JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Ni Kweli Simu Za Kichina 'Zinazimwa'?

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 39 of 39
  1. Elisha Ray's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th March 2012
   Posts : 297
   Rep Power : 552
   Likes Received
   79
   Likes Given
   56

   Default Ni Kweli Simu Za Kichina 'Zinazimwa'?

   Habari zenu wakuu? Kuna taarifa nimepata kuwa simu zile (za bei rahisi) toka China zimeanza kuzimwa (kupoteza network) hivi ni kweli taarifa hizi? Maana kuna baadhi ya watu walio na hizo simu leo hii hazifanyi kazi. Najua serikali ilisema haina mpango wa 'kuzizima' kama Kenya walivyofanya au ndo inafanya kimya kimya? Wenye info watujuze maana hii itakuwa 'crisis.'

  2. Mnyamwezi wa Urambo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th December 2011
   Location : Mabwepande
   Posts : 933
   Rep Power : 600
   Likes Received
   258
   Likes Given
   576

   Default Re: Ni Kweli Simu Za Kichina 'Zinazimwa'?

   Mkuu unavyosema simu za kichina unazijumuisha na HTC?

  3. ethicx's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2012
   Location : HORTEN
   Posts : 313
   Rep Power : 622
   Likes Received
   97
   Likes Given
   136

   Default Re: Ni Kweli Simu Za Kichina 'Zinazimwa'?

   Quote By Godwishes View Post
   mi nataka zizimwe,ili atakayemiliki kweli awe na uwezo kweli.Cyo kila mtu,mtoto,vijana,wazeze,wajing a,wapumbavu,wanaf.ngendere,mbw a,sungura.n.k.wanamiliki CMU.WHAT IS THAT?imekuwa familia ya Kambale kila mtu ana ndevu.TCRA zima haraka na orijino ianzie laki 2 na kupanda.Hatutaki cmu za buku ten.
   Ndugu unaonesha mbinafsi sana ndio nyie mafisadi mnaotaka kila kitu mmiliki nyie wenzenu wenye kipato cha chini wazidi kua chini.
   Core i7

  4. The Son's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th July 2012
   Posts : 463
   Rep Power : 566
   Likes Received
   57
   Likes Given
   10

   Default Re: Ni Kweli Simu Za Kichina 'Zinazimwa'?

   Kuzimwa sio leo wala kesho pia zitakazozimwa sio za Mchina bali ni Feki.

  5. Donnie Charlie's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th September 2009
   Location : Gotham City
   Posts : 5,681
   Rep Power : 90272841
   Likes Received
   1439
   Likes Given
   2304

   Default Re: Ni Kweli Simu Za Kichina 'Zinazimwa'?

   Quote By The Son View Post
   Kuzimwa sio leo wala kesho pia zitakazozimwa sio za Mchina bali ni Feki.

   Hapo watu wengi hawajapaelewa
   Don't Ever Give Up If You Still Want to try, Don't Ever Settle for an Answer If You Still Want to Know.

  6. mathematics's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Location : MY PLACE
   Posts : 3,239
   Rep Power : 1464
   Likes Received
   881
   Likes Given
   1131

   Default Re: Ni Kweli Simu Za Kichina 'Zinazimwa'?

   Quote By Mnyamwezi wa Urambo View Post
   Mkuu unavyosema simu za kichina unazijumuisha na HTC?
   htc sio za we ki-china we ng'ombe.....!!!

  7. charminglady's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th April 2012
   Location : Ikungulyabhashi
   Posts : 17,067
   Rep Power : 429500331
   Likes Received
   10899
   Likes Given
   12662

   Default Re: Ni Kweli Simu Za Kichina 'Zinazimwa'?

   Wazime tu.... LIWALO NA LIWE

   Sosi mnafahamu!!

  8. Mnyamwezi wa Urambo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th December 2011
   Location : Mabwepande
   Posts : 933
   Rep Power : 600
   Likes Received
   258
   Likes Given
   576

   Default Re: Ni Kweli Simu Za Kichina 'Zinazimwa'?

   Quote By mathematics View Post
   htc sio za we ki-china we ng'ombe.....!!!

   Acha ubishi wa kijinga pundamilia wewe!! Ni sawa na useme Zanzibar siyo Tanzania. HTC imeasisiwa Taiwan ambayo ni state ndani ya china ingawa ina serikali yake lakini haina kiti kwenye baraza la umoja wa mataifa kama Zenji!! Na kwa taarifa yako sasa hivi makao makuu ya HTC yameshahamishiwa China mainland. Mbuzi kasoro mkia wewe.

  9. mathematics's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Location : MY PLACE
   Posts : 3,239
   Rep Power : 1464
   Likes Received
   881
   Likes Given
   1131

   Default Re: Ni Kweli Simu Za Kichina 'Zinazimwa'?

   Quote By Mnyamwezi wa Urambo View Post
   Acha ubishi wa kijinga pundamilia wewe!! Ni sawa na useme Zanzibar siyo Tanzania. HTC imeasisiwa Taiwan ambayo ni state ndani ya china ingawa ina serikali yake lakini haina kiti kwenye baraza la umoja wa mataifa kama Zenji!! Na kwa taarifa yako sasa hivi makao makuu ya HTC yameshahamishiwa China mainland. Mbuzi kasoro mkia wewe.
   paka jizi wewe hata hujui unachokementi, juu umeuliza kama htc za kichina, nimekuelewesha ki-staarabu, lakini unaonekana huelew labda nikueleweshe kwa makonzi ndio utaelewa kuwa htc sio za kichina we kifudu !!

  10. Ave Ave Maria's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd April 2011
   Posts : 10,759
   Rep Power : 69117298
   Likes Received
   5572
   Likes Given
   7889

   Default Re: Ni Kweli Simu Za Kichina 'Zinazimwa'?

   Quote By Godwishes View Post
   mi nataka zizimwe,ili atakayemiliki kweli awe na uwezo kweli.Cyo kila mtu,mtoto,vijana,wazeze,wajing a,wapumbavu,wanaf.ngendere,mbw a,sungura.n.k.wanamiliki CMU.WHAT IS THAT?imekuwa familia ya Kambale kila mtu ana ndevu.TCRA zima haraka na orijino ianzie laki 2 na kupanda.Hatutaki cmu za buku ten.
   Unaota wewe!

  11. mathematics's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Location : MY PLACE
   Posts : 3,239
   Rep Power : 1464
   Likes Received
   881
   Likes Given
   1131

   Default Re: Ni Kweli Simu Za Kichina 'Zinazimwa'?

   Watu wanashindwa kutofautisha unaposema simu za kichina ni zipi !!!

   Simu za kichina ni zile zinazolishwa kwa kutumia majina ya simu nyingine yaani kwa njia ya forgely au zinazolishwa kimagumashi tu , unakuta simu imeandikwa nokia lakini unakuta ndani ni ya ajabu kwenye fonts n.k mfano samusng wanazo double lakin unakuta simu ya samsung ya mchina double laini lakini ndani ni tofauti kabisaa na samsung orijino,

   simu orijino/ au ambazo sio za kichina ni zipi ? zina knwn brand names, viwanda vyake vinajulikana viko wapi, makampuni yao yamesajiliwa, wamepass viwango vya kimataifa, zinaknown electronic serial numbersna hizi ndizi watakazozitumia TCRA wakati wa kuzima, kama simu haina electronic known serial number then you will be offf

   Kwahiyo simu za kichina zitakazozimwa ni hizo ambazo zimetengenezwa kimagumashi wala hazina utambulisho rasmi wa brand names , majina yao ndio hivyo ya kufoji foji tu, hakuna tbs yoyote ya dunia aliyewathibitisha, wala hazina known electronic serial numbers. mfano wa simu za kichina ambazo hata ukiiangalia unajua hii ni ya kmagumashi nokla , okia , comondo , oking , etc

   Kuna brand nyingi tu za kichina ambazo zina known brand names, vilevile ku-pass viwango vyote vya kimataifa, including have known elctronic serial numbers, like zte , huawei , etc

  12. Betri yenye chaji's Avatar
   Member Array
   Join Date : 27th December 2012
   Posts : 55
   Rep Power : 464
   Likes Received
   6
   Likes Given
   1

   Default Re: Ni Kweli Simu Za Kichina 'Zinazimwa'?

   Siyo kila made in china ni feki, kama simu yako ina majina matatu nyuma imeandkwa samsung mbele nokia, ukiiwasha tecno jiandae

  13. kibhopile's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th August 2010
   Location : Pandora
   Posts : 1,138
   Rep Power : 809
   Likes Received
   310
   Likes Given
   617

   Default Re: Ni Kweli Simu Za Kichina 'Zinazimwa'?

   hiyo mitambo yenyewe ya kuzimia ni ya kichina pia,,

  14. Donnie Charlie's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th September 2009
   Location : Gotham City
   Posts : 5,681
   Rep Power : 90272841
   Likes Received
   1439
   Likes Given
   2304

   Default

   Quote By kibhopile View Post
   hiyo mitambo yenyewe ya kuzimia ni ya kichina pia,,
   balaa gani hili..

  15. Godwishes's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th August 2011
   Posts : 490
   Rep Power : 621
   Likes Received
   65
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Sometimes View Post
   Kaka kuku anakula kulingana na mdomo wake! Sisi wengine vipato vyetu ni vidogo. Ndiyo maana vyakula tunanunua vya mafungu, sukari robo au kijiko, mkaa wa mafungu na kadhalika. Kama unataka anayemiliki simu awe na uwezo, wengine watakuambia tupige marufuku magari yaliyotumika kutoka Dhubai au Japan, yaletwe ma Hammer au VX 9! Au usafiri uwe wa ndege tu hapa nchini, je, itawezekana?
   Ni kweli Mkuu unachosema,lakni pia tuangalie Mazingra ya kitu chenyewe hasa hasa kwenye athari zake.Mf.Unakuta mtu anataka amiliki cmu lakn hana uwezo wa kuhudumia cmu nikilenga vocha.(Pls call me nyingi,recharge me n.k.)bad inafu unakuta ukimrecharge ni kupiga tuu salam,hakuna mawasiliano ya biashara wala yenye tja ya kesho atapata wapi vocha.Vle vle cmu kama cmu kwa wabongo imekua kama fasheni na ulimbukeni vle sana kwa hawa watoto wetu,wanaf.watu wa kijijini n.k.Ni tatzo mkuu.Chukulia hii,mtu anadiriki avae suruali ------ nje lakn aweke vocha hata elfu 2 akupigie kukujulia hali,nyumbani wale dagaa lakn aweke vocha,Kwa wanaf.anadiriki ata apunguze Ada aweke vocha ya kutogozana tuuu.WaTZ wengi hatuelewi matumizi mazur ya cmu bcoz zko very cheaply.Unakumbuka kipindi cmu zinaingia semen ya kidole na zle nyingne kama rediocall zlikuwa vry expensve,line peke yake ilikuwa bk ten.Na aliyekuwa ananunua alikuwa Mzima kweli.Zzmwe mkuu watu tuelewe matumizi.Mbona Nchi zlzoendelea haya Ma Handset hawayatumii.Ni vry rarely.Land line kama kawaida.Maisha yanaenda.TUMEKUWA LIMBUKENI WA SMU FAKE.TCRA ZIMA ZIMA ZIMA KABISAAAAAAA

  16. Ona Sasa's Avatar
   Member Array
   Join Date : 2nd July 2009
   Posts : 60
   Rep Power : 647
   Likes Received
   3
   Likes Given
   0

   Default Re: Ni Kweli Simu Za Kichina 'Zinazimwa'?

   Tatizo sio simu za kichina, tatizo ni ubora wa simu zenyewe, hiyo ni kazi ya TBS, inashangaza simu ya bei rahisi ina line 4, radio,kamera, TV, capacity ya 16GB n.k, unafikiri kuna nini humo kama si madhara siku zijazo

  17. Ipi dot com's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th March 2011
   Posts : 256
   Rep Power : 595
   Likes Received
   29
   Likes Given
   8

   Default

   Quote By mgt software View Post
   Hata zikizimwa Tanzania hatuna hasara kabisa, kwanza kabisa nataka wazizime leo kwani nani aliwaambia wanunue simu feki, tena tanzania kwa ujumla hakuna haja ya kuwatangazia kuzima kwa kuwa anakuna anayewaambia wanunue simu na vitu feki. Rahisi gharama. Wewe unanua simu imeandikwa sumusungu, nokilia, sono eliksong unanunua tu kama sio ujinga ni ujima.
   tena muuzaji anakuambia hii original na hii ya kawaida,mnunuzi anakwambia nipe ya kawaida kesho ikisumbua analalamikia serikari bora wazime bila taarifa.

  18. Ipi dot com's Avatar

  19. Mnyamwezi wa Urambo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th December 2011
   Location : Mabwepande
   Posts : 933
   Rep Power : 600
   Likes Received
   258
   Likes Given
   576

   Default Re: Ni Kweli Simu Za Kichina 'Zinazimwa'?

   Quote By mathematics View Post
   paka jizi wewe hata hujui unachokementi, juu umeuliza kama htc za kichina, nimekuelewesha ki-staarabu, lakini unaonekana huelew labda nikueleweshe kwa makonzi ndio utaelewa kuwa htc sio za kichina we kifudu !!
   Acha ubishi wa kibubusa bundi wewe!!Sasa HTC ni ya wapi?Taiwan siyo China? Kuna nchi inaitwa Taiwan? Hebu acha ubishi wa kiha nguchiro weye!!

  20. mathematics's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Location : MY PLACE
   Posts : 3,239
   Rep Power : 1464
   Likes Received
   881
   Likes Given
   1131

   Default Re: Ni Kweli Simu Za Kichina 'Zinazimwa'?

   Quote By Mnyamwezi wa Urambo View Post
   Acha ubishi wa kibubusa bundi wewe!!Sasa HTC ni ya wapi?Taiwan siyo China? Kuna nchi inaitwa Taiwan? Hebu acha ubishi wa kiha nguchiro weye!!
   wewe bofya kweli TAIWAN sio CHINA wewe kisipi, huelew unachoongea we pwata, soma post yangu #30

  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...