JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Ving'amuzi vya StarTimes ni takataka

  Report Post
  Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
  Results 21 to 40 of 69
  1. Kariongo's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 5th April 2012
   Posts : 115
   Rep Power : 507
   Likes Received
   5
   Likes Given
   0

   Default Ving'amuzi vya StarTimes ni takataka

   yaani picha ni full kukwama. Najuta kununua.

  2. #21
   Jaim's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th December 2012
   Posts : 1,258
   Rep Power : 793
   Likes Received
   260
   Likes Given
   2

   Default Re: Ving'amuzi vya StarTimes ni takataka

   Sina hakiki uko eneogani kijiografia. Mfano mimi niko mbezi bondeni yaani mtu wa nyumba 3 namuona kama yuko ghorafa ya 3 hivi natumia mringoti mt25 hivi unapozingu kutafuta uelekeo ni vema uwe mtu wa pili wkt unarekibisha mwenzio anakusome signal. Sijui nimekujibu Jolyjoly.

  3. Brooklyn's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th March 2009
   Posts : 1,426
   Rep Power : 672
   Likes Received
   216
   Likes Given
   87

   Default Re: Ving'amuzi vya StarTimes ni takataka

   Hii mambo ya milingoti na digitali wapi na wapi?

   Startimes wanasema ukiona king'amuzi hakishiki vizuri unatakiwa kuongeza urefu wa mlingoti, haya mambo ndo yamepitwa na wakati!

   TCRA ni bora iwaambie wananchi wanunue decoder na dish za free channels ambazo hazisumbui na ziko stable.

   Ndo maana mi nimeamua nibaki na kitu cha DStv changu, sina tatizo na mtu mwaka wa sita huu! Watoto watakuja kudondoka juu ya mapaa bure eti kisa unatafuta mwelekeo wa kisarawe!

   Unatoka kazini kusaka mishiko, unafika home unawasha TV ili ujiburudishe na viuno vya shilole, unaanza kuona scratches na mapumziko yako yooote yanaharibika.

   Kama serikali haitokubaliana na DStv kuongeza local channel, basi mi habari za bongo ntakuwa nazipatia JF na kwenye social media zingine lakini siko tayari kuweka takataka nyumbani kwangu.

  4. #23
   Jaim's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th December 2012
   Posts : 1,258
   Rep Power : 793
   Likes Received
   260
   Likes Given
   2

   Default Re: Ving'amuzi vya StarTimes ni takataka

   Mimi si mwajiliwa startime wala TBC na wala si promo sababu sifanyi nao biashara nia kutoa kile ninachokijua kiufundi nawe kikusaidie si unahitaji kuona. ni jibu lako Mduu/mamaya.

  5. Mamaya's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th July 2011
   Location : AROUND THE WORLD
   Posts : 3,102
   Rep Power : 1302
   Likes Received
   845
   Likes Given
   610

   Default

   Quote By Brooklyn View Post

   mkuuu umeona eeeh!mambo ya mlingoti na digital wapi na wapi? Mambo ya kuseti mlingoti sijui urefu gan,aaaah wakati dishi hata ulkiliweka chini unapata signal.upuuuzi mtupu hawa astartimes,nanahasira nao kweli.yaani kingamuzi chao bora ningenunua kuku nile.

  6. Mamaya's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th July 2011
   Location : AROUND THE WORLD
   Posts : 3,102
   Rep Power : 1302
   Likes Received
   845
   Likes Given
   610

   Default

   Quote By Jaim View Post
   Mimi si mwajiliwa startime wala TBC na wala si promo sababu sifanyi nao biashara nia kutoa kile ninachokijua kiufundi nawe kikusaidie si unahitaji kuona. ni jibu lako Mduu/mamaya.
   mkuu Jaim hv umeshasikia mtu wa dstv au zuku analalamika kwa habari za signal? Ukubali ukatae startimes wana matatizo kuanzia signal streng zao maana haziko stable na hazina ubora wa picha,na hata stasheni zao ni za kimburula..swala la ufundi hata kwenye Fta dish istalation nafanya mwenyewe na hata kutafusta signal strength,why star times iwe inasumbumbua sumbua.

  7. #26
   Jaim's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th December 2012
   Posts : 1,258
   Rep Power : 793
   Likes Received
   260
   Likes Given
   2

   Default

   Quote By Brooklyn View Post
   Hii mambo ya milingoti na digitali wapi na wapi?

   Startimes wanasema ukiona king'amuzi hakishiki vizuri unatakiwa kuongeza urefu wa mlingoti, haya mambo ndo yamepitwa na wakati!

   TCRA ni bora iwaambie wananchi wanunue decoder na dish za free channels ambazo hazisumbui na ziko stable.

   Ndo maana mi nimeamua nibaki na kitu cha DStv changu, sina tatizo na mtu mwaka wa sita huu! Watoto watakuja kudondoka juu ya mapaa bure eti kisa unatafuta mwelekeo wa kisarawe!

   Unatoka kazini kusaka mishiko, unafika home unawasha TV ili ujiburudishe na viuno vya shilole, unaanza kuona scratches na mapumziko yako yooote yanaharibika.

   Kama serikali haitokubaliana na DStv kuongeza local channel, basi mi habari za bongo ntakuwa nazipatia JF na kwenye social media zingine lakini siko tayari kuweka takataka nyumbani kwangu.
   Mkuu umenena ila inategemea mazingi DSTV sio wengi wenye kuimudu humu
   ila Dishi la free chanel kwenye nyumba yako mkuu kwenye nyumba ya kupanga kule uswazi ni ngumu kidogo tunaomba makampuni mengine iwe rahisi itume antena za ndani tu lakini kinyume hapo mambo yaleyale tu.
   Jodoki Kalimilo likes this.

  8. mdogo mtu's Avatar
   Member Array
   Join Date : 29th December 2012
   Posts : 24
   Rep Power : 450
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Re: Ving'amuzi vya StarTimes ni takataka

   yaan bandugu 2shalizwa tayar! ila ndoo kawaida ye2 wabongo kulizwa!
   Melkior likes this.

  9. Chabo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th July 2011
   Posts : 398
   Rep Power : 600
   Likes Received
   94
   Likes Given
   0

   Default Re: Ving'amuzi vya StarTimes ni takataka

   natamani sana dish la fta lakini naogopa huenda baadae wakazima na huko pia?

  10. #29
   Jaim's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th December 2012
   Posts : 1,258
   Rep Power : 793
   Likes Received
   260
   Likes Given
   2

   Default

   Quote By nduu/mamaya View Post
   mkuu Jaim hv umeshasikia mtu wa dstv au zuku analalamika kwa habari za signal? Ukubali ukatae startimes wana matatizo kuanzia signal streng zao maana haziko stable na hazina ubora wa picha,na hata stasheni zao ni za kimburula..swala la ufundi hata kwenye Fta dish istalation nafanya mwenyewe na hata kutafusta signal strength,why star times iwe inasumbumbua sumbua.
   Dstv zuku na madishi mengine haiisumbui mfumo wake wa upokeaji mawimbi ni tofauti na upokeaji kwa njia ya antena. Na hii hata kama makampuni yajayo yakile antena hata ving'amuzi vyao vitengenezwe ubora gani hali itakuwa hii ya startime antena ina umbali wa mwisho wa kukamata mawimbi kama fm radio. wakati dishi hukamata mawimbi yake yanayokuja kwa njia mbili vertical na horizontal kupitia satellite ni bora zaidi hata kama unaishi bondeni, angani au mbaali kijijini bado mambo ni bora.

  11. 124 Ali's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th April 2010
   Posts : 2,934
   Rep Power : 2157640
   Likes Received
   795
   Likes Given
   657

   Default Re: Ving'amuzi vya StarTimes ni takataka

   Quote By Jaim View Post
   Mkubali starehe garama ni vizuri unaponunua king'amuzi cha startime usiache kununua ile antena yao ni zaidi kuliko kutumia hizi antena zetu za sido. Zinakamata ila hazina mkadirio wa udakaji wa mawimbi. Ushauri wa kiufundi; wakati unaseti antena yako chukua limot yako nenda kwenye system seyteng, ipe "OK" vipengele vitakavyojitokeza nenda signal status upande wa kulia kutatokea mstari mi3 cheza na antena yako kwa kutumia mistari hiyo kuizungusha, kuiipandisha juu zaidi ama kuishusha mpaka ufikie viwango nitavoelekeza hapo mbele. Hakikisha mstari wa juu unapata %50 signal stregth. Huu mstari unakusaidi kujua ubora wa mawasiliano kuanzi waya wenyewe dacoder/Receiver. Kama kuna titizo conectin kati ya vitu hivi Mstari juu na kati haitaingia rangi kijani. Mstari wa kati signal Quality, huu ni mstari unaokuonyesha ubora wa upokeaji mawimbi, hakiki unapata kuanzia %70 na kuendelea. Mstari wa mwisho BER Huu ujitahidi rangi yote ya kijani ihame na unakuwa mweupe isome 1E-9 Nina uhakika picha utapa mzuri hakuna kukwama titizo la wengi ni la kiufundi mnatafutia signal kwenye picha ukipata chanel uliotegesha unajua zote zitashika kwa usahihi na hawa Startime costamer wao lazima mwenye uelewa hii kitu. Maana siku nimeenda kununu king'amuzi cha namuuli za kama kuna friquence za kuingaza kama receiver ya dish. Akanijibu mitambo yetu iko kisarawe. Si biasha ukikwama niemel nikusaidie [email protected]
   Niko zenji kwangu si shwari mpaka najuuta kuifahamu startimes -signal strengh 57-63%,quality 12-17% hiyo sijui bering something like 4E ...! vp ndio ninunue antenna yao?

  12. flora msoffe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th October 2010
   Location : magogoni
   Posts : 6,837
   Rep Power : 85901866
   Likes Received
   1138
   Likes Given
   821

   Default

   Quote By Magano View Post
   Mimi siku hizi nimeachana na mambo ya TV ni kuangalia Movie kwa kwenda mbele!
   me too nimektpa huko now im stress free! Me na net net na mie

  13. #32
   Jaim's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th December 2012
   Posts : 1,258
   Rep Power : 793
   Likes Received
   260
   Likes Given
   2

   Default

   Quote By 124 Ali View Post
   Niko zenji kwangu si shwari mpaka najuuta kuifahamu startimes -signal strengh 57-63%,quality 12-17% hiyo sijui bering something like 4E ...! vp ndio ninunue antenna yao?
   Je huko zanzibar na nyie mmejengewa mnara maana hii ni kama simu mnara kama uko mbali mawasiliano ni tete. Ila sijui mazingira huko zenje. Mbona kuna mtu anada huko kuna king'amuzi full machenal tv station zote bongo zimo na iko crea ni kweli hii.

  14. High Vampire's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th November 2012
   Posts : 1,812
   Rep Power : 0
   Likes Received
   428
   Likes Given
   23

   Default Re: Ving'amuzi vya StarTimes ni takataka

   mbona mimi naangalia tu channel zimetulia kabisa
   usiseme star time ni wabaya sema sehemu unayoishi mawasiliano siyo mazuri nunua antena ya nje
   CCM ni chama makini sababu ndio walioleta maendeleo na amani kwa sera nzuri kidumu chama cha mapinduzi

  15. doreen robert's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 15th January 2013
   Posts : 7
   Rep Power : 444
   Likes Received
   1
   Likes Given
   2

   Default Re: Ving'amuzi vya StarTimes ni takataka

   hello, xory 4 yo problem kuna cku walikuwa wanatangaza kwenye tv namna ya kuzuia isigomegome, i didnt listen to i much but i once cod makao makuu wakasema antenna iangalie upande wa airport. but kama una ile antenna ndogo weka juu ya startimes yako

  16. Kapwila Matulu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th March 2009
   Location : Lumo Kigilagila
   Posts : 7,091
   Rep Power : 6373
   Likes Received
   2537
   Likes Given
   707

   Default Re: Ving'amuzi vya StarTimes ni takataka

   Quote By GAZETI View Post
   Siku zote naona watu wanalalamika humu jukwaani lakini mimisijawahi kuona tatizo lolote la king'amuzi hiki nakitumia kizuri sananaburudika sana, nilinunua cha kwanza mwaka juzi nimempa shangazina kinafanya kazi vizuri, mwaka jana mwishoni nimenunua hiki cha 39,000nacho kimetulia sana yaani safi sana. Kama muna mipango ya hujumaza kibiashara hebu wekeni wazi wakuu.
   Hata mimi nawashangaa ambao ving'amuzi vyao vinakwamisha picha. Hebu chezeni na remote zenu kwenye settings kuhakikisha signal strength & quality inachezea walau 60%, hamtalalamika tena
   GAZETI likes this.

  17. #36
   Domy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th December 2011
   Location : EARTH
   Posts : 4,630
   Rep Power : 2128
   Likes Received
   1047
   Likes Given
   78

   Default Re: Ving'amuzi vya StarTimes ni takataka

   Bora mimi ninayeendelea kutumia dish sijui kabisa adha ya ving'amuzi!

  18. eucalyptos's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd January 2010
   Posts : 348
   Rep Power : 668
   Likes Received
   104
   Likes Given
   65

   Default Re: Ving'amuzi vya StarTimes ni takataka

   Hakuna kitu. Hawa jamaa waorodheshe maeneo wanayodhani yanakamata vizuri NA SI KUWAHADAA WATZ. Mimi nilinunua mwaka ule walioanza na nilikitelekeza kwa udhaifu wa mawimbi yao, leo tu nimekuwa kwa ndugu mwenye nacho na HAKIFANYI KAZI HATA CHANNEL MOJA HAIONEKANI. HATA UKIZUNGUSHA ANTENA ILI KUPANDISHA signal strength na quality hazipandi zaidi ya 27-32 na HAZITULII. Utadhani mawimbi yanaletwa na upepo. Hakuna cha kuelekezea Kisarawe wala Kijitomchuzi.

  19. ujeni's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 15th October 2012
   Posts : 6
   Rep Power : 458
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Re: Ving'amuzi vya StarTimes ni takataka

   Mimi king'amuzi changu cha StarTimes kinafanya kazi vizuri. Ukitaka Moirai wa UEFA LIVE uko Setanta Africa Channel 211.

  20. ujeni's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 15th October 2012
   Posts : 6
   Rep Power : 458
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Re: Ving'amuzi vya StarTimes ni takataka

   Mimi king'amuzi changu cha StarTimes kinafanya kazi vizuri. Ukitaka Mpira wa UEFA LIVE uko Setanta Africa Channel 211.

  21. Jodoki Kalimilo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th February 2012
   Location : Ihayabuyaga
   Posts : 6,211
   Rep Power : 245771977
   Likes Received
   2718
   Likes Given
   5358

   Default Re: Ving'amuzi vya StarTimes ni takataka

   Quote By nduu/mamaya View Post
   mkuu Jaim hv umeshasikia mtu wa dstv au zuku analalamika kwa habari za signal? Ukubali ukatae startimes wana matatizo kuanzia signal streng zao maana haziko stable na hazina ubora wa picha,na hata stasheni zao ni za kimburula..swala la ufundi hata kwenye Fta dish istalation nafanya mwenyewe na hata kutafusta signal strength,why star times iwe inasumbumbua sumbua.
   Tatizo lao lingine ni mabingwa wa VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA yaani channel inaweza kuonekana leo ajabu baada ya muda inaondolewa, ni kweli vigezo na masharti kuzingatiwa but angalau ikae muda kidogo

  Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...