyejua kusoma wala kuandika na hajui kiswahili zaidi ya neno moja la kuotea.
   * LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.....by nngu007 wa JF

  18. Tango73's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2008
   Posts : 1,675
   Rep Power : 999
   Likes Received
   535
   Likes Given
   3

   Default re: Mtwara: Gari la 'Afisa Usalama' lapondwa mawe Msimbati

   serikali ingetumia wanauslama kutaka kujua majina ya wezi wa pesa zetu walizoficha uswiss kwanjia kama hii, basi tungefika mbali. lakini kutumia njia hii eti kumshawishi bb aruhusu gesi ije mzizima, ni bado wakomunisti!!!!

  19. Tango73's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2008
   Posts : 1,675
   Rep Power : 999
   Likes Received
   535
   Likes Given
   3

   Default re: Mtwara: Gari la 'Afisa Usalama' lapondwa mawe Msimbati

   Quote By Chasoda View Post
   Habari za uhakika nilizozipata sasa iv toka msimbati zinasema kuwa kuna gari ya afisa usalama wa taifa mmoja toka dar linapondwa kwa mawe na wananchi wenye hasira. Afisa usalama huyo inadaiwa ametumwa na viongozi wa juu wa serkali ili aje amshawishi bibi mmoja anaedaiwa kuwa na uwezo wa kuizuia gesi istoke kwenda dar kwa njia ya bomba.bb huyo inasemekana ndio mwenye kijiji hicho alishasema wazi kuwa gesi HATOKI mtwara kauli iliyowafanya hata viongozi kupata wasiwasi ivo kumtuma mtu huyo ili amshawishi gas itoke .wakati akiongea na bb huyo aliwaita wajukuu zake ili wamsikilize.NDIPO Vurugu kubwa ikaibuka na mwanausalama akatimua mbio na kuliacha gari yake maana watu walikuwa wengi. Na habari zilizonifikia sasa ni kwamba gari hiyo imechomwa moto.
   huyu bibi ni shujaa kitaifa kuliko mkwawa, isike au kinjekitile! kaza uzi bibi weeeee!

  20. MAMA POROJO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2007
   Posts : 4,977
   Rep Power : 1999
   Likes Received
   713
   Likes Given
   434

   Default re: Mtwara: Gari la 'Afisa Usalama' lapondwa mawe Msimbati

   hata Askofu kakobe alitishia umeme wa nguzo za Tanesco atauzuia kupita kwa maombi kanisani kwani lakini bado ukapita


  Page 1 of 9 123 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...