1.kifo cha sajuki ,freemason wahusishwa,inasemakana 1/1 ni aina ya kafara ya hali ya juu
2.sajuki alijua kifo chake
3.masaa 24 kabla ya kifo cha sajuki kama vie alijua
4.uchawi wahusishwa kifo cha sajuki
5.etc
1.kifo cha sajuki ,freemason wahusishwa,inasemakana 1/1 ni aina ya kafara ya hali ya juu
2.sajuki alijua kifo chake
3.masaa 24 kabla ya kifo cha sajuki kama vie alijua
4.uchawi wahusishwa kifo cha sajuki
5.etc
Kama unapendelea fuata ushauri wa Mamdogo
bongo movie yahusishwa....
Bila kusahau katika magazeti hayo - Sajuki hajafa kachukuliwa Msukule!
'' Mtu ni Utu sio Kitu''
Baada ya mazishi yake siku ya tatu - Sajuki aonekana maeneo ya Sinza!
'' Mtu ni Utu sio Kitu''
- Sajuki Afa Siku ya Ajabu 01/01, ni namba za Freemason
- Freemason Yaendelea Kutesa Wasanii
- Kifo cha Sajuki Utata Mtupu, Bongo Movies Yalaumiwa
- Wema Atuma Salamu za Rambirambi, JK kuhudhuria
n.k
Wisdom Comes by Listening !
Ila Shigongo na magazeti yake ni kiboko. Ila niliambiwa eti Erick Shigongo ni mlokole ni kweli? Maana mambo yake na ulokile sijui ndiyo manabii wa kileo!! Ha ha ha!
"Kama unaingia Ikulu kwa njia ya rushwa, je ni biashara gani iko huko ya kuwezesha kulipa fadhila ya rushwa hiyo???"
Siri Yafichuka, Kumbe Sajuki alikuwa ............
No..kifo ni mpango wa Mungu hakuna cha freemason au uchawi ni fikira ndogo za Watanzania bila kugundua kwamba kifo ni lazima. " hivi mlitaka nani afe ili mfurahi"
Haya ndo maneno machache aliyoyasema Sajuki dk10 kabla ya kifo chake......................... ................?!
KAKA unataka wakale wapi''''''sio kila kifo ni huzuni vingine furaha'''''achana na magazeti ya udaku hata wanasiasa utawaona hasa bwana nanii wa chama fulani cha upinzani ndo point yake hiyo ya kujiweka karibu na vijana kama alivyo fanya dar live................2015 uachaguzi mkuu
Wataandka hv
"MANENO/KAULI YA MWSHO YA SAJUKI"
Follow Us Here